Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
- Thread starter
- #461
Mmemis kutuibia buku zetu matapeli wakubwa nyieKwa sasa,kwani huko Iringa CHADEMA ndiyo ina mbunge?Umeulizwa hauoni kwamba unamchafua Jesca kwa uzi wako wa uchonganishi na uroho wa maziwa na bukubuku?Ni lini kama CCM imesema Jesca hafai?Unaonesha ulivyo na tabia za ukibaka kwa chama chako.Utauza jimbo kwa gharama ya kilemba cha waarabu.
Kabisa.Agombee kwenye ukoo wao ili wakamfanyie na kazi za kumkatia majani ya ng'ombe wawe wanaonana masaa yote.