Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Hakuna ubaguzi mkuu kwenye uzalendo ni lazima uwajengee watu wako fikra za kujiamini kabla ya kuwaambia kuwa wageni ni Bora kuliko wao.
Wageni walishafundishwa Karne nyingi kuwa waafrika ni manyani , dini zao ni za kipagani ,hawakubaliwi na Mungu mana wanafanana na shetani, wakaambiwa Mila zao ni za kishenzi, tamaduni zetu ni za kishenzi na kamwe wao wasiige kitu chochote kutoka Afrika Kwa watu washenzi na wasiojitambua na manyani wasioweza kujitawala na kutumia Rasilimali zao kuleta maendeleo.
Eti Sisi mpaka nyama za twiga , swala , digidigi na nyati sio nzuri Bali nyama nzuri ni ya ngamia na Nguruwe za Wazungu.
Halafu unasema tusiwawapinge hujuma zao. Hapana . Hatuwabagui ila hatutaki wahuni wanaotaka kuwekeza pesa zao za wizi kwao huku wakitudanganya kuwa Hawa ni Wenzetu na wanatujali. Wameanza lini kutujali kama sio kujali Mapesa yanayofichwa kwenye makampuni yao .!?

Wafanyebiashara Kwa haki na walipe Kodi basi. Wasitumie rushwa kuwanunua watawala Kwa ajili ya biashara zao za madawa na Magendo .
🚮🚮
 
Asas hana cha ziada, zaidi ni hizo hela zake ulizokula wewe ni njaa inakusumbua huna lolote, ingefaa ugombee wewe ulete hayo maendeleo uyahubiriyo.
Mbona nyiny mmekula hela za mzee Sabodo hata kiwanja cha ofs hamna...mmekula juz tu hela za join the chain tunawaangalia tu...nasema nynyi Ni matapeli
 
Hayo nimaoni yangu...nimeona nyie chadema mmetuharibia Sana Iringa yetu mmekaa miaka 10 mmeshindwa hata kujenda darasa tu kazi yenu ilikuwa Ni kuzungusha mikono tu na kupitisha vilambo vya kuchangisha hela
Unatafakari unachoandika au unaandika ili mradi uonekane umeandika? Wewe lazima wa kuja sio mzaliwa wa Iringa mjini. Maana hatuna akili za hovyo hivi.
 
Unatafakari unachoandika au unaandika ili mradi uonekane umeandika? Wewe lazima wa kuja sio mzaliwa wa Iringa mjini. Maana hatuna akili za hovyo hivi.
😄😄 Mmetuharibia iringa yetu mlikuwa mnazungusha tu mikono....Leo mnaambiwa mchangie ujenzi wa banda la machinga hamna kitu....nyie mmeturudisha nyuma sana
 
[emoji1][emoji1] Mmetuharibia iringa yetu mlikuwa mnazungusha tu mikono....Leo mnaambiwa mchangie ujenzi wa banda la machinga hamna kitu....nyie mmeturudisha nyuma sana
Ndio maana nakwambia wewe ni wakuja....huwezi kushiba maziwa ya bure ukaanza kuandika pumba. Rudi kijijini kwenu kajifunze namna ya kuishi mjini
 
Ndio maana nakwambia wewe ni wakuja....huwezi kushiba maziwa ya bure ukaanza kuandika pumba. Rudi kijijini kwenu kajifunze namna ya kuishi mjini
Iringa chini ya jesca kwasasa wamejenga bonge la round about ...Ila chadema kweli alituchelewesha sana
 
Ndio maana nakwambia wewe ni wakuja....huwezi kushiba maziwa ya bure ukaanza kuandika pumba. Rudi kijijini kwenu kajifunze namna ya kuishi mjini
Nyie mbona mmeshiba hela za join the chain na hela alizowapaga Sabodo sahz mmekaa tu hata ofs hamna matapeli wakubwa nyie
 
