Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hebu tueleze,hiyo ofisi aliyonayo mbunge wa CCM imekusaidia nini?Jiandae kujibu maswali.Sasa mtu Kama ameshindwa kujenga ofs yake mwenyewe na amekaa bungen miaka 10 ndo ataifanya iringa kuwa jj mbona na ww unaonekana mweupe Sana.
Hzo hoja ndo zitafanya njombe liwe jj nyny makabaki na ubishi wenu... mafinga Hakuna kiwanja Cha mil.2 Ila Iringa kipo kwasabu hakuna jitihada zilizotumika kuijenga iringaChama ni ghorofa au itikadi ? Muumini wa kweli hachagui msikiti.
Hivi bila CCM kujenga Ile miundombinu pale mjni iringa siingepitwa na ludewa😄😄Hebu tueleze,hiyo ofisi aliyonayo mbunge wa CCM imekusaidia nini?Jiandae kujibu maswali.
Unakaza fuvuKwani msigwa ni mzawa mkuu...nae niwakuja tu kwao makete
Umejibu ulichoulizwa au bado unaandika kama hauna kichwa?Taja hizo faida ulizozipata kichwapanzi wewe.Chawa!Hivi bila CCM kujenga Ile miundombinu pale mjni iringa siingepitwa na ludewa😄😄
...msigwa alikuwa na baraza la madiwani wanauza viwanja tu wao hawanunui....WAHEHE TUACHANE NA CHADEMA WATATURUDISHA NYUMA
Kama anaweza kuwa msaada mkubwa kiasi hicho bila koti la ubunge basi nasahauri abakie kuwa hivyo hivyo anaweza kupewa ubunge na kila kitu kikaharibikaASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, PEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
NB: HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI YASITAFSIRIWE VINGINEVYO
Matusi ya nn kwani sehem ya kula chakula iringa si Ni CCM au chadema mlijenga wapi hopeless kabisa nyie mmetuharibia mji wetuUmejibu ulichoulizwa au bado unaandika kama hauna kichwa?Taja hizo faida ulizozipata kichwapanzi wewe.Chawa!
Angalia huyu matakuless!Unajibu bila kufikiria.Unaulizwa hiki unajibu vingwamba.Matusi ya nn kwani sehem ya kula chakula iringa si Ni CCM au chadema mlijenga wapi hopeless kabisa nyie mmetuharibia mji wetu
Umefeli mwili mzima.Kanywe maziwa yako uliyopewa msaada ujilaze.Unashida ww.
Hana uasili wa Iringa huyo mleta uzi(pumba).Anatukuza kupewa misaada.Very hopeless!Yoghurt zishaanza kulewesha watu huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni mhehe pure kwa taarifa yako, mm najua Kama Mali Mungu atanipa akipenda ila.. iringa tuachane na kuchagua watu wasio na tija kwetu....mfano ona ifunda palivyo patamu...R.I.P MFUGALEHana uasili wa Iringa huyo mleta uzi(pumba).Anatukuza kupewa misaada.Very hopeless!
Una kaupomole fulani ingawa unanyoa "ndevu" za mwilini.Acha kuanika upoyoyo wako.Muhehe ni jeuri kwa asili.Wewe umeonesha umdebwedo na kutukuza misaada.Hege hege ipa!Mdobofu kabisa!Mimi ni mhehe pure kwa taarifa yako, mm najua Kama Mali Mungu atanipa akipenda ila.. iringa tuachane na kuchagua watu wasio na tija kwetu....mfano ona ifunda palivyo patamu...R.I.P MFUGALE
Tunataka wahehe wanao acha alama , nusu tujengewe fry over ifunda na marehem MFUGALE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.Hana uasili wa Iringa huyo mleta uzi(pumba).Anatukuza kupewa misaada.Very hopeless!
pifunda pala zile roads kumbe alijenga mfugale bwana, unaona watu Kama hao...unapopita ifunda vp palivyo pazuri. Lakn msigwa alihamasisha watu wajenge vilabu na pamjn🤣🤣....tuifanye iringa liwe jj ...nogage Sana veveUna kaupomole fulani ingawa unanyoa "ndevu" za mwilini.Acha kuanika upoyoyo wako.Muhehe ni jeuri kwa asili.Wewe umeonesha umdebwedo na kutukuza misaada.Hege hege ipa!Mdobofu kabisa
Ndo amekutuma upime upepoo? Muambie awe bize na kutengeneza yoghurt, ubunge sio wake.Mbunge alimiliki baraza la madiwani wanauza viwanja wao wanashindwa kununua wajenge hata ofs tu ya Jimbo... matapeli wakubwa nyie