Hairuhusiwi hizo kukatiza anga ya Kijiji cha ngerengere... Na hizo ni special case kwa ruhusa au kibali maalum kutokana na uwepo wa mbuga za mikumi n.k.Mikumi pale kuna airstrip kwa ajili ya chartered flights nafikiri za kitalii. Hii imekaaje?
Njoo uone Abood zilivyopaki..Sema Morogoro natamani nifike siku moja
Kwa sasa watz na waafrica tujikite kwenye train zaidi ya ndege ...treni za kisasa kwa usafiri wa ndani ni muhimu sana kuliko ndege ...badala ya kujenga airport tujenge terminal za sgr za kisasa kama ya dar es salaam...viwanja vya ndege viwe ni usafiri wa dharulu na usafiri wa kimataifa tu ...pia nauliza yale mabehewa ya gorofa ya sgr ndiyo yametelekezwa yapate kutu?🙄🙄🙄 hatu sikii chochote kuyahusu.Kuna memba mmoja humu niliwahi mjibu nikwambia asije akadanganyika na hao wanasiasa kwamba kila mkoa kutajengwa viwanja vya ndege, haiwezekani hata siku moja jamaa kama alipaniki sana.
Marekani kwenyewe na ukubwa wake wote sio kila sehemu wamejenga uwanja wa ndege. Uwanja wa ndege sio kama soko useme utajenga kila mahali. Sasa nataka nikudokezee kidogo jambo wewe mkazi wa Morogoro.
Msitegemee mtajengewa uwanja wa ndege . Eti ndege za Air Tanzania zitatua kwenu never na hata ikija kutua hiyo ni special case.
Sababu ni moja tu Anga ya Morogoro ni Restricted Military Airspace . Hii ina maana kwamba anga ya Morogoro ni special kwa ajili ya matumizi ya jeshi la anga peke yake kutokana na uwepo wa ngerengere Airbase inayosimamiwa na kamandi ya jeshi la Anga.
So msitegemee hata siku moja ndege ya abiria ikaruka kwenye anga ya Morogoro. Ndege za jeshi la jwtz ndio zinaruhusiwa peke yake.
Hata route ya ndege ya air Tanzania DAR-DOM haiwezi ruka kwenye anga ya Morogoro hata siku moja.😎😎.
NB: achana na hivyo vindege vidogo vya kukodi vinavyotua kwenye hako ka uwanja ka vumbi😎😎.
Acha kamba jeshi la Tanzania hili la waponda kokoto halina uwezo wa kutungua ndege yeyote ileMdogo wang siyo kwamba najifanya natoa Elimu... ACHA Sasa nikupe Elimu basic kabisa tena Bure mdogo wangu.. Iko hivi... Nadhani umeshasikia kitu kuhusiana na matumizi ya ardhi isn't it? 😎😎
Kwamba najua ushasikia eneo fulani la ardhi limetengwa kwa ajili ya kilimo tu, au ardhi fulani ni kwa ajili ya kujenga nyumba za makazi ya watu au ardhi fulani imetengwa kwa ajili ya kujenga shule , hospitali,soko n.k. Sasa mdogo wangu na anga hili unaloliona juu ya kichwa chako limepangiwa matumizi hivyo hivyo ,mdogo wangu.
Sasa nataka nikupe somo ... Anga hili unaloliona limegawanyika kwa madaraja tofauti kulingana na matumizi . Matumizi gani? 😎😎
Mdogo wangu ni matumizi ya usafiri wa Anga... Of course Sitaki kwenda deep hapa ....
Sasa Kuna anga maalum ya kurusha ki drone chako cha kufanya content creation kama Millard ayo
Kuna anga maalum kwa ajili ya shughuli ya ndege za kibiashara (air Tanzania, Kenya airways n.k) ambayo huitwa commercial au general airspace.
Kuna anga ni maalum kwa ajili ya shughuli za satellite , makombora ya masafa marefu n.k.
Na Kuna anga kwa ajili ya shughuli maalum mfano za kijeshi , ikulu n.k.. Ambayo huitwa restricted airspace.
Sasa mdogo wangu restricted airspace ni zipi?
