Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hebu tueleze,hiyo ofisi aliyonayo mbunge wa CCM imekusaidia nini?Jiandae kujibu maswali.Sasa mtu Kama ameshindwa kujenga ofs yake mwenyewe na amekaa bungen miaka 10 ndo ataifanya iringa kuwa jj mbona na ww unaonekana mweupe Sana.