Ndugu zangu wa Morogoro, mshawahi jiuliza kwanini ndege za Air Tanzania hazifiki kwenu?

Ndugu zangu wa Morogoro, mshawahi jiuliza kwanini ndege za Air Tanzania hazifiki kwenu?

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Kuna memba mmoja humu niliwahi mjibu nikwambia asije akadanganyika na hao wanasiasa kwamba kila mkoa kutajengwa viwanja vya ndege, haiwezekani hata siku moja jamaa kama alipaniki sana.

Marekani kwenyewe na ukubwa wake wote sio kila sehemu wamejenga uwanja wa ndege. Uwanja wa ndege sio kama soko useme utajenga kila mahali. Sasa nataka nikudokezee kidogo jambo wewe mkazi wa Morogoro.

Msitegemee mtajengewa uwanja wa ndege . Eti ndege za Air Tanzania zitatua kwenu never na hata ikija kutua hiyo ni special case.

Sababu ni moja tu Anga ya Morogoro ni Restricted Military Airspace . Hii ina maana kwamba anga ya Morogoro ni special kwa ajili ya matumizi ya jeshi la anga peke yake kutokana na uwepo wa ngerengere Airbase inayosimamiwa na kamandi ya jeshi la Anga.

So msitegemee hata siku moja ndege ya abiria ikaruka kwenye anga ya Morogoro. Ndege za jeshi la jwtz ndio zinaruhusiwa peke yake.

Hata route ya ndege ya air Tanzania DAR-DOM haiwezi ruka kwenye anga ya Morogoro hata siku moja.😎😎.

NB: achana na hivyo vindege vidogo vya kukodi vinavyotua kwenye hako ka uwanja ka vumbi😎😎.
 
Kwahiyo hapo mlokele unajiona umetoa elimu kubwa na maana sana kwa mustakabali wa taifa
Mlikimbia shule mnatapatapa humu walokole mnashida sana

Mbona kama unaonekana una beef naye sana jamaa? Hoja yake unaionaje? Mi naangalia hoja sijajua ni Mlokole, Kobaz au Papakuu, ila tuangalie hoja yake ni kweli au si kweli?
 
Mbona kama unaonekana una beef naye sana jamaa? Hoja yake unaionaje? Mi naangalia hoja sijajua ni Mlokole, Kobaz au Papakuu, ila tuangalie hoja yake ni kweli au si kweli?
Wala hata simjui na sijawahi kubeef chochote
Ni uhuru wa kutoa maoni, kwani nimemtukana ?
 
Wala hata simjui na sijawahi kubeef chochote
Ni uhuru wa kutoa maoni, kwani nimemtukana ?
Sasa mbona hukujibu hoja yake ukaanza shambulia imani yake? nikashangaa mnagombea nini. Anyway kuwa tu na uvumilivu wa kiimani kama hupendi ulokole wake achana nao. Kama yeye hapendi ukobazi wako aachane na wewe kama hapendi upapasi wako nao pia aachane nao. Je hoja yake ina ukweli? Wewe una Elimu gani?
 
Kwahiyo hapo mlokele unajiona umetoa elimu kubwa na maana sana kwa mustakabali wa taifa
Mlikimbia shule mnatapatapa humu walokole mnashida sana
Mdogo wang siyo kwamba najifanya natoa Elimu... ACHA Sasa nikupe Elimu basic kabisa tena Bure mdogo wangu.. Iko hivi... Nadhani umeshasikia kitu kuhusiana na matumizi ya ardhi isn't it? 😎😎
Kwamba najua ushasikia eneo fulani la ardhi limetengwa kwa ajili ya kilimo tu, au ardhi fulani ni kwa ajili ya kujenga nyumba za makazi ya watu au ardhi fulani imetengwa kwa ajili ya kujenga shule , hospitali,soko n.k. Sasa mdogo wangu na anga hili unaloliona juu ya kichwa chako limepangiwa matumizi hivyo hivyo ,mdogo wangu.


Sasa nataka nikupe somo ... Anga hili unaloliona limegawanyika kwa madaraja tofauti kulingana na matumizi . Matumizi gani? 😎😎

Mdogo wangu ni matumizi ya usafiri wa Anga... Of course Sitaki kwenda deep hapa ....

Sasa Kuna anga maalum ya kurusha ki drone chako cha kufanya content creation kama Millard ayo
Kuna anga maalum kwa ajili ya shughuli ya ndege za kibiashara (air Tanzania, Kenya airways n.k) ambayo huitwa commercial au general airspace.
Kuna anga ni maalum kwa ajili ya shughuli za satellite , makombora ya masafa marefu n.k.

Na Kuna anga kwa ajili ya shughuli maalum mfano za kijeshi , ikulu n.k.. Ambayo huitwa restricted airspace.

Sasa mdogo wangu restricted airspace ni zipi?
Ni zile anga zinazozunguka Maeneo maalum mfano jeshini, ikulu ya rais au Maeneo ambapo Kuna viwanda vya nyuklia n.k
Anga hizi ambazo ni Restricted huwezi Kuta hata siku moja ndege ya abiria au drone imeruka Maeneo hayo pasipo ruhusa maalum.. nadhani umenielewa mdogo wa gu ...Sitaki kwenda deep sana najua hupendelei kusoma makitu marefu.

Sasa turudi kwenye hoja..
Anga ya Morogoro tayari hii ni Eneo restricted.. ndege yotote isiyohusiana na jeshi la anga la tz haiwezi pita bila ruhusa.. ikipita bila ruhusa basi inatunguliwa dakika sifuri mdogo wang😎😎.
Atleast nimekupa la mwanga kidogo mdogo wangu 😎
 
Back
Top Bottom