Ndugu zangu wachaga, Je hii ni sahihi au ni manipulation za mitandaoni?

Ndugu zangu wachaga, Je hii ni sahihi au ni manipulation za mitandaoni?

kumbe GOLDDIGGER.
Hakuna baya mamaa, karibu ujichimbie tu.Ndio nimesha kufia sweetie.Ni kama masihara ila maandishi yako yanajieleza how your heart beautifull look like.Nimeanza kwa kukupenda deeply.
Eti karibu ujichimbie 😆 😆 , naona umependa kweli
Ngoja nikupe lipa number maana ushakaa mkao wa kuchunwa
Binti, usimfanyie hivyo mpwa wangu 😀
 
What do you mean
No money,no me.I live because I’ve blessed to be here.that’s why ninahitaji kuwa na mwenzangu kama wewe ambaye utanisaidia kidogo kitu hadi SIR atakaposema,”familia you’re done,come back to me”.Baaas.
 
Halafu unakuta anaoa mwanamke used ambaye wanaume wengine wamejipigia kwa chips kavu.

Mwanamke wa kutolewa mahari ni yule aliyejitunza tu na mahari haivuki laki tano maana haumnunui bali mnaenda kujenga familia ya pamoja.
Masikini ataamini milion 7 ni kumnunua bali laki 2 ndo mahari. Kujitunza kugumu labda uoe mwenye miaka 9 kama yue mzee tunayemswalia.
 
Back
Top Bottom