Ni zile anga zinazozunguka Maeneo maalum mfano jeshini, ikulu ya rais au Maeneo ambapo Kuna viwanda vya nyuklia n.k
Anga hizi ambazo ni Restricted huwezi Kuta hata siku moja ndege ya abiria au drone imeruka Maeneo hayo pasipo ruhusa maalum.. nadhani umenielewa mdogo wa gu ...Sitaki kwenda deep sana najua hupendelei kusoma makitu marefu.
Sasa turudi kwenye hoja..
Anga ya Morogoro tayari hii ni Eneo restricted.. ndege yotote isiyohusiana na jeshi la anga la tz haiwezi pita bila ruhusa.. ikipita bila ruhusa basi inatunguliwa dakika sifuri mdogo wang😎😎.
Atleast nimekupa la mwanga kidogo mdogo wangu 😎
Treni au road ndio mpango mzima. Kijiografia tu tz huwezi Jenga airport kila mkoa. Hapo kwenye mabehewa tuwaachie wizara ya uchukuzi.. wanajua wenyewe kinachoendeleaKwa sasa watz na waafrica tujikitekwenye train zaidi ya ndege ...treni za kisasa kwa usafiri wa ndani ni muhimu sana kuliko ndege ...badala ya kujenga airport tujenge terminal za sgrza kisasa kama ya dar es salaam...viwanja vyandege vile ni usafiri wa dharulq tu ...pia nauliza yale mabehewa ya gorofa ya sgr ndiyo yametelekezwa yapate kutu?🙄🙄🙄 hatu sikii chochote kuyahusu.
Treni ni zaidi ya roadTreni au road ndio mpango mzima. Kijiografia tu tz huwezi Jenga airport kila mkoa. Hapo kwenye mabehewa tuwaachie wizara ya uchukuzi.. wanajua wenyewe kinachoendelea
Kuna morogoro airstrip iliyopo karibu ya ngerengere, nayo imezuiliwa lakini kuna kipindi huko nyuma auric air walikuwa wakifanya safari kufikia hapo.Hairuhusiwi hizo kukatiza anga ya Kijiji cha ngerengere... Na hizo ni special case kwa ruhusa au kibali maalum kutokana na uwepo wa mbuga za mikumi n.k.
Usinipangie cha kuandika au kusema humu, nitatumia uhuru wa kujieleza mwenyewe ninavyoona sawa na matakwa yangu.Sasa mbona hukujibu hoja yake ukaanza shambulia imani yake? nikashangaa mnagombea nini. Anyway kuwa tu na uvumilivu wa kiimani kama hupendi ulokole wake achana nao. Kama yeye hapendi ukobazi wako aachane na wewe kama hapendi upapasi wako nao pia aachane nao. Je hoja yake ina ukweli? Wewe una Elimu gani?
Ndio hawana uwezo, zaidi ya kupasua matofali malaini kwa kichwa na kubeba mabegi yenye mitungi ya gesiEti e? Hawana uwezo ee... Haina noma man pamoja sana🤝🤝🤝
Unaongelea utadhani hiki kiinchi kina uwezo hata wa kutungua ndege za kivita kama labda tuseme Sukhoi 30 za Uganda zilizotengenezwa miaka ya 1980,Mdogo wang siyo kwamba najifanya natoa Elimu... ACHA Sasa nikupe Elimu basic kabisa tena Bure mdogo wangu.. Iko hivi... Nadhani umeshasikia kitu kuhusiana na matumizi ya ardhi isn't it? 😎😎
Kwamba najua ushasikia eneo fulani la ardhi limetengwa kwa ajili ya kilimo tu, au ardhi fulani ni kwa ajili ya kujenga nyumba za makazi ya watu au ardhi fulani imetengwa kwa ajili ya kujenga shule , hospitali,soko n.k. Sasa mdogo wangu na anga hili unaloliona juu ya kichwa chako limepangiwa matumizi hivyo hivyo ,mdogo wangu.
Sasa nataka nikupe somo ... Anga hili unaloliona limegawanyika kwa madaraja tofauti kulingana na matumizi . Matumizi gani? 😎😎
Mdogo wangu ni matumizi ya usafiri wa Anga... Of course Sitaki kwenda deep hapa ....
