Kwa hiyo kwa Tanzania mtu yeyote akigawa maziwa yaliyo expire kwa shule mbili tatu anapewa ubunge.
Watu wanatumiwa kuhujumu nchi yao Kwa manufaa ya wageni .
Watu hawajui TU kuwa sharia mbovu na kandamizi zinatumgwa na watu wasiojali maslahi ya wananchi waliowengi.
Kwa mfano mpaka Leo Sijaelewa ni Kwa Nini Gongo inapigwa vita na Inaonekana kama madawa ya kulevya wakati huo huo Kuna VIWANDA vinatengeneza pombe kama hiyo. Kwa Nini wananchi maskini wanaoteotengeneza pombe hiyo wasielekezwe namna Bora ya kutengeneza na hata wakatafutiwa mitambo safi kutoka china Kwa Bei nafuu wakatengeneza na wakawauzia wateja wao ambao ni watu wa kawaidi sana ambao hawana uwezo wa Kununua K- vant au Konyagi . Kwa nini biashara huria inabaki Kwa wafanyabiashara wakubwa Tena wageni lakini Wenyeji wanawekewa vikwazo mpaka wafikisike au kufungwa kabisa .
Hakuna pombe isiyo haramu Kama itatumiwa vibaya au kunywewa kupita Kiasi au kunywewa bila kula vizuri. Suala ni Gongo kunywewa na maskini wasioweza kula vizuri lakini sio kuwa ni mbaya . Ukifika kwenye nchi za kidini pombe zote ni haramu. Kwa wazungu pombe za kiwandani za machemical ni halali lakini pombe inayotengenezwa na Mahindi ,mabibo ya Korosho n.k. ni haramu.
Pumbavu sana wahuni! Na Viongozi wa dini wanatumiwa Kupiga vita Gongo bila kutambua kuwa wanakuwa mawakala wa pombe haramu za Kizungu. Pombe ni pombe TU ikitengenezwa na kuthibitishwa na kunywewa Kwa kiasi. Hata ukampa maskini kila siku Konyagi atalelewa na kudhoofika kutokana na kukosa chakula.
Hivi Gongo ingekuwa mbaya Wakurya wangekua na nguvu waliyonayo au Wamasai .
Tatizo ni kuwa na wabunge wanaolinda maslahi ya wageni na kudidimiza Teknolojia na Mila za mwafrika kutokana na rushwa na misaada ya wageni.
Tumbaku na sigara ya mzungu ni halali lakini Mirungi inayotafunwa ikiwa na rangi ya kijani ikiwa inatoka shambani ni haramu.
Wazungu walikuja na Tumbaku zao wakagundua kuwa Wenyeji wanavilevi vyao vizuri visivyo na madhara makubwa( kama Mirungi, Gongo, bangi[emoji23][emoji23]) wakaamua kutunga SHERIA za kuviharamisha ili wauze matumbaku yao na masigara yao na mapombe yao makali.
Pumbavu sana chuki za baadhi ya wanasiasa na Wazungu (wageni Toka nje ya bara la Afrika )