Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Hawa ndio wanaifanya jamiiforum ionekane haifai, mtandao wa majungu, wivu, chuki na roho mbaya wakati wengi wao humu hawana hiyo tabia . Maxence melo anapaswa kuliangalia sana hili otherwise itageuka kuwa instagram na Facebook
Kabisa yani dah!
 
Hivi ww ukimwomba mtoto mhindi akikumegea huwa analalamika?...ivembelaga mwileme, ..
Ila kwenye hela hamjambo duh! ....sahz mnapiga hela huku mnajifariji eti "chama ni watu syo ofs"😄
Tatizo unawashwa na yasiyokuhusu.Hata hivyo,kuhusu ASAS(Salim)muelekeze agombee tu.Atajua e-kihehe wanavyoacha pombe na kunywa ugiimbi!
 
Raha tuwe na wabunge ambao shida za wananchi wanamaliza wenyewe, syo tuskie " serikali imeshindwa kutujengea shule karibu na ss" wakati mbunge yupo! Ameshindwaje kujenga madarasa manne ya mili80, ndo madhara ya kuchagua kapuku kila kitu mpaka mchangie.
Kajifunze kwanza kazi za mbunge
 
Mtu yoyote bila kujali ni mwanasiasa au mfanyabiasha wa sehem husika na amekuwa akichangia maendeleo ya sehem husika na ni raia wa Tz awe huru kushiriki shughuli za kisiasa bila kujali rangi/kabila... chamsingi ni kuachana na Hawa wabunge masikini ambao wakishaingia madarakani hawana msaada wwte...unakuta jimbon kwake Kuna michango mpka watu wanavikimbia vjjn yy yupo tu mjin, tupate wabunge wenye hela ambao watatupunguzia maumivu ss wananchi...mf. Jimbo la makambako hutaskia michango sjui ya nn....
Duuuh, ndio fikra za Vijana wa Karne hii Afrika. Hatari kamili . Hatutafikia muafaka mana una fikra za kiwizi na kufurahia Mali za kutizama hata kama ni za dhulma kwako ni sawa TU. Afrika tuna shida sana.

Hivi kama mzalendo wa Kweli JPM asingeijenga Dodoma Kwa muda mfupi ni mfanyabiashara Gani angeijenga Dodoma na kufikia kiwango Cha Jiji la maana kabisa na Ikulu Bora kabisa.
Fikra za kijinga za kutegemea misaada za wakwepa Kodi. Nimekupa mfano Mtu anakwepa Kodi bil. Kumi halafu anajenga choo Cha shimo unashangilia .
Hawa watu narudia Tena wanaliibia sana Taifa hili na niwatoa rushwa wakubwa.

Umesahau Kuna watu wanajiunganishia mpaka bombala mafuta kutoka bandarini na kuishia nyumbani kwao kama bomba la maji wanajulikana na wanatoa misaada sana Kwa wabunge marafiki zao kusaidia majimbo yao.
Unajua waza madawa ya kulevya wakubwa nchini ni watu kutoka nje na wanasaidia sana jamii. Wao wakiuza hawakamatwi Lakini mama wa kitanzania akiuza Gongo ili asomeshe mtototo wake anakamatwa anaambiwa anauza pombe haramu. Akiuza mirungi anakamatwa anaambiwa anauza dawa za kulevya . Yote ni Kwa sababu ya Wahuni wachache wanataka wahodhi pesa za nchi na kutumia rushwa kuhakikisha wageni wanawateka watawala na watawala wanakimbizana na bidagaa huku mapapa yakiwa yamesahaulika
 
Sasa halmashaur iliyoongozwa na chadema miaka 10 yote ww ulifkr kutakuwa na jipya ...wao wenyewe hawana ofs loh!
Leta hoja za uchumi shirikishi sio mambo ya ofisi za Chama ambacho hakiko madarakani.