Sasa Kuna anga maalum ya kurusha ki drone chako cha kufanya content creation kama Millard ayo
Kuna anga maalum kwa ajili ya shughuli ya ndege za kibiashara (air Tanzania, Kenya airways n.k) ambayo huitwa commercial au general airspace.
Kuna anga ni maalum kwa ajili ya shughuli za satellite , makombora ya masafa marefu n.k.
Na Kuna anga kwa ajili ya shughuli maalum mfano za kijeshi , ikulu n.k.. Ambayo huitwa restricted airspace.
Sasa mdogo wangu restricted airspace ni zipi?
Ni zile anga zinazozunguka Maeneo maalum mfano jeshini, ikulu ya rais au Maeneo ambapo Kuna viwanda vya nyuklia n.k
Anga hizi ambazo ni Restricted huwezi Kuta hata siku moja ndege ya abiria au drone imeruka Maeneo hayo pasipo ruhusa maalum.. nadhani umenielewa mdogo wa gu ...Sitaki kwenda deep sana najua hupendelei kusoma makitu marefu.
Sasa turudi kwenye hoja..
Anga ya Morogoro tayari hii ni Eneo restricted.. ndege yotote isiyohusiana na jeshi la anga la tz haiwezi pita bila ruhusa.. ikipita bila ruhusa basi inatunguliwa dakika sifuri mdogo wang😎😎.
Atleast nimekupa la mwanga kidogo mdogo wangu 😎
Sema nini... Nlichojifunza kutoka kwako ni kama hutaki kujifunza na kujua mambo yanavyoenda kwenye hii dunia. Upo kimhemko sana.Unaongelea utadhani hiki kiinchi kina uwezo hata wa kutungua ndege za kivita kama labda tuseme Sukhoi 30 za Uganda zilizotengenezwa miaka ya 1980,
Unaongelea makombora ya masafa marefu yaani sijakuelewa unataka kusema leo bongo tuna uwezo wa kuipiga Sudan kutokea ngerengere 😂
View attachment 3545018
Ngoja sasa nikuonyeshe huko unakosema ni restricted area, unaona hio Flight runway, ilijengwa na kufunguliwa na mjeshi mwenyewe Kikwete, labda niwapongeze kwa ukubwa wa runway lakini hawana ndege za maana kulingana na hio runway
View attachment 3545017
Haya turudi kwenye huo usiri unaoungelea, hivi unajua kuna vindege gani vimepaki hapo, ni vi chengdu J7 na Shenyang J6 utadhani ni mbayuwayu wametua 😂
Haya nazooma sasa naenda huko restricted area na kukutana na hivi vidudu
View attachment 3545020
Kujifanya wanakataza ndege zingine kupita hapo, ni ujinga ambapo mwenye atakaeamua kwa uwezo wa kijeshi au pia ndege za abiria zenye kuruka anga ya mbali ambayo hatuna uwezo wa kijeshi kuzitungua zinapita tu hapo, hakuna cha maana sana hapo
Ni kama vile kuandika maandisha ya USIKOJOE HAPA kwenye ukuta, wakati watu wanapita na kukojoa kila siku
Kuepuka watu kupiga picha Maeneo hayo ya ngerengere wakiwa Ndani ya ndegeKuna morogoro airstrip iliyopo karibu ya ngerengere, nayo imezuiliwa lakini kuna kipindi huko nyuma auric air walikuwa wakifanya safari kufikia hapo.View attachment 3544972
Imenibidi nipitie comment zake kwenye baadhi ya nyuzi kwa kweli hayuko sawa nimeamini.Ana tatizo la kisaikolojia nimemwona. Unajua kuna watu humu wana stress za maisha, kuachwa, kutelekezwa n.k sasa nadhani hilo ndo linamsumbua maana naye anaangukia katika kutelekezwa kabla ya ndoa na aliyemtelekeza alikuwa Mlokole.
sasa hapo anakasirikia kila mtu kwa namna hiyo. Ni kumsaidia tu kwa ushauri ndo maana naenda naye taratibu huyu Makebo inasikitisha sana. Huko nyuma hakuwa hivyo. Maana nimeshangaa mbona hajibu hoja husika anatokwa tu mapovu?
Imenibidi nipitie comment zake kwenye baadhi ya nyuzi kwa kweli hayuko sawa nimeamini.