Mkuu, hii mada inawachoma sana wabaguzi, wenye wivu na chuki dhidi ya waarabu, hawa hawa ndio wanatusumbua na kutujazia servers every time, wachache waliomo humu hawawezi shindana na wanairinga ambao wanamjua kiundani zaidi yetu, wanamjua mwarabu huyo A to Z, so ni easy sana kukubaliwa, hawa tulionao humu tushawazoea na chuki zao zisizo na maana yoyote. Ukitaka kuwapata hawa maadui anzisha mada inayohusu uislamu au mada ya kumsifia mwarabu utaona watavyotiririka kisa ametajwa mwarabu ama uislamu.
Yatupasa kupendana, na sio kuwekeana chuki. ALEYOMBBA GEKKE bhabhaa Mwenyezi Mungu ametutaka tupendane na sio kuchukiana