Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Umenikumbusha mambo ya ROI,Ndege ndogo inatumia dk 10 mpaka 15 Morogoro to Dar. Lakini mchakato wa kuifikia Airport ya Dar, kwa wakazi wa Dar pamoja na utaratibu wa check-in unaweza kuchukua zaidi masaa mawili. Changanya bei kubwa ya usafiri wa ndege, na kutofuata ratiba au kutokuwa punctual kwa airlines zetu na abiria wake, utaona kuwa hicho kiwanja kikijengwa HAKITALIPA kwakuwa na idadi ndogo ya abiria. Abiria wengi wata-prefer kutumia njia nyingine za usafiri.
Miaka 100 ijayo kama nchi itakuwa imeendelea sana na abiria wapo wa kutosha wataweza kuwa na viwanja hata kama ni hapo Kibaha, Bagamoyo au Morogoro mjini au hata Morogoro kusini maeneo ya Mahenge (karibia 500 km from Dar) au Malinyi (karibu 600km from Dar).
Ni masuala zaidi ya kiuchumi (Returns on investments) na uwezo wa kiuchumi wa nchi ndio vyaweza kufanya tujenge viwanja kila mkoa au la.
Asee.. haina noma man ...🤝 Upo sahihiJamaa kaandika kama vile kwenye anga letu vitu vinavyolindwa ni hiyo Ngerengere base tu. Ndege zinapita juu ya magogoni Dar na mtumba Dodoma halafu kwa Morogoro usingizie hako kakituo ka jeshi?
Asante kwa kuni prove wrong .. itazame flight path.... Point ni ile ile mbona isikatize hapo straight Eneo la Ngerengere Airbase?View attachment 3545386
Mkuu chuma ya mbeya dar hii ndo inakaribia kuingia hapa jijini, ikata mkoa ws moro
MKuu unajua ulipotutisha ni neno "hazikatizi anga la morogoro"Asante kwa kuni prove wrong .. itazame flight path.... Point ni ile ile mbona isikatize hapo straight Eneo la Ngerengere Airbase?
Hakuna maajabu, ila unakaribishwa kula wali na kulima mpungaSema Morogoro natamani nifike siku moja