Mungu anaipenda nchi yetu, aliruhusu dictator aingie madarakani ili watu waamuke.
Wakati wa Mwalimu mpaka Kikwete, hatukushuhudia watu wakizungumzia ukanda au ukabila kama ilivyo sasa. Jiwe ni turning point, ili nchi ijikomboe, tazama sasa watu wameiona na kuijua athari za ukichaa madarakani, ukabila madarakani, ubabe madarakani, kuharibu uchaguzi, kuua wapinzani n.k.
Hii itusaidie kuijenga nchi vizuri, ni jambo jema Mungu kumleta Jiwe itatusaidia kutengeneza, katiba vizuri ili kuzuia udhalimu wa namna hii usitokee nchini tena.
Mama anatuonyesha nyufa zilizo zalishwa na yule dhalimu ili tujitekebishe. Sasa kuna ustaarabu na heshima nchini
Sent from my Infinix X652C using
JamiiForums mobile app