Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Furugu ndo nn mkuu🤣🤣....kuliko wale matapeli wamekaa Iringa mjn miaka 10 Hawa ofs hawana, hakuna wakichokifanya ..wao ni kupitisha vilambo tu kuomba hela huku wanakula posho za ubunge, wali uddmiza Sana mji wetu...
Acha kujificha umetumwa na Asas umletee furugu Mbunge Msambatavangu, Asas labda awe Mbunge wa waendesha baiskeli Tanzania.
 
Umekutumwa na Asas umletee furugu Mbunge Msambatavangu.
Wajanjawajanja hao.Wanaanzisha hili mitandaoni kuhusu ASAS kumchokoza na Jesca ili atoe mpunga.Ogopa mtu jobless akikaa na wenzie muda mwingi wanapangilia mipango ya kuishi kwa mteremko!Si sawa na wewe unayekuwa unawaza mambo mengi ya kujijenga kwa akili zako.Beware of conmen!😂😂😂
 
We jamaa hivi hata kulala unalala kweli maana huu Uzi unakupa Moto sana, au ndo ww huwa unapita hapa mjn kuchangisha hela za mikutano ya chadema halafu jioni watu wanakuona umelewa mitaa ya samola kule🤣🤣
 
Haya ni maziwa ya bure yanaongea
Halafu ni kidume hicho kimekuja JF kusifia maziwa ya packets za jerojero na fadhila(swadaka kila ijumaa)za bukubuku wapewazo kila mmoja.Ukimuuliza nini mbaya?Anajibu tumchague kwa sababu CHADEMA hawana ofisi.Yani hakuna uhusiano wa chochote.Anajua watakosa vya bure tu.
 
Haya ni maziwa ya bure yanaongea
Bora hata haya maziwa kuliko siasa zenu za kitapeli mlizotufanyia hapa Iringa mjn sahz mmeona machinga wamehamia maeneo mazuri mnajifanya hapa Iringa mmeondoka🤣 mkidhani tutasahau mlivyokuwa mnatutapeli hela zetu na vilambo vyenu sahz mnashindwa kununua hata mabanzi tu
 
We jamaa hivi hata kulala unalala kweli maana huu Uzi unakupa Moto sana, au ndo ww huwa unapita hapa mjn kuchangisha hela za mikutano ya chadema halafu jioni watu wanakuona umelewa mitaa ya samola kule🤣🤣
Siwezi kutulia na kuangalia genge la mihuni ikijiandaa kupiga watu matukio ya wizi na utapeli.Mkawadanganye wengine!
 
We dalali kwani hujui kwamba Iringa mjini kuna Mbunge? huyo Asas wanini sasa, acha kuzunguka kama hafai sema hafai, tumtafute mwingine maana hata huyo Asas mwenyewe hafai vilevile.
Mimi Sina shida na CCM nina shida na nyie matapeli wazungisha mikono..kwanza mlituchosha sana kutuzungusha mikono
 
Siwezi kutulia na kuangalia genge la mihuni ikijiandaa kupiga watu matukio ya wizi na utapeli.Mkawadanganye wengine!
Hahaaaaa nyinyi si ndo watalamu wa wahuni...mwenzenu mbeya ametoa kiwanja Leo hii wakati alikaa bungeni miaka 10 ofs anatumia chumba chake...hivi nyie matapeli ofs yenu ipo wapi hapa mjn
 
Bora hata haya maziwa kuliko siasa zenu za kitapeli mlizotufanyia hapa Iringa mjn sahz mmeona machinga wamehamia maeneo mazuri mnajifanya hapa Iringa mmeondoka🤣 mkidhani tutasahau mlivyokuwa mnatutapeli hela zetu na vilambo vyenu sahz mnashindwa kununua hata mabanzi tu
Hiyo huruma unayoitafuta kwetu sisi wanainchi hatumtaki, labda agombee Ubunge kwenye ukoo wenu.
 
Mimi Sina shida na CCM nina shida na nyie matapeli wazungisha mikono..kwanza mlituchosha sana kutuzungusha mikono
Kwa sasa,kwani huko Iringa CHADEMA ndiyo ina mbunge?Umeulizwa hauoni kwamba unamchafua Jesca kwa uzi wako wa uchonganishi na uroho wa maziwa na bukubuku?Ni lini kama CCM imesema Jesca hafai?Unaonesha ulivyo na tabia za ukibaka kwa chama chako.Utauza jimbo kwa gharama ya kilemba cha waarabu.Onesha adabu hata kwa Jesca usijifiche kwa kuitajataja CHADEMA!
 
Hatutaki wabunge wababaishaji...hivi ofs yenu ipo wapi hapa Iringa mjn...mliacha legacy gani hapa mjn,... Sahz huoni Jesca alivyopendezesha mj mpaka round about ya maana...Ila nyie jamaa wa hovyo Sana mlifanya iringa mjn nusu tupitwe na mafinga kwa maendeleo
 
Kwa sasa,kwani huko Iringa CHADEMA ndiyo ina mbunge?Umeulizwa hauoni kwamba unamchafua Jesca kwa uzi wako wa uchonganishi na uroho wa maziwa na bukubuku?Ni lini kama CCM imesema Jesca hafai?Unaonesha ulivyo na tabia za ukibaka kwa chama chako.Utauza jimbo kwa gharama ya kilemba cha waarabu.Onesha adabu hata kwa Jesca usijifiche kwa kuitajataja CHADEMA!
Hizo bukubuku si ndo ulikuwa unatupora na kilambo chako halafu jioni tunakukuta umelewa mitaa ya samora...mlichukua buku zetu mkashindwa hata kujenga ofs ndo ujue hela za wanyonge zilivyo na laana
 
Mimi Sina shida na CCM nina shida na nyie matapeli wazungisha mikono..kwanza mlituchosha sana kutuzungusha mikono
Kwa sasa,kwani huko Iringa CHADEMA ndiyo ina mbunge?Umeulizwa hauoni kwamba unamchafua Jesca kwa uzi wako wa uchonganishi na uroho wa maziwa na bukubuku?Ni lini kama CCM imesema Jesca hafai?Unaonesha ulivyo na tabia za ukibaka kwa chama chako.Utauza jimbo kwa gharama ya kilemba cha waarabu.
Hiyo huruma unayoitafuta kwetu sisi wanainchi hatumtaki, labda agombee Ubunge kwenye ukoo wenu.
Kabisa.Agombee kwenye ukoo wao ili wakamfanyie na kazi za kumkatia majani ya ng'ombe wawe wanaonana masaa yote.
 
Back
Top Bottom