Ndugu zangu wa Kanda ya ziwa Rais ni Mama Samia tujue hilo

Ndugu zangu wa Kanda ya ziwa Rais ni Mama Samia tujue hilo

Niliamini (na hata bado naamini) Jf ni jukwaa la watu wenye fikra yakinifu na zenye akili kubwa na ndio maana nikaamua kujiunga.
Ila, kwa fikra kama hizi; napata mashaka kama kweli ni great thinker au vinginevyo! 🤔
Mimi Ni great thinker dada....as a matter of fact nina degree mbili.
Ya Astrophysics Na neuroscience
 
Mimi Ni great thinker dada....as a matter of fact nina degree mbili.
Ya Astrophysics Na neuroscience
Una akili ndogo kama wale jamaa zako wa tume ya mavi ya ng'ombe

Hakuna great thinker atakuja na reference kama ya kwako

Nani alikwambia ukisoma sana ndio unakua great thinker!!!?

Ni ushamba tu huna lolote
 
Hii thread inapima upepo. Hawajiamini?! Moja haikai, mbili haikai.

2025 ni mtihani endapo Kanda ya ziwa wasipo mwelewa Hangaya
 
Hii nchi washamba hawawezi kuwaongoza wajanja wa pwani hata siku 1...wahaya,wanyakyusa,wachagga Na wakurya Ni wajanja kwenye kulima mashamba ila tukija kuongozwa Ni kama ng'ombe Tu Mbele ya waswahili..
Ndomaana lugha ya taifa Ni Kiswahili sio kisukuma

Poa
 
Una akili ndogo kama wale jamaa zako wa tume ya mavi ya ng'ombe

Hakuna great thinker atakuja na reference kama ya kwako

Nani alikwambia ukisoma sana ndio unakua great thinker!!!?

Ni ushamba tu huna lolote
Kwahyo nyie walima mahindi wa nzega ndiyo ma great thinkers??
Acha Hizo huwezi Kuwa great thinker bila elimu elimu elimu
 
Kuna watu mnamichongo ya kupiga kampeni JF, Maneno yenu hatuyachukulii personal halaf Jambo Letu Lipo 2025/30 Lake zone tunajitambua.[emoji110]
 
jamani mambo haya ya ukanda wa ziwa na ukanda wa pwani tuzomee kwa nguvu saana. hayana tofauti na yale ya kenya ya mluo na mkikuyu. kama viongozi wa dini wasipo yaangalia na kukalipia kwa sauti kali, kweli tuta uza wakimbizi nchi za jirani. Viongozi wa dini tafadhalini kalipieni huu uhuni unaoashilia mbigili kitandani.
 
Chief Hangaya noooooooo!!! We are normally blessed and comfortable in patriarchal
 
Kwa kanda ya ziwa ccm ijiandae kuumia hasa upande wa majimbo na madiwani..picha litaanza uchaguzi wa wenyeviti.

Mana kanda yaziwa ni mwiko mwanamke kuongoza ni kama laana kwao.

#MaendeleoHayanaChama
 
NImepitia nyuzi zote 23 na comment zaidi ya 3,600 naomba niseme ndugu zangu wa Kanda ya Ziwa ndoto ya kutoa Rais imekufa, hivyo tuendelee kumuunga mkono mama.

2) Kama mama ameeleweka vema lengo lake ni kurejesha chama kwenye mikono salama ya watu wenye weledi, hivo kuna anaweza hoji uwezo wa Kinana katika kukijenga chama? Mama ameeleweka vema sana kwamba chama sasa kiko mikono salama.

3) Nimalize kwa kusema CCM ilikuwepo ipo na itaendelea kuwepo kama kuna mtu au watu wanadhani siku moja itakufa watakufa waoo" WAPUMBAVU MALOFA" in Ben voice, jioni njema.

Naona moja la Magharibi ya mbali katoka Nchimbi nilisema kuna mabadiliko bado Makatibu wanne.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI


BRITANICCA
Sawa Tu wacha wapeane nafasi
 
Kwa kanda ya ziwa ccm ijiandae kuumia hasa upande wa majimbo na madiwani..picha litaanza uchaguzi wa wenyeviti.

Mana kanda yaziwa ni mwiko mwanamke kuongoza ni kama laana kwao.

#MaendeleoHayanaChama
Kwa tume ipi ya uchaguzi?
 
Usiseme Kanda ya Ziwa, Sema sukuma Gang a.k.a Waburundi

Kanda ya Ziwa kuna Wahaya, Wajita, Wakurya na Wajaluo na hawana tatizo lolote!

Ni wapuuzi wachache wengi wao wanajiita Wasukuma Ila asili yao ni Burundi na Rwanda
Awe ana fafanua vizuri
 
Kanda ya ziwa mama bado hawajakubali kama ni Rais, pamoja na kujiita Hangaya Chief wa kisukuma lakini bado hawajampenda.

2025 ataendelea kuwa Rais kwa kutumia dola lakini hawezi kufeel ile legitimacy. Hakubariki kwa kweli.
Sema wewe ndio hujakubali. Wananchi wameshakubali.
 
Back
Top Bottom