Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Yule wa Shinyanga Mjini ambae Jiwe alimlazimisha maskini hana kitu ,hawezi pita uchaguzi ujao..Kuna wale wa kishapu huko ndio Waarabu Waarabu
Chamsingi tuchague watu wenye tija kwa maendeleo yetu, watu ambao wanaonyesha kipaji Cha maendeleo, watu ambao wanauchungu na Jimbo husika...focus iwe ni kunyanyua na kuupa hadhi mji au manispaa kuwa jj, mfano Iringa mjn kiwanja ni bei rahs kuliko njombe mjn unaona sawa hapo? Aliyeshindwa tuachane nae kabisaa
 
Matajiri wote aidha ni wafanasiasa Kwa namna Moja au nyingine..

Asas ni mnec wa ccm Mkoa ,inamsaidiaje?
Huoni hata pale samola panapendeza nyny chadema mmechangia sh ngapi kwenye ujenzi wa vibanda vya machinga....Mmeona hamna hela mkaanza kuhujum mpaka kuhama kwa machinga Ila mlifeli Sana, ili mj uwe jj lazma uwe very organized...ndo hcho CCM inafanya kwa sasa
 
ifikie mahali tuache kuwapa watu ubunge kisa ni matajiri
Ndo maana nasema wapiga kura wengi hawana focus ya maendeleo....utaona Jimbo linamichango kila siku kumbe mngekuwa na mbunge tajir angewalipia na kufanya Kaz kwa niaba yenu....baadh ya wabunge mpaka wanawalipia nusu ya hela za viwanja wananchi wake mwsho wa siku mji unapambika
 
Chamsingi tuchague watu wenye tija kwa maendeleo yetu, watu ambao wanaonyesha kipaji Cha maendeleo, watu ambao wanauchungu na Jimbo husika...focus iwe ni kunyanyua na kuupa hadhi mji au manispaa kuwa jj, mfano Iringa mjn kiwanja ni bei rahs kuliko njombe mjn unaona sawa hapo? Aliyeshindwa tuachane nae kabisaa
Binafsi siamini mtu maskini ila kama unachagua mtu maskini basi awe outspoken ndio inaweza kuwa na Tija.
 
Ndo maana nasema wapiga kura wengi hawana focus ya maendeleo....utaona Jimbo linamichango kila siku kumbe mngekuwa na mbunge tajir angewalipia na kufanya Kaz kwa niaba yenu....baadh ya wabunge mpaka wanawalipia nusu ya hela za viwanja wananchi wake mwsho wa siku mji unapambika
Hakuna mtu atakayetoa hela zake mfukoni kwa ajili yako bila yeye kupata faida yoyote.
Ukiona wanatoa hela ujue kuna wanavyoiba na kufaidika zaidi ya wanavyotoa.
Usifurahi kupewa msaada wa sukari na jirani huku unaibiwa mke wako
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, PEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
NB: HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI YASITAFSIRIWE VINGINEVYO
Ingawa si lazima akawe yy Ila iwe mwsho kuchagua wabunge masikini walitutesa sana na michango isyo na tija ile kabla ya 2020, Kwasasa wabunge walio wengi wanahela/matajiri ndo maana unaona hata michango kwa wananchi haipo...
 
Hela za Sabodo mlifanyia nn? Hela za join mlifanyia nn....hebu oneni Jimbo la njombe mjn stend mpya haina hata miaka mi5 lakini ishazungukwa na makazi kibao kwasabu ya sera nzuri ya mbunge wa ccm...yy focus ni kuifanya njombe iwe manispaa nyny mmebaki mnazungusha mikono tu 😄
HONGERA SANA JESCA KWA KUUPAMBA MJ NA ROUND ABOUT
Waligonga
 
