Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,666
- 11,789
Tulia upitishwe kwanzaš š akikibali unabahati anachuja vizuri huyuNa namwona anatype muda kidogo.Sijui anataka kunikataza nisikuoeš„¹.Ila all in all mimi niko na wewe kibabe.
Tulia upitishwe kwanzaš š akikibali unabahati anachuja vizuri huyuNa namwona anatype muda kidogo.Sijui anataka kunikataza nisikuoeš„¹.Ila all in all mimi niko na wewe kibabe.
Mpwa upande wa babu anataka kuoa mpwa wa upande wa bibi, yani hivi vigelegele nitapiga mpaka sauti inikauke jamani.Kwa hii age niko teyari kuoa kabisa.Tatizo ni kama ndoa zimekuwa mitaji.ila ukikubali hata muda hu ninawashtua ndugu zangu kina Mbaga Jr secretarybird BICHWA KOMWE - na Binti wa zamani
Chaap tunaamkia ukweni.
Nazani shangazi yangu atakuja kutoa miongozo midogo midogo tu.Ni vile kijana wake naoa.
Ukifika kwenye ndoa usiniaibishe binti yangu, akishatoa ng'ombe wote hawa basi ujue muda wowote akitaka unyumba wewe unainama tu akukule, hakuna melezo mengine š š šNgoja Binti wa zamani aje kukupa muongozo usikieš
Tamba aunty tambaaaaaš¤£š¤£š¤£š¤£Mpwa upande wa babu anataka kuoa mpwa wa upande wa bibi, yani hivi vigelegele nitapiga mpaka sauti inikauke jamani.
š¤£š¤£š¤£ila auntyAnyway kwenye hili nakaa upande wa kupokea mahari, hiyo list iliyochoka ya mleta mada achana nayo,
šššškwenye ndoa pamoto waliopo wenyewe wanatamani kutoka heka heka kama zoteeeeUkifika kwenye ndoa usiniaibishe binti yangu, akishatoa ng'ombe wote hawa basi ujue muda wowote akitaka unyumba wewe unainama tu akukule, hakuna melezo mengine š š š
Aunt usitake kusema Eli Cohen amechoka kuliko mimi,otherwise hao ngāombe nidaiwe tu nitalipia mmojammoja.Anyway kwenye hili nakaa upande wa kupokea mahari, hiyo list iliyochoka ya mleta mada achana nayo, unajua hizi koo zetu hatupokei ng'ombe chini ya 10 na mazagazaga mengine. Jiandae na angalau na M12.
Hii ni moja ya sababu na MUNGU analijua hilo,hata yeye pia analifahamu vyema.Na ninaamini hawezi kugoma kwa sababu nimeshagombana na CHAPUTA kwa ajili yakeUkifika kwenye ndoa usiniaibishe binti yangu, akishatoa ng'ombe wote hawa basi ujue muda wowote akitaka unyumba wewe unainama tu akukule, hakuna melezo mengine š š š
NO lady,usiishi katika scenario hiyo,mimi pia niko single kama wewe na visa vya wanandoa ni vingi sana ninakutana navyo katika jamii,ingawa sijakata tamaa kwa sababu mimi halijanifikia na siombei,badala yake namwomba sana MUNGU lisinitokee zengwe la aina yoyote katika maisha yangu ya ndoa hapo baadaešššškwenye ndoa pamoto waliopo wenyewe wanatamani kutoka heka heka kama zoteeee
Huyo uliyemtaja simfahamu so siwezi sema amechoka kukuzidi au lah.Aunt usitake kusema Eli Cohen amechoka kuliko mimi,otherwise hao ngāombe nidaiwe tu nitalipia mmojammoja.
Huyu binti mtiifu sana, wewe tu inabidi uwe mwanaume wa shoka kweli, ukianza kulia lia shida utelezi nao utakua unatoweka š šHii ni moja ya sababu na MUNGU analijua hilo,hata yeye pia analifahamu vyema.Na ninaamini hawezi kugoma kwa sababu nimeshagombana na CHAPUTA kwa ajili yake
Kwa heka heka mnazofanya vijana siku izi humu jf nimewainulia mikono juuuuNO lady,usiishi katika scenario hiyo,mimi pia niko single kama wewe na visa vya wanandoa ni vingi sana ninakutana navyo katika jamii,ingawa sijakata tamaa kwa sababu mimi halijanifikia na siombei,badala yake namwomba sana MUNGU lisinitokee zengwe la aina yoyote katika maisha yangu ya ndoa hapo baadae
Tusiache kuwa kitu kimoja,kushauriana pale mmoja anapokosea njia,tusisahau kuungama Mbele za MUNGU.Ninaamini BARAKA NYINGI ni zetu.Alright sweetie?
Nitayamudu kwa sababu mahali itakuwa fungu dogo kutoka katika kipato,ikiwa nitalipa kwa awamu na wazazi wake wakiruhusu hilo.Ila kama mahari utalipa kwa mafungu 12 mwaka mzima, mahitaji ya mkeo utayamudu kweli?
Ok,siwezi sema sitoweza ikiwa ninafanya kazi,isipokuwa asisahau kutumia nafasi yake kama mwanamke na isiwe uzuri wake ukawa chanzo cha matatizo katika familiaā¦Hata kijijini wapo ambao hawajatulia.Unataka mwanamke mrembo wa mjini, kumhudumia utaweza mpwa? au niendelee tu kukutafutia wale wa kijijini ambao hawana mambo mengi?
Nanazani utakuwa unamfahamu ABC zake kwa jinsi unavyompanba shangazi yanguHuyu binti mtiifu sana, wewe tu inabidi uwe mwanaume wa shoka kweli, ukianza kulia lia shida utelezi nao utakua unatoweka
Ni hisia zako na huenda hujakutana na mtu sahihi humu.Na ndio nimekuja sasa,nipe nafasi mrembo nikuoe utaelewa kwamba tulikuwa tunapoteza muda.Kwa heka heka mnazofanya vijana siku izi humu jf nimewainulia mikono juuuu
Mimi na ndoa maji na mafuta kabisaNi hisia zako na huenda hujakutana na mtu sahihi humu.Na ndio nimekuja sasa,nipe nafasi mrembo nikuoe utaelewa kwamba tulikuwa tunapoteza muda.
Njia moja ya kukwepa dowry
Basi kibali ni ndoa mamy.Njia moja ya kukwepa dowry
Em mwambie aunty akuonee uko kijijjini sisi wa mjini golddiggersB
Basi kibali ni ndoa mamy.
kumbe GOLDDIGGER.Em mwambie aunty akuonee uko kijijjini sisi wa mjini golddiggers
Ngoja nikupe lipa number maana ushakaa mkao wa kuchunwakumbe GOLDDIGGER.
Hakuna baya mamaa,karibu ujichimbie tu.Ndio nimesha kufia sweetie.Ni kama masihara ila maandishi yako yanajieleza how your heart beautifull look like.Nimeanza kwa kukupenda deeply.
šššNgoja nikupe lipa number maana ushakaa mkao wa kuchunwa