Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Raha tuwe na wabunge ambao shida za wananchi wanamaliza wenyewe, syo tuskie " serikali imeshindwa kutujengea shule karibu na ss" wakati mbunge yupo! Ameshindwaje kujenga madarasa manne ya mili80, ndo madhara ya kuchagua kapuku kila kitu mpaka mchangie.
Mbunge masikini Ni mzigo kwa wananchi wake
 
Tumejaa chuki na wivu kwa wawekezaji lakini ukiuliza tumefanya nini kimya...
Wewe Kwa Nini unasema kuwa tumejawa chuki badala ya wao wanaoshirikiana na wahuni kutuibia . Hivi unadhani kuwa hao wawekezaji watakuletea maendeleo badala ya mtanzania mwenzako .
Leo hii wanamaliza madini za Liganga na mchuchuma Kwa mkataba wa kimangungo. Pesa walizotoa unafikiri wangeelimishwa Wamasai na Wasukuma wenye n'gombe zaidi za Mili. 5 unafikiri wangeshindwa Kununua Mlima mzima wa Liganga na mchuchuma. ? Tunawaabudu wazungu na makaratasi yao yanazoitwa Dola na kupuuza mpaka Hela yetu ambayo ni karatasi kama ya kwao.

Pumbavu sana wahuni wa Afrika wanaoliua bara la Afrika Kwa manufaa ya wazungu wachache na kuua Kizazi Cha Afrika.
Ndio maana hata wewe huiamini kesho ya mtoto wako katika mazingira ya utawala tulio nao . Watu wanafundishana kuiba na kushirikiana na wezi Kwa manufaa yao lakini sio nchi. Mwekezaji Gani anaweka sharti la kupewa shamba ekari 20,000/- ?

Wewe unaona ni sawa nchi yetu yenye watu Mili. 61 + kugawa ardhi Kwa wahuni wakati 80% ya Watanzania ni WAKULIMA na wafugaji. ? Hao wafugaji na WAKULIMA watakaa wapi miaka ijayo na watoto wao wakati hakuna jitihada za kulinda ardhi yetu dhidi ya wavamizi kutoka nje!
Mtu anataka akijenga Kiwanda apewe na ardhi ya kuzalisha malighafi yeye Mwenyewe ili baadae watanzania wawe manamba na watumwa wa shamba na Kiwanda chake . Nyie mnashangilia na kuwapigia makofi wahuni.
 
Wahuni wawapi unataka kuniambia chadema hela walizopewa na SABODO waliibiwa zilienda wapi na zilifanya nn? na hela za join the chain line ya simu ilipotea?.. matapeli wakubwa wale...wamekuwa wabunge miaka 10 badala waonyeshe watu maendeleo waliyoyafanya wao wanaonyesha picha za watu wanazungusha mikono🚮
 
Kwani Sasa kama chama hakini ofs na kinapata hela huoni Kama ni corruptive hcho kwahyo viongozi wapige tu....hebu waulize walijenga madarasa mangapi hata moja Hakuna kwa miaka 10
Pesa ya ruzuku Kwa Chama kikubwa haiwezi kutosha kufanya kila kitu. Kuna kazi za kuutangaza Chama Kwenye mitandao ,kutumia vyombo vya habari ,magari ya safari ,kulipa wafanyakazi na safari zao ndani na nje ya nchi.

Kwa hiyo kujenga majengo ni jambo kubwa sana . Nadhani hujui kuwa CCM ilipokua inajenga ofisi kila Kijiji ,Kata ,Wilaya ,mkoa na Taifa walichangishwa mpaka wanafunzi mashuleni wakati huo ni Chama kimoja na serikali ilikua yao . Leo kutaka ACT au CuF ilingane na CCM kimiundimbinu ni mbingu na ardhi .

Kwa Sasa Tunataka tupate watanzania Wenzetu wakatutungie SHERIA ndani ya Bunge sio watu kutoka Punjabu na Gujarati au Pakistani au Paris.

Kukaomalia maofisi badala ya kupata watu wenye uwezo ni kuimarisha CCM B .
Tutoke Huko kwenye mavyama ya Siasa tuwekeze kwenye watu wenye uwezo na maono Kwa Taifa hili. Tutumie Kodi zetu kusomesha WAKULIMA na wafugaji na wafanyabiashara nje ya nchi. Wajifunze wanavyofanya Wenzetu na sio kuwategemea . Hii nchi inapotezwa na wahuni kushirikiana na mabilionea wageni wanaotaka kupora na kwenda kuishi Dubai kwenye Jiji kubwa la mabilionea wa Dunia nzima . Hawana muda na watoto wa maskini kule Namanyere. Watawaachia mashimo na matetemeko makubwa ya ardhi kutokana na kuharibiwa Kwa mazingira na uchimbaji mkubwa wa madini ya chuma na kuyasomba kupeleka Ulaya na China . Hakuna nchi iliyokuwa inasafririsha malighafi za madini nje Kwa kiwango hicho. Kiwanda Cha chuma kilipaswa kijengwe Liganga na sio kupeleka malighafi nje ya nchi.