Hakuna mtu atakayetoa hela zake mfukoni kwa ajili yako bila yeye kupata faida yoyote.
Ukiona wanatoa hela ujue kuna wanavyoiba na kufaidika zaidi ya wanavyotoa.
Usifurahi kupewa msaada wa sukari na jirani huku unaibiwa mke wako
madam syo hvo..kwahyo yule mbunge wa makambako anayejenga madarasa kwa hela zake yy aiba wapi, yule mbunge wa njombe mjn anayewalipia nusu pesa watu viwanja wajenge kuzunguka stend mpya hela anaiba wapi, yule Lukuvi anae wapatia chakula wananchi wake kipindi cha njaa hela ameiba wapi, yule Tulia anayekopesha Bajaj je..kwann cdm hawakufanya?..tunapopewa tushukru tuwe na wabunge wenye uwezo wa kutuhudumia wenye hisia na uchungu na umaskini wetu...syo blah blah tu
 
Hela za Sabodo mlifanyia nn? Hela za join mlifanyia nn....hebu oneni Jimbo la njombe mjn stend mpya haina hata miaka mi5 lakini ishazungukwa na makazi kibao kwasabu ya sera nzuri ya mbunge wa ccm...yy focus ni kuifanya njombe iwe manispaa nyny mmebaki mnazungusha mikono tu 😄
HONGERA SANA JESCA KWA KUUPAMBA MJ NA ROUND ABOUT
Kwani mliambiwa hela za Sabodo mnaletewa Iringa?
Umetoka kwa Asas sasa umehamia kwa Jesca? SWELA MUYA !
 
Kwani mliambiwa hela za Sabodo mnaletewa Iringa?
Umetoka kwa Asas sasa umehamia kwa Jesca? SWELA MUYA !
Hapo nimetoa mfano tu .. kumpongeza Jesca kwa kazi nzuri aliyoifanya kupendezesha mj na kupendekeza Kama ikibidi Basi 2025 waangalie watu wenye wapo Kama asas au asas mwenyewe kwa maendeleo ya ss wahehe wa iringa...na kamwe wasiiamini CDM Ni matapeli walikuwa wanapewa hela na Sabodo zote ziligongwa na juz tu hapa wamekula hela za chain..wamekaa iri miaka 10 tukaanza kupitwa na mafinga
 
Mbunge wa ccm maskini labda ukamtafute Kwa tochi au wale ambao Jiwe aliwalazimisha ila kama huna pesa huwezi kuwa mbunge Kwa ccm ukatoboa.
Watu Wenye Fedha kama Fedha huajiri Wabunge hawana muda wa kupigizana makelele

Hii akili kubwa alikuwa nayo Reginald Mengi RIP na Rostam Aziz akaiga baadae kisha Mo Dewji naye akaiga
 
Acha upumbavu, hunijui mimi,huo ubaguzi unaousema umenijulia wapi?,nimeishi na boers na hawakunibagua hata siku moja,Asas utajiri wake hauna paper trail

Sasa acha kumdhania mtu wakati huna ushahidi wowote, ALEYOMBA GEKKE, acha kudhania.
 
Maendeleo hayawezi kuletwa na mtu mmoja Tena mwarabu anayemwona mwafrika kama kima na kumdharau kama mtumwa asiye na akili. Hivi unafikiri hao watu weupe wamewahi kumwaona mwafrika kama binadamu mbele ya maslahi yao.

"Sinking man scratches a serpent"

Umejawa chuki tu, hapo nikikuuliza chuki zimekupatia nini katika maisha yako, huna la kujibu, ALEYOMBA GEKKE acha wivu, chuki na roho mbaya, Allah hapendi.
 
Kwa hiyo kila mwenye pesa anatakiwa kuwa mbunge?
Raha tuwe na wabunge ambao shida za wananchi wanamaliza wenyewe, syo tuskie " serikali imeshindwa kutujengea shule karibu na ss" wakati mbunge yupo! Ameshindwaje kujenga madarasa manne ya mili80, ndo madhara ya kuchagua kapuku kila kitu mpaka mchangie.
 
Back
Top Bottom