Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Acha unyaa wewe kiduaduamng'asi!Samora round about pamefanyiwa marekebisho na TANROADS ili kupata mkunjo mzuri wa kona kwa magari makubwa.Ni sehemu ndogo sana tena upande tu kuzunguka hapo.Sidhani kama gharama ilizidi milioni tano-kumi.Round about ya samora, kihesa to Tumain, ilikuwa vumbi miaka yote kimya...dada jesca kaupamba mji na round about ya maana kwa miaka miwili tu nyny mmebaki mnazungusha mikono tu😄
Hiyo barabara ya Kihesa-Tumaini inayojengwa ni ipi?Au unaota baada ya kupitia kilabu cha Mwembechai Kihesa umelewa?