Pumbavu sana wahuni.
 
Hizo trip za chopa huko Kigoma unajua garama wanazotumia kwa saa? Hizo ruzuku walizopokea miaka 10 ya nyuma mixer na michango ya wabunge walikatwa kwenye mishahara Yao walifanyia nn? Hata ofs Taifa Hakuna...huku majimboni wamejaza wabunge masikini wao ni kuongea tu hawana hata plan za kutanua miji...wao hata kusema wajenge ofs ya mbunge ya mil. 20 tu hakuna..... mbunge wa chadema alikuwa Ni Ndesamburo (R.I.P)...Ila Hawa wengne Ni matapeli Kama matepeli wengine
 
Umejawa chuki tu, hapo nikikuuliza chuki zimekupatia nini katika maisha yako, huna la kujibu, ALEYOMBA GEKKE acha wivu, chuki na roho mbaya, Allah hapendi.
Wewe ndio umejawa na chuki mana huwathamini waafrika wenzako.
Kwa hizo unaona ni sawa hata jambazi likiua ndugu yako na kupora fedha Kisha likatajirika ndio tulipongeze Badala ya kufanya mbinu ya kulikamata na kuliua jambazi. Mnahamasisha uhalifu na wizi wa Mali za umma badala ya kuhamasisha uadilifu.

Na mkiendelea kukumbatia wezi mjue mgomo mkubwa utakuja na wahuni hawana hasara mana wao Wana magunia ya pesa wanazogawana .

Hii nchi huijui na wahuni hujui wanavyoliumiza Taifa. Hakuna mtu anategemea kupewa chakula na mhindi au mwarabu bila kazi ya kitumwa kwenye VIWANDA vyao. Kwa hiyo hatuna haja ya kuwapigia magoti wahuni na mawakala zao. Wahindi wachache na Waarabu wachache wafuate SHERIA za Kodi na wakae Kwa kufuata SHERIA na sio Kwa rushwa na janjajanja kwenye nchi yetu.
 
Hapo Sasa ni chuki inakutesa, wakati nyie chadema ni matapeli wakutupwa😄 mmetudorotesha Iringa yetu sahz ingekuwa mbali Sana, baada ya kuona mmekwama kuhujum wa machinga kuhama mkaamua muondoke mjifanye mnaenda mikoa mingine kumbe mmeogopa kuchangia ujenz wa vibanda vya machinga mpaka asas alipojitolea kuwajengea
 
Wahuni wawapi unataka kuniambia chadema hela walizopewa na SABODO waliibiwa zilienda wapi na zilifanya nn? na hela za join the chain line ya simu ilipotea?.. matapeli wakubwa wale...wamekuwa wabunge miaka 10 badala waonyeshe watu maendeleo waliyoyafanya wao wanaonyesha picha za watu wanazungusha mikono[emoji706]
Mimi sio mwanasiasa mkuu. Naona unakomaa na Mambo ya Chadema kwenye masuala ya kizalendo. Siasa tuachane nazo wakati Mwingine mana hata huyo Asas sio mwanasiasa ni mfanyabiashara. Tunamjadili mfanyabiashara na sio mwanasiasa. Chadema ni Chama Cha siasa siao Kampuni ya kibiashara ili tuilinganishe na ASAS .
Mambo ya Chama Cha siasa ni kama dini ukitaka kuifanya Dunia iwe ya wote basi achana na matamko ya kisiasa na ushabiki uliopitiliza Hali kadhalika dini. Ukiona kuwa dini yako ndiyo ya maana TU na kuona wengine hawana maana nadhani unaipeleka Dunia kwenye uharibifu.

Mimi nazungumzia kuwapa watanzania Wenzetu ajira hizi za Ubunge ,udiwani n.k. ili nao waendeshe maisha yao na kutuwakilisha Sisi waafrika wenzao katika mazingira na Mila zetu .
 
Hizo trip za chopa huko Kigoma unajua garama wanazotumia kwa saa? Hizo ruzuku walizopokea miaka 10 ya nyuma mixer na michango ya wabunge walikatwa kwenye mishahara Yao walifanyia nn? Hata ofs Taifa Hakuna...huku majimboni wamejaza wabunge masikini wao ni kuongea tu hawana hata plan za kutanua miji...wao hata kusema wajenge ofs ya mbunge ya mil. 20 tu hakuna..... mbunge wa chadema alikuwa Ni Ndesamburo (R.I.P)...Ila Hawa wengne Ni matapeli Kama matepeli wengine
WATANZANIA TUCHAGUE WABUNGE WENYE UWEZO KIFEDHA TUACHANE NA HAWA MATAPELI WA MJIN
 
Umejawa chuki tu, hapo nikikuuliza chuki zimekupatia nini katika maisha yako, huna la kujibu, ALEYOMBA GEKKE acha wivu, chuki na roho mbaya, Allah hapendi.
Tukupe sasa tuzo ya mteteaji wa waarabu namba moja humu jamvini.
Bwana wako atakuwa proud sana
 
Hizo trip za chopa huko Kigoma unajua garama wanazotumia kwa saa? Hizo ruzuku walizopokea miaka 10 ya nyuma mixer na michango ya wabunge walikatwa kwenye mishahara Yao walifanyia nn? Hata ofs Taifa Hakuna...huku majimboni wamejaza wabunge masikini wao ni kuongea tu hawana hata plan za kutanua miji...wao hata kusema wajenge ofs ya mbunge ya mil. 20 tu hakuna..... mbunge wa chadema alikuwa Ni Ndesamburo (R.I.P)...Ila Hawa wengne Ni matapeli Kama matepeli wengine
Mji hautanuliwi na wabunge mkuu.

