Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Kabla sijaingia kwenye hayo makitu naazaga kupima kwanza na muhusika kula kitu huku na wasiwasi siwezi.
Hahah kuna emergency zinatokeaga lazma udere kwa macho, ukiona safi salama unaruka nae tu. Sahio Savanah au Dompo imegusa pazuri pale kitu kinadunda na mapigo ya moyo! Kinachofata simalizii
 
Hili ni kweli kabisa , ila tusisahau kuwa sio wote wenye ukwimi ni ukwimi kweli , wengi wamepandikizwa na nguvu za giza , so ukiambiwa una ukwimi jiulize Mara mbili mbili umeupataje ,

Mimi nilishaishi na ukwimi wa bandia , ila namshukuru Bwana Yesu kwa kuniponya ,

Natamani niandike ushuhuda lkn naona sitamaliza leo

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu upo sana mtaani, kwa watu wanaoishi changanyikeni kwenye slums mambo haya hutokea sana
 
Atakuwa anazungusha hio ngenya masela wanaruka nae hawawazi kitu yeyote! Siku wakisanukia mamzi ana niaje duh sijui itakuwaje ani?
Eti ngenya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]...umenikumbusha hili neno nikiwa arusha!

Waarusha wanaitaga K ngenya, limekaa vibaya mdomoni ukilitamka[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unapima nae siku moja tu unakula kavu je,kama alikuwa window period
Wiki moja iliyopita nikapata demu,kutokana na kazi yake nikajua huyu anakutana na wanaume kibao,maana mtoto ana sifa zile ambazo wanaume wengi tunaanzia kuzitazama kabla hatujaenda deep,
Nikarusha vocals mtoto akanilewa,na hata tulipopanga kukutana alifika kiroho safi,kuomba mzigo ndipo nilipompendea zaidi,maana alikataa katakata twende tukapime kwanza,condom alisema hapendi kabisa,kwa kuwa sikuwa na shaka huyooo mpaka laboratory tukapima then tukarudi room kupiga show ya kibabe,nilipanga kulala naye usiku mmoja,lakini kwa kuonesha anajari afya yake nikaongeza na siku ya pili tukala raha na jana ndipo tukarudi sehemu zetu za kazi.
Wanawake wakiwa na msimamo kama wa huyu demu hakika UKIMWI tutauepuka,maana wanaume huwa hatukumbuki kabisa swala la afya pale kichwa cha chini kikizidiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom