The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Mkuu mbwa ana adabu? Em unganisha adabu ya mbwa na hili swala la ukimwiYaani afadhali hata sasa hivi wagonjwa hawaugui na kukonda kama zamani...kwa mtu aliyewahi ishi au kumuona mgonjwa wa ukimwi aliyepitia dalili zote hakika atakuwa na adabu kama mbwa....mateso waliyokuwa wanapata huwezi elezea.