Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Hapana dear!

Kuna demu mmoja alikuwa mbishi ( fellow staff) akakataa ARV...asee alinyonyoka nywele, akakonda, almanusura afe!

Tulivyompa ushauri hivo hivo kimagumashi, tukampeleka hospital akapewa dawa akaanza kutumia!

Kimbembe zikiisha hataki kwenda kituoni ananituma mimi, mi sinaga hiyana nikawa namchukulia nampa!

Sasa hivi kahamishwa mkoa kikazi, sasa hata kule hataki kwenda kituo kuchukua anataka nimfatie kituoni hapa dar halafu nimtumie kwenye basi[emoji849][emoji849]

Ntatumia njia nzuri tena kumuelewesha aende kituoni huko aliko achukue maana na mimi niko busy hiyo kazi yake inakaribia kunishinda!

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee huyu hajajikubali, itamgharimu sana.

She need counseling
 
Kwenye ndoa ndo kuna balaa sasa!

Humo ni mwendo wa kuleteana tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye ndoa ni majanga,kiutaratibu tu wenzi wakishakuwa kwenye ndoa swala la kinga halipo.
Sasa hapa unakuta hawa wenzi katika shughuli zao za kila siku wakakutana na watu wengine wakasema tuonjeshane kidogo sasa hii kuonjeshana inaweza kuwa kavu si swala la chap chap mtu anabeba tatizo anapeleka kwa mwenzie kimya kimya.
Mziki huwa unakuja kubumbuluka wakianza kupata vihoma vya mara kwa mara wanaenda kupima wanaanza kushangaana vimetoka wapi.

[emoji838]
 
Tulio na ndoa tuziheshimu ndoa zetu,Vijana wetu mjitunze yaani mbaya zaidi mko katika hatari mbaya maana wazazi wenu sikuhizi hatuna roho ya huruma tunaongoza kuwafatilia,kila mmoja amuhofu Mungu maishani mwake,hata kwenye Biblia inasema dhambi zote hufanyika nje ya mwili ila zinaa ni ndani yako kabisa,tujitahidi kuyatunza haya mahekalu ya Mungu,ni shetani tu anatutesa na kutuonesha utamu wa mbunye lakini hakuna aliyekufa kwa kukosa mbunye,ni vile mawazo yakizidi sana na mwili umewasha tamaa unaona kama unarauka kumbe wala hamna chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
...ila mbunye tamu jamani[emoji125][emoji125]
Umeandika vizuri sana mamake!!
 
Dr. Kary Mullis ni mmoja wa madaktari aliyeitwa kwenye mojawapo ya Special laboratory nchini America kuhusiana na HIV/AIDS. Alivyofika maabara statement aliyopewa kwenye karatasi inasema "HIV is the probable cause of Aids"

Akaomba scientific paper, kwa sababu scientific statement ni fact. Kwamba HIV(Retrovirus) ana sababisha Aids. Hakupewa! Dr. Robert Gallo ni American biomedical researcher, huyu ndiye aliyesema HIV inasababisha Aids. Dr Kary Mullis alienda kuomba scientific paper kuhusu Aids. Ila wote hawakuwa na majibu.

Dr. Robert Willner MD,PHD alijichoma kabisa sindano yenye damu ya mtu mwenye AIDS na akajichoma na akawa bado akawa very much alive. Ili kuwavumbua watu zaidi akatoa kitabu kinachoitwa "DEADLY DECEPTION" kuhusu HIV na AIDS.

Dr. David Rasnick ni Phd in Chemistry, ni 20 years of experience in the pharmaceutical biotech industry. Alikuwa miongoni mwa Dr wanaochunguza Aids tangu 1980.

Ameandika kitabu kinachoitwa " GERM OF LIES" ameelezea vizuri sana kuhusu Blunder ya HIV/AIDS kitaalamu.

Retrovirus (HIV) hasababishi Aids. Si mapenzi, wala blood transfusion wala vyote tunavyoambiwa vinavyosabibsha HIV/AIDS. Kwa kifupi ni biashara inayofanyika. Kwa sababu madawa yanauza.

Ila Aids upo. Aids kwa kiswahili ni Ukimwi kwa maana ni Ukosefu wa Kinga Mwilini. Swali la kujiuliza ukosefu wa Kinga mwilini ni nini? Unasababishwa na nini? Na unatibika?

Ila sitostaajabu watu kuja kunishambulia.

Na taarifa tu! vipimo vya HIV/Aids vinatofautiana kulingana na manufacturer. Unaweza kwenda kwenye kipimo cha huyu unao cha mwengine huna.
 
Kweli elimu ni pana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Suala la wazungu kukataa kutupa dawa za kutibu ndo lawama kwaooo...!! Ila kuwepoo its Nature
Eti Mungu[emoji849][emoji849]....

Mizungu imetengeneza huu ugonjwa wewe, biashara hii....uko dunia ya wapi?[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante mleta Uzi Nina imani kila mtu atakuwa makini. Watu wanakufa na hata wanaotumia ARV kuna muda wanachoka kumeza dawa kila siku,,, wanaamua kufa tu ....it is really sad
 
HIV inafedhehesha jamani...hasa ukianza kuugua halafu kila mtu anajua...
Tujichunge

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani afadhali hata sasa hivi wagonjwa hawaugui na kukonda kama zamani...kwa mtu aliyewahi ishi au kumuona mgonjwa wa ukimwi aliyepitia dalili zote hakika atakuwa na adabu kama mbwa....mateso waliyokuwa wanapata huwezi elezea.
 
na kwa kuongezea......karibu familia nyingi umeshatupunguzia ndugu,,,au hata majirari.....tujihadhari sana inaumiza sana ukiwa unauguza ....duh very badly.....tusisahau kuongea na watoto wetu jamani.....vijana wanapukitika balaa....kwenye vituo vya kutoa dawa....kakae siku moja uone....wa mbagala wanachukulia dawa bunju.... piga hesabu muda na gharama.....UKIMWI UPO...asante mleta udhi....
Mkuu niliwahi uguza mgonjwa wa hivo miaka hiyo hakuna ARV yaan anapitia dalili zote, alivyokuwa anateseka!... Aisee ngoja niishie hapa
 
Nataka nihamie kwenye mapilau mazima mazima, unakuwa safe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂hakuna aliye salama,maana wenye nao wanashauriwa wawe makini,maana kuna ule mkali wenyewe wa grid ya taifa na ule wa majumbani uliochujwa na transformer,kwa iyo yule wa majumbani akikutana na wa grid ya taifa inakuwa hatari fayaa
 
Yaani afadhali hata sasa hivi wagonjwa hawaugui na kukonda kama zamani...kwa mtu aliyewahi ishi au kumuona mgonjwa wa ukimwi aliyepitia dalili zote hakika atakuwa na adabu kama mbwa....mateso waliyokuwa wanapata huwezi elezea.

Mkuu adabu ya mbwa ikoje?
 
Barikiwa sana kiongozi kwa kutukumbusha.. Aisey hali ni tete sana japo maisha yetu wengi ni ya kujisahau sana.. Tujikinge na hili janga kwa kuweka tahadhari mbele..
 
Back
Top Bottom