Iringa mkoa wenye ardhi nzuri na Hali ya hewa nzuri na Wakinga mabilionea wengi badala ya kuwatumia matajiri wa ndani watawala wanawakumbatia Wahindi na Waarabu na ndiko wanakoficha Hela zao matokeo yake wanafanya njama za kutunga sheria mbovu za kufilisi wazawa ili wao kupitia wageni wahodhi makampuni yaliyovikwa koti la Wageni.
 
Pole sana, haya tuambie yamekukuta wapi na kiwanda kipi hapa nchini!! Au kazi za ndani/houseboy!!! Haya tueleze ulichokutananacho ila usisahau ka ushahidi tukajionea wote humu
Hujui chochote unasubiri kugawana magunia ya sandarusi pamoja na wezi na wahuni wenzako ndio maana unaona nchi inaenda sawa tu. Kila Awamu wewe ni sawa TU. Awamu ya nne sawa, ya Tano ,sawa ,ya SITA sawa . Ina maana huwezi kutofautisha mana ukishashiba basi unaona kila kitu ni sawa. Huoni tatizo basi wewe ni zaidi ya tatizo.
Ni kama dodoki unazoa TU maji machafu na masafi.
 
Mkuu Kama umezoea kuhongwa ni ww ...mm lengo langu nikuona manispaa inakuwa na hadhi ya jiji....mtapitwa na mafinga soon
Asas ana nini cha ziada ambacho wewe ama Mbunge aliyeko hana au gombea wewe ulete hayo maendeleo.
 
Leta hoja za uchumi shirikishi sio mambo ya ofisi za Chama ambacho hakiko madarakani.

Iringa mkoa wenye ardhi nzuri na Hali ya hewa nzuri na Wakinga mabilionea wengi badala ya kuwatumia matajiri wa ndani watawala wanawakumbatia Wahindi na Waarabu na ndiko wanakoficha Hela zao matokeo yake wanafanya njama za kutunga sheria mbovu za kufilisi wazawa ili wao kupitia wageni wahodhi makampuni yaliyovikwa koti la Wageni.
NIMEKUASA SANA KUACHA UBAGUZI NAONA HUELEWI......PUMBAVU WE!
 
Hujui chochote unasubiri kugawana magunia ya sandarusi pamoja na wezi na wahuni wenzako ndio maana unaona nchi inaenda sawa tu. Kila Awamu wewe ni sawa TU. Awamu ya nne sawa, ya Tano ,sawa ,ya SITA sawa . Ina maana huwezi kutofautisha mana ukishashiba basi unaona kila kitu ni sawa. Huoni tatizo basi wewe ni zaidi ya tatizo.
Ni kama dodoki unazoa TU maji machafu na masafi.
Unasema wezi wa hela za join the chain na zile hela alizo kuwa anawapa Sabodo ambazo hatujui mlifanyia nn?
 
Tangu umeanza kuwachukia umepata faida ipi? Kuwa na imani, acha roho mbaya na chuki.
Hata mbuyu ulianza kama Mchicha. Kule Sudani yanayotokea ni kama haya mwanzo waafrika walikua kuwa Waarabu ni wenzao wakawakaribisha na kuishi nao wakati wao wanawapa dini Waarabu wanashika uchumi wa nchi na baadae Waarabu wakaanza kuonyesha ubaguzi wao wazi wazi. Waafrika bila kujitambua wanajuana wenyewe.

Hata Wakoloni walitutawala na kuuza Babu zetu kama matikiti maji Kwa sababu ya baadhi ya waafrika Wenzetu waliokua wanadhani kuwa Kupinga ufedhuli wa wageni ni ubaguzi kujipendekeza Kwa wazungu na Waarabu na kusaliti Uafrika wao Kwa misaada ya shanga na kaniki?
 
Duuuh, ndio fikra za Vijana wa Karne hii Afrika. Hatari kamili . Hatutafikia muafaka mana una fikra za kiwizi na kufurahia Mali za kutizama hata kama ni za dhulma kwako ni sawa TU. Afrika tuna shida sana.

