My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
Matajir km hao ambao hupenda kujihusisha na jamii huwa hawakosi ubunge wakiamua kugombea,ni nshu ndg sanaa kwake akiamua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana nakwambia nyinyi ni matapeli mlikuwa mnakuja mnachangisha watu hela za mikutano mnatokomea nazo, Cha ajabu mmeondoka kapuku mnahangaika tu na siasa za kitapeliHana kazi maalumu ya kumuingizia kipato huyo.Nilipokuwa huko Iringa walikuwa hadi wanapewa sifa mbaya zaidi za kuudhalilisha uanaume wao.Na kazi nyingine ni kuwa makuwadi wa waarabu/kuwatafutia mabinti kwa ujira wa aibu!These people are more than ridiculous!
Yeyote mwenye sifa wazitakazo wapiga kura bila kujali ni maskini au ni tajiri au rangi yake akigombea atapewa bila kujali chama chochote cha siasa atokacho kiwe ni ccm au Chadema ilimradi awe na uwezo wa kuikosoa serikali kwa kujenga hoja Bungeni na kuwasemea wanainchi wa Iringa mjini.Naona mhehe wa CCM umekiwasha, Hawa jamaa chadema siyo wakuwachagua kabisa nakuunga mkono
Ametoa msaada mkubwa kwenye ujenzi wa mabanda mapya ya wamachinga, ametoa mtaji kwa wafanyabiashara wadogo wadogo, amesomesha vyuo vikuu watoto wanaotoka familia maskini, in general Ni mtu wa watu
Kuikosoa serikali? Au kufanya maendeleo? Yani mnataka turudi kulekule kwenye siasa za kutoka inje ya bunge kugomea vikao vya bunge huku Jimboni Kuna matatizo kibao... achaneni na dysfunctional politics, hzo siasa za kipuuzi ndo zimefanya iringa mjn tuanze kuona barabara za lami vichochoroni baada ya kuja jesca... ilikuwa vumbi tuYeyote mwenye sifa wazitakazo wapiga kura bila kujali ni maskini au ni tajiri akigombea atapewa bila kujali chama chochote cha siasa atokacho ccm au Chadema ilimradi awe na uwezo wa kuikosoa serikali kwa kujenga hoja Bungeni na kuwasemea wanainchi wa Iringa mjini.
Acha ubaguzi, sio kweli, Bungeni Wabunge wenye asili ya Arabs na Hindus ni wengi, kwa Tanzania hakuna hilo na tumwombe Mungu atuepushe na hilo.Kinachomwangusha mwanaume huyu ni RANGI yake mzee baba, ila angelikua mtu mweusi haijalishi tapeli, mwizi, fisadi, wala hatoi misaada yoyote ile kwa wananzengo unafikiri kungelikua na kelele kama hizi!! Aleyommba gekke bhabhaa Maxence Melo angelikua tu anawalima life Ban watu wa style hii
Yeyote mwenye sifa wazitakazo wapiga kura bila kujali ni maskini au ni tajiri akigombea atapewa bila kujali chama chochote cha siasa atokacho kiwe ni ccm au Chadema ilimradi awe na uwezo wa kuikosoa serikali kwa kujenga hoja Bungeni na kuwasemea wanainchi wa Iringa mjini.
Acha ubaguzi, sio kweli, Bungeni Wabunge wenye asili ya Arabs na Hindus ni wengi, kwa Tanzania hakuna hilo na tumwombe Mungu atuepushe na hilo.
Kuna kitu anaficha.Na changamoto yake hajui hata kucheza na akili za watu wazima wala ukuwadi kisiasa hajui.Tatizo la mleta mada anatuaminisha japo kwa kujificha kwa kukwepa kivuli cha ccm na Jesca kwamba anayefaa 2025 ni Asas na si Jesca na ndio maana maswali mengi ya msingi aliyouliswa aliyakwepa kwa kujibu hoja zisizo kuwepo.
Nlikwepa kuyajibu wapi ww na chadema yako, mmetuharibia mji wetu hatuna hamu na nyny matapeli wakubwa nyieTatizo la mleta mada anatuaminisha japo kwa kujificha kwa kukwepa kivuli cha ccm na Jesca kwamba anayefaa 2025 ni Asas na si Jesca na ndio maana maswali mengi ya msingi aliyouliswa aliyakwepa kwa kujibu hoja zisizo kuwepo.
Ninaficha hela za join the chain au kile kilambo Cha bukubuku mlichokimbia nacho....nyie chadema Hatuna hamu na nyinyi miaka 10 hata barabara ya mjn kihesa mliacha vumbi tu loh!Kuna kitu anaficha.Na changamoto yake hajui hata kucheza na akili za watu wazima wala ukuwadi kisiasa hajui.
Kwa kuwa mji umeharibiwa na Chadema ndio maana unataka Asas awe Mbunge.Nlikwepa kuyajibu wapi ww na chadema yako, mmetuharibia mji wetu hatuna hamu na nyny matapeli wakubwa nyie
Syo lazima awe asas ila awe ni mtu anayeendana na asas kwamba ni mtu wa watu anajali na anauchungu na mji wetu wa Iringa..hata akibaki jesca sawa kwasabu nae ameshaonyesha makubwa....Ila HATUWATAKI CHADEMA NARUDIA HATUWATAKI CHADEMA IRINGA MJNKwa hiyo unataka Asas awe Mbunge.
Jesca Msambatavangu hizo sifa anazo au hana.Syo lazima awe asas ila awe ni mtu anayeendana na asas kwamba ni mtu wa watu anajali na anauchungu na mji wetu wa Iringa..hata akibaki jesca sawa kwasabu nae ameshaonyesha makubwa....Ila HATUWATAKI CHADEMA NARUDIA HATUWATAKI CHADEMA IRINGA MJN
Anayestahili kuwa Mbunge ni Jesca Msambatavangu wewe unasemaje.Syo lazima awe asas ila awe ni mtu anayeendana na asas kwamba ni mtu wa watu anajali na anauchungu na mji wetu wa Iringa..hata akibaki jesca sawa kwasabu nae ameshaonyesha makubwa....Ila HATUWATAKI CHADEMA NARUDIA HATUWATAKI CHADEMA IRINGA MJN