britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
NImepitia nyuzi zote 23 na comment zaidi ya 3,600 naomba niseme ndugu zangu wa Kanda ya Ziwa ndoto ya kutoa Rais imekufa, hivyo tuendelee kumuunga mkono mama.
2) Kama mama ameeleweka vema lengo lake ni kurejesha chama kwenye mikono salama ya watu wenye weledi, hivo kuna anaweza hoji uwezo wa Kinana katika kukijenga chama? Mama ameeleweka vema sana kwamba chama sasa kiko mikono salama.
3) Nimalize kwa kusema CCM ilikuwepo ipo na itaendelea kuwepo kama kuna mtu au watu wanadhani siku moja itakufa watakufa waoo" WAPUMBAVU MALOFA" in Ben voice, jioni njema.
Naona moja la Magharibi ya mbali katoka Nchimbi nilisema kuna mabadiliko bado Makatibu wanne.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
BRITANICCA