Fursa zinawekwa na Mji unatanuka .
Kwa Sasa Jiji la DSM linaungana na mkuranga kutokana na fursa za VIWANDA na sio wabunge .

Basi Tuchamchague Bahressa kuwa meya wa Jiji la DSM ili alifanye Jiji liwe kama Dubai.

Nchi inatakiwa iwe na Serikali Shupavu yenye uwezo wa kusimamia Kodi za watu hata kama ni kubwa .
Mnashindwa kuwajibisha Halmashauri zenu zinazokusanya mapato usiku na mchana halafu mnategemea kuletewa maendeleo na mfanyabiashara badala ya kuchukua Kodi kwake mnaomba million 200 halafu kesho anaomba kuingiza malori 500 anaomba apitishe kijanja janja mnapoteza bil. 5 za ushuru na Kodi kwenye magari hayo halafu mnashangilia.
 
Mimi sio mwanasiasa mkuu. Naona unakomaa na Mambo ya Chadema kwenye masuala ya kizalendo. Siasa tuachane nazo wakati Mwingine mana hata huyo Asas sio mwanasiasa ni mfanyabiashara. Tunamjadili mfanyabiashara na sio mwanasiasa. Chadema ni Chama Cha siasa siao Kampuni ya kibiashara ili tuilinganishe na ASAS .
Mambo ya Chama Cha siasa ni kama dini ukitaka kuifanya Dunia iwe ya wote basi achana na matamko ya kisiasa na ushabiki uliopitiliza Hali kadhalika dini. Ukiona kuwa dini yako ndiyo ya maana TU na kuona wengine hawana maana nadhani unaipeleka Dunia kwenye uharibifu.

Mimi nazungumzia kuwapa watanzania Wenzetu ajira hizi za Ubunge ,udiwani n.k. ili nao waendeshe maisha yao na kutuwakilisha Sisi waafrika wenzao katika mazingira na Mila zetu .
Mtu yoyote bila kujali ni mwanasiasa au mfanyabiasha wa sehem husika na amekuwa akichangia maendeleo ya sehem husika na ni raia wa Tz awe huru kushiriki shughuli za kisiasa bila kujali rangi/kabila... chamsingi ni kuachana na Hawa wabunge masikini ambao wakishaingia madarakani hawana msaada wwte...unakuta jimbon kwake Kuna michango mpka watu wanavikimbia vjjn yy yupo tu mjin, tupate wabunge wenye hela ambao watatupunguzia maumivu ss wananchi...mf. Jimbo la makambako hutaskia michango sjui ya nn....
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, PEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
NB: HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI YASITAFSIRIWE VINGINEVYO
Vyawa mnatafuta matajiri wa kuwaganda muwale hewa?
Kwani usijitokeze wewe ukagombea?
 
Tukupe sasa tuzo ya mteteaji wa waarabu namba moja humu jamvini.
Bwana wako atakuwa proud sana
Mkuu mtu yyte ambae ameshapewa uraia ana haki zote Kama raia wengine.. naomba uondoe hoja zako za kibaguzi hapa anzisha Uzi wako
 
Hizo trip za chopa huko Kigoma unajua garama wanazotumia kwa saa? Hizo ruzuku walizopokea miaka 10 ya nyuma mixer na michango ya wabunge walikatwa kwenye mishahara Yao walifanyia nn? Hata ofs Taifa Hakuna...huku majimboni wamejaza wabunge masikini wao ni kuongea tu hawana hata plan za kutanua miji...wao hata kusema wajenge ofs ya mbunge ya mil. 20 tu hakuna..... mbunge wa chadema alikuwa Ni Ndesamburo (R.I.P)...Ila Hawa wengne Ni matapeli Kama matepeli wengine
Unataka wajenge ofisi ili ikusaidie nini wewe? CCM wana ofisi lakini kushinda uchaguza hawatumii ofisi zao bali wanatumia ofisi za umma hadi Polisi ma usalama wa Taifa.
 
Mkuu mtu yyte ambae ameshapewa uraia ana haki zote Kama raia wengine.. naomba uondoe hoja zako za kibaguzi hapa anzisha Uzi wako
Akipewa uraia na ubaguzi wake unaondoka automatically ?
Tukienda kwenye viwanda vyake kwenye managerial positions tutakuta rangi gani wengi?
 
KWANI MTU AKIWANYANYUA WATU LAZIMA AWE MBUNGE????????????

AWAACHIE MASIKINI NAO WAONJE KEKI YA TAIFA.

WATANZANIA ACHENI USHAMBA
 
Back
Top Bottom