We mjinga nn nipime upepo gani? Watu tunataka tupate kiongozi wa maana atakae ijenga Iringa yetu ili lije siku moja liwe jj wew unasema napima upepo nyau we!Ndo amekutuma upime upepoo? Muambie awe bize na kutengeneza yoghurt, ubunge sio wake.
Mbali na iringa ulibahatika kuishi wapi tena tz?Hivi bila CCM kujenga Ile miundombinu pale mjni iringa siingepitwa na ludewa😄😄
...msigwa alikuwa na baraza la madiwani wanauza viwanja tu wao hawanunui....WAHEHE TUACHANE NA CHADEMA WATATURUDISHA NYUMA
Mgaya luhala veve!Kimong'omong'o kabisa!pifunda pala zile roads kumbe alijenga mfugale bwana, unaona watu Kama hao...unapopita ifunda vp palivyo pazuri. Lakn msigwa alihamasisha watu wajenge vilabu na pamjn🤣🤣....tuifanye iringa liwe jj ...nogage Sana veve
Ubunge ni uwakilishi wa wananchi bungeni, sio kazi ya kushibia njaa.Salim ameshavuka Viwango vya Ubunge
Hana Njaa hiyo
Sisi?Wewe na nani?Unawajua wapiga kura wa Iringa mjini?We bakiaga hukohuko uliko Ila ss tutahakikisha tunapata mbunge mwenye focus ya maendeleo atakae weka alama...Sasa msigwa aliacha alama gani...be nayuveve ngali uke wigala sweh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee wee chawa wa ASAS, muambie Iringa hawamtakiii. Awe buzzy kutengeneza yoghurt na mtindi.We mjinga nn nipime upepo gani? Watu tunataka tupate kiongozi wa maana atakae ijenga Iringa yetu ili lije siku moja liwe jj wew unasema napima upepo nyau we!
Hawana mikono mpaka walishwe??Hao wabunge wanaofanya maendeleo je? Huko ismani mbunge amewalisha chakula wananchi wake mwaka mzma kwahyo alifanya kosa syo...nyie michadema hovyo kabisa.
Hivi wewe una akili sawasawa?Aliwalisha chakula mwaka mzima?Mwaka gani?Tupe na idadi kijiji kwa kijiji waliolishwa.Hao wabunge wanaofanya maendeleo je? Huko ismani mbunge amewalisha chakula wananchi wake mwaka mzma kwahyo alifanya kosa syo...nyie michadema hovyo kabisa.
Hebu itaje hiyo barabara anayojenga Jesca.Nyie chadema bwana...mpo bungen miaka 10 hamna hata ofs na mbeya hvohvo sjui hela mnapelekaga wapi mmefanya iringa yetu nyuma sahz ndo jesca anajenga barabara
Nyie chadema mmetuharibia iringa yetu imagine miaka 10 lakin mmeshindwa hata kubuni maeneo ya maana..hebu onene njombe mjn mbunge anavyoutanua mjn..soon njombe inakuwa manispaa nyie mtaendelea na siasa zenu za kitapeli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee wee chawa wa ASAS, muambie Iringa hawamtakiii. Awe buzzy kutengeneza yoghurt na mtindi.