Nyie mbona mmeshiba hela za join the chain na hela alizowapaga Sabodo sahz mmekaa tu hata ofs hamna matapeli wakubwa nyie
Ficha ushamba wako, sio Kila mtu yupo kwenye siasa. Jifunze kujibu hoja. Kama Mji umekushinda Rudi kwenu
 
Ficha ushamba wako, sio Kila mtu yupo kwenye siasa. Jifunze kujibu hoja. Kama Mji umekushinda Rudi kwenu
We naww unaongea nn unajua maana ya siasa ww, mmekaa Iringa mjn mmeshindwa kujenga hata ofs yenu wenyewe, nyie hovyo kabisa
 
We naww unaongea nn unajua maana ya siasa ww, mmekaa Iringa mjn mmeshindwa kujenga hata ofs yenu wenyewe, nyie hovyo kabisa
Muhimu tumejua wewe sio mzawa wa Iringa mjini, hatuna akili za kushikiwa na kunywa maziwa ya bure
 
Muhimu tumejua wewe sio mzawa wa Iringa mjini, hatuna akili za kushikiwa na kunywa maziwa ya bure
Mmekuwa bungeni miaka 10 mmekula posho na bado mkapitisha vilambo vya kuomba hela kwa wananchi ndo maana hamja acha legacy yyte iringa mjn..Yani nyiny mkionaga hela ni shda mpa radhi mlale kwenye gari msijenge ofs
 
Mkuu, hii mada inawachoma sana wabaguzi, wenye wivu na chuki dhidi ya waarabu, hawa hawa ndio wanatusumbua na kutujazia servers every time, wachache waliomo humu hawawezi shindana na wanairinga ambao wanamjua kiundani zaidi yetu, wanamjua mwarabu huyo A to Z, so ni easy sana kukubaliwa, hawa tulionao humu tushawazoea na chuki zao zisizo na maana yoyote. Ukitaka kuwapata hawa maadui anzisha mada inayohusu uislamu au mada ya kumsifia mwarabu utaona watavyotiririka kisa ametajwa mwarabu ama uislamu.

Yatupasa kupendana, na sio kuwekeana chuki. ALEYOMBBA GEKKE bhabhaa Mwenyezi Mungu ametutaka tupendane na sio kuchukiana
 
Hakika mkuu ...hapa Iringa watu huwaambii kitu juu ya Asas, Ni mtu wa watu sana
 
Hujui chochote unasubiri kugawana magunia ya sandarusi pamoja na wezi na wahuni wenzako ndio maana unaona nchi inaenda sawa tu. Kila Awamu wewe ni sawa TU. Awamu ya nne sawa, ya Tano ,sawa ,ya SITA sawa . Ina maana huwezi kutofautisha mana ukishashiba basi unaona kila kitu ni sawa. Huoni tatizo basi wewe ni zaidi ya tatizo.
Ni kama dodoki unazoa TU maji machafu na masafi.

Kwa taarifa yako mimi sio mwizi, wala sishirikiani na wezi ama wahuni kama ufikiriavyo wewe, na wala sifanyi kazi za kuajiriwa, so endelea kukariri na kuaminishwa uongo kuwa waarabu ni wabaya. Hapo jana nimekuomba ushahidi unajin'gata n'gata tuu, na mwanzo nilijua tu huna facts with evidence, Mimi ni muislamu bwana, nina imani, hivyo siwezi kumchukia binadamu mwenzangu kisa nimetofautiana nae kidini, kabila na rangi.

Aleyommba gekke bhabhaa, tupendane na wala tusichukiane na kuwekeana vinyongo, Mwenyezi Mungu hapendi.
 
Hakika mkuu ...hapa Iringa watu huwaambii kitu juu ya Asas, Ni mtu wa watu sana

Ona sasa, halafu anakuja mtu from nowhere anamkandia asas aliepo iringa wakati wana iringa wenyewe wanamkubali

1000 digits
Moisemusajiografii
Frank I Ritte

ALEYOMBA GEKKE, bakini na Chadema yenu huko huko mikoani mwenu sijui ni kaskazini ama wapi, mtajua wenyewe bandugu.
 
Back
Top Bottom