Haina noma ... Lakini unaona hii scheduled flight ya ndege ya air Tanzania inatoka dar kwenda kigoma hapa? Kwanini isikatize straight hapo kwenye anga ya Morogoro? 😬😬. Inapita pembeni pembeni kama mwizi... Mbona isikatize straight hapo kwenye anga ya ngerengere Airbase?. Tafuta kujua mambo ya dunia hiiNa hapa ndio unadhihirisha kabisa unaongea na wa vijijini kwenu
Wakati mtu yoyote anaweza kuingia Google Maps au Google Earth kuona kila kitu, haha hebu elezea walikuwa kwenye ndege wanaweza kupiga picha zitakazoshinda za Google?
Na hapo ni kila kambi ya jeshi ya bongo naweza kuileta hapa kutoka kwa Google Earth
Sijasema hakuwezi kuwa na airport za ndege za civilian. Maana tayari Morogoro Kuna uwanja mdogo ule wa vumbi .. na zinatua ndege za kitalii sanasana. Na hapo Kuna kuwa na special permit inayotolewa na TCAA. na hata kama zinatua hapo Morogoro ,haziwezi katiza hapo ngerengere airspace.. umenielewa mdau?Air Force base gani unaongelea? ya zile ndege za mrusi enzi za Soviet Union😁, morogoro kubwa sana inaweza ikawa na Air Force na airport for civilian bila matatizo technology ya sasa inaruhusu, story yako ni chai
Jibu sahihiUwanja unaweza usiwepo kutokan na ukarbu na miji mikubwa yenye viwanj vya ndege
Wangemchagua Hashimu Rungwe angechimba mtaro kutoka Dar baharini mpaka Moro 😀Wavute bahari😀😀😀
Kabisa..mji umetulia sana ..Moro lazima niweke kibandaWangemchagua Hashimu Rungwe angechimba mtaro kutoka Dar baharini mpaka Moro 😀
Jambo!!Jambo afande?
Nilivyomuelewa ni wilaya ya morogoro hiyo ndo restricted. Kwa maana morogoro mjini na morogoro vijijin kupita ngerengere. Ila kuhusu mahenge, gairo, malinyi sidhani kama anazungumzia hukoAir Force base gani unaongelea? ya zile ndege za mrusi enzi za Soviet Union😁, morogoro kubwa sana inaweza ikawa na Air Force na airport for civilian bila matatizo technology ya sasa inaruhusu, story yako ni chai
Arusha to moshi km 80, yote inaviwanja vikibwa. Dar moro 190 na moro dodoma around 260 so kuna kaumbali kidogoJibu sahihi
Ha ha ha ha labda ngoja tumsubiri huyu msingida wa tai ya Taifa kama ataweza. Maana kila siku anatoa boko tuu hana jipya anakuwa kama empty boxHii haina mashiko, embu jenga hoja ya maana.
Mbona Singida, Manyara, na mikoa mingine hakuna hizo bases za jeshi na bado ndege za abiria hazitui huko?
Hoja yako angalau ina mashikoUwanja unaweza usiwepo kutokan na ukarbu na miji mikubwa yenye viwanj vya ndege
Uko wapi mkuu?One day yes... Man lazima nifike huko🔨🔨📍
Maana Morogoro imezungukwa na mikoa mingi nafikiri kuliko mkoa wowote hapa TzNipo tu hapa border ya Tz na nchi jirani 😎
Kwa hiyo ndege yetu tena, ikipita juu ya ngerengere itatunguliwa 😂Haina noma ... Lakini unaona hii scheduled flight ya ndege ya air Tanzania inatoka dar kwenda kigoma hapa? Kwanini isikatize straight hapo kwenye anga ya Morogoro? 😬😬. Inapita pembeni pembeni kama mwizi... Mbona isikatize straight hapo kwenye anga ya ngerengere Airbase?. Tafuta kujua mambo ya dunia hiiView attachment 3545058
Ndege ndogo inatumia dk 10 mpaka 15 Morogoro to Dar. Lakini mchakato wa kuifikia Airport ya Dar, kwa wakazi wa Dar pamoja na utaratibu wa check-in unaweza kuchukua zaidi masaa mawili. Changanya bei kubwa ya usafiri wa ndege, na kutofuata ratiba au kutokuwa punctual kwa airlines zetu na abiria wake, utaona kuwa hicho kiwanja kikijengwa HAKITALIPA kwakuwa na idadi ndogo ya abiria. Abiria wengi wata-prefer kutumia njia nyingine za usafiri.Hoja yako angalau ina mashiko
viwanja vya ndege sio km vituo vya bus!
Jamaa kaandika kama vile kwenye anga letu vitu vinavyolindwa ni hiyo Ngerengere base tu. Ndege zinapita juu ya magogoni Dar na mtumba Dodoma halafu kwa Morogoro usingizie hako kakituo ka jeshi?Chai
Sasa kama ndege ndogo zinatuwa.
Si tayari usafiri wa Anga upo huko?
Waruguru watarusha ngumiiii...Kuna jamaa Jana mtu wa mlorogoro (morogoro) anabishaaKuna memba mmoja humu niliwahi mjibu nikwambia asije akadanganyika na hao wanasiasa kwamba kila mkoa kutajengwa viwanja vya ndege, haiwezekani hata siku moja jamaa kama alipaniki sana.
Marekani kwenyewe na ukubwa wake wote sio kila sehemu wamejenga uwanja wa ndege. Uwanja wa ndege sio kama soko useme utajenga kila mahali. Sasa nataka nikudokezee kidogo jambo wewe mkazi wa Morogoro.
Msitegemee mtajengewa uwanja wa ndege . Eti ndege za Air Tanzania zitatua kwenu never na hata ikija kutua hiyo ni special case.
Sababu ni moja tu Anga ya Morogoro ni Restricted Military Airspace . Hii ina maana kwamba anga ya Morogoro ni special kwa ajili ya matumizi ya jeshi la anga peke yake kutokana na uwepo wa ngerengere Airbase inayosimamiwa na kamandi ya jeshi la Anga.
So msitegemee hata siku moja ndege ya abiria ikaruka kwenye anga ya Morogoro. Ndege za jeshi la jwtz ndio zinaruhusiwa peke yake.
Hata route ya ndege ya air Tanzania DAR-DOM haiwezi ruka kwenye anga ya Morogoro hata siku moja.😎😎.
NB: achana na hivyo vindege vidogo vya kukodi vinavyotua kwenye hako ka uwanja ka vumbi😎😎.