Kilunguru
JF-Expert Member
- Feb 2, 2023
- 416
- 544
Kabisa yani dah!Hawa ndio wanaifanya jamiiforum ionekane haifai, mtandao wa majungu, wivu, chuki na roho mbaya wakati wengi wao humu hawana hiyo tabia . Maxence melo anapaswa kuliangalia sana hili otherwise itageuka kuwa instagram na Facebook