ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Hahaaaa kile chuma kiliwatoa jasho hatari na maendeleo mmeona sasa kaeni na wapiga dili na mipasho mtaona maisha yanavopanda ila kwa sasa si mnaona km mmewin ila kuna mda mtamkumbuka tu ....R.I.P JIWE WAPENDA MAENDELEO TULIKUPENDA SANA.Na mkivuna Sisi ndo madalali tunaokuja kuwapangia bei
Watu kupotea Na miili kuokotwa Coco beach ndio maendeleo?Hahaaaa kile chuma kiliwatoa jasho hatari na maendeleo mmeona sasa kaeni na wapiga dili na mipasho mtaona maisha yanavopanda ila kwa sasa si mnaona km mmewin ila kuna mda mtamkumbuka tu ....R.I.P JIWE WAPENDA MAENDELEO TULIKUPENDA SANA.
Watu kupotea Na miili kuokotwa Coco beach ndio maendeleo?
Mnateseka sana team mipasho ila hakuna mtu anaweza kufuta utenda kazi wa JIWE kalieni mipasho tu 2025 ndo mtajua hamjuaWatu kupotea Na miili kuokotwa Coco beach ndio maendeleo?
Walikuwa wanasiasa?walikuwa Na bifu Na mkulu?Vipi wale vijana watano waliopotea mwanzo wa mwaka huu nao ni utawala wa Magufuli? Tena wamepotelea bahraini huko cocobeach!
Mwambie huyo kakalia kumtoa kasoro Jembe wakati kila aendako anakutana na vitu mbalimbali alivo vijenga JiweVipi wale vijana watano waliopotea mwanzo wa mwaka huu nao ni utawala wa Magufuli? Tena wamepotelea bahraini huko cocobeach!
Tulieni dawa iwaingie....ndo tulishashika dola hivyo kalilieni kaburi la mwendakuzimuMnateseka sana team mipasho ila hakuna mtu anaweza kufuta utenda kazi wa JIWE kalieni mipasho tu 2025 ndo mtajua hamjua
Mbona hamkumkemea mwendazake?Thread ya kipuuzi kama hii inaleta ukanda kwenye taifa letu, wote wenye tabia chafu kama ya mleta mada wakemewe kwa nguvu zote.
Haya Ulie jipa sifa ya mungu maana unahukumu kabisa km vile ww ni MunguTulieni dawa iwaingie....ndo tulishashika dola hivyo kalilieni kaburi la mwendakuzimu
🤣🤣🤣 Una mashaka kwamba yeye sio Rais????NImepitia nyuzi zote 23 na comment zaidi ya 3,600 naomba niseme ndugu zangu wa Kanda ya Ziwa ndoto ya kutoa Rais imekufa, hivyo tuendelee kumuunga mkono mama.
2) Kama mama ameeleweka vema lengo lake ni kurejesha chama kwenye mikono salama ya watu wenye weledi, hivo kuna anaweza hoji uwezo wa Kinana katika kukijenga chama? Mama ameeleweka vema sana kwamba chama sasa kiko mikono salama.
3) Nimalize kwa kusema CCM ilikuwepo ipo na itaendelea kuwepo kama kuna mtu au watu wanadhani siku moja itakufa watakufa waoo" WAPUMBAVU MALOFA" in Ben voice, jioni njema.
Naona moja la Magharibi ya mbali katoka Nchimbi nilisema kuna mabadiliko bado Makatibu wanne.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
BRITANICCA
2010-15 kulikua na tume ipi ya uchaguzi?Kwa tume ipi ya uchaguzi?
AhhahahHii nchi washamba hawawezi kuwaongoza wajanja wa pwani hata siku 1...wahaya,wanyakyusa,wachagga Na wakurya Ni wajanja kwenye kulima mashamba ila tukija kuongozwa Ni kama ng'ombe Tu Mbele ya waswahili..
Ndomaana lugha ya taifa Ni Kiswahili sio kisukuma
Wewe mse*ge hupajui kanda ya ziwa waulize CHADEMA na CCM watakwambia.Hakuna kanda yenye umoja kama kanda ya ziwa wote hao ni wamoja wala uwezi sikia wakikwaruana lao moja ukitaka kulijua hilo nenda Mwanza.Pia muulize Wenje alivyokuwa na Nguvu Mwanza kuliko asili yake ujaluoni.Usiseme Kanda ya Ziwa, Sema sukuma Gang a.k.a Waburundi
Kanda ya Ziwa kuna Wahaya, Wajita, Wakurya na Wajaluo na hawana tatizo lolote!
Ni wapuuzi wachache wengi wao wanajiita Wasukuma Ila asili yao ni Burundi na Rwanda