Hivi kama mzalendo wa Kweli JPM asingeijenga Dodoma Kwa muda mfupi ni mfanyabiashara Gani angeijenga Dodoma na kufikia kiwango Cha Jiji la maana kabisa na Ikulu Bora kabisa.
Fikra za kijinga za kutegemea misaada za wakwepa Kodi. Nimekupa mfano Mtu anakwepa Kodi bil. Kumi halafu anajenga choo Cha shimo unashangilia .
Hawa watu narudia Tena wanaliibia sana Taifa hili na niwatoa rushwa wakubwa.

Umesahau Kuna watu wanajiunganishia mpaka bombala mafuta kutoka bandarini na kuishia nyumbani kwao kama bomba la maji wanajulikana na wanatoa misaada sana Kwa wabunge marafiki zao kusaidia majimbo yao.
Unajua waza madawa ya kulevya wakubwa nchini ni watu kutoka nje na wanasaidia sana jamii. Wao wakiuza hawakamatwi Lakini mama wa kitanzania akiuza Gongo ili asomeshe mtototo wake anakamatwa anaambiwa anauza pombe haramu. Akiuza mirungi anakamatwa anaambiwa anauza dawa za kulevya . Yote ni Kwa sababu ya Wahuni wachache wanataka wahodhi pesa za nchi na kutumia rushwa kuhakikisha wageni wanawateka watawala na watawala wanakimbizana na bidagaa huku mapapa yakiwa yamesahaulika
Acha kuandika ma essay unatushosha.
 
Yeye mwenyewe amekwambia anataka Ubunge? Amekuwa msaada gani kwa wanaIringa ambao umekuvutia kumpigia Debe?

Hiyo misaada anaifanya kama sadaka au njia ya kupata Ubunge?

Kamwene!
 
Yeye mwenyewe amekwambia anataka Ubunge? Amekuwa msaada gani kwa wanaIringa ambao umekuvutia kumpigia Debe?

Hiyo misaada anaifanya kama sadaka au njia ya kupata Ubunge?

Kamwene!
Hayo nimaoni yangu...nimeona nyie chadema mmetuharibia Sana Iringa yetu mmekaa miaka 10 mmeshindwa hata kujenda darasa tu kazi yenu ilikuwa Ni kuzungusha mikono tu na kupitisha vilambo vya kuchangisha hela
 
Nasema hv hapo zamani tulipoteza muda kwa kuchagua viongozi maskn wameondika wametuacha masikin
Asas hana cha ziada, zaidi ni hizo hela zake ulizokula wewe ni njaa inakusumbua huna lolote, ingefaa ugombee wewe ulete hayo maendeleo uyahubiriyo.
 
NIMEKUASA SANA KUACHA UBAGUZI NAONA HUELEWI......PUMBAVU WE!
Hakuna ubaguzi mkuu kwenye uzalendo ni lazima uwajengee watu wako fikra za kujiamini kabla ya kuwaambia kuwa wageni ni Bora kuliko wao.
Wageni walishafundishwa Karne nyingi kuwa waafrika ni manyani , dini zao ni za kipagani ,hawakubaliwi na Mungu mana wanafanana na shetani, wakaambiwa Mila zao ni za kishenzi, tamaduni zetu ni za kishenzi na kamwe wao wasiige kitu chochote kutoka Afrika Kwa watu washenzi na wasiojitambua na manyani wasioweza kujitawala na kutumia Rasilimali zao kuleta maendeleo.
Eti Sisi mpaka nyama za twiga , swala , digidigi na nyati sio nzuri Bali nyama nzuri ni ya ngamia na Nguruwe za Wazungu.
Halafu unasema tusiwawapinge hujuma zao. Hapana . Hatuwabagui ila hatutaki wahuni wanaotaka kuwekeza pesa zao za wizi kwao huku wakitudanganya kuwa Hawa ni Wenzetu na wanatujali. Wameanza lini kutujali kama sio kujali Mapesa yanayofichwa kwenye makampuni yao .!?

Wafanyebiashara Kwa haki na walipe Kodi basi. Wasitumie rushwa kuwanunua watawala Kwa ajili ya biashara zao za madawa na Magendo .
 
Back
Top Bottom