Ndugu zangu wachaga, Je hii ni sahihi au ni manipulation za mitandaoni?

Ndugu zangu wachaga, Je hii ni sahihi au ni manipulation za mitandaoni?

Hilo jambo maadam ni kitu cha maelewano ; itategemea wewe umejipangaje. Kwa huku Umasaini (nadhani hata usukumani) hiyo kitu ya Laki tatu bro. sahau kabisa wala usijaribu kuitaja haitokubalika; yan ukiitaja tu hiyo laki yako tatu utaona watu waliohudhuria hapo kukusikiliza wanachomoka mmoja-mmoja hadi unabaki wewe na viti. Hakuna ujanja hapo eti utaishi hadi mzae watoto 2,3-4 halafu ndo unafunga safari familia nzima kwenda Ukweni kwamba utalegezewa mahari. Hakuna hio.
Ikiwa hatujazaa,kwa mfano nikidate na mdada kama Mallerina na ndio mtu ambaye anaujua ukweli wangu.inakiwaje?
 
Hapo usikubali kulipa zaidi ya milion 3
Kwa uelewa wangu ni kwamba uchagani utamaduni wa kutoa mahari umepungua sana ukifananisha na makabila mengine. Halafu wachaga wako jamii tofauti na kila moja ina mila na desturi zake na hata pia kuhusu namna na kiasi cha mahari. Na zaidi mahari inaweza kutolewa kwa kipindi cha muda mrefu... hata miaka 30 na wengine hawatoi kabisa.
 
Mallerina kama iko hivi,nadhani hakuna la ziada kuhusu wewe.
 
Kwa uelewa wangu ni kwamba uchagani utamaduni wa kutoa mahari umepungua sana ukifananisha na makabila mengine. Halafu wachaga wako jamii tofauti na kila moja ina mila na desturi zake na hata pia kuhusu namna na kiasi cha mahari. Na zaidi mahari inaweza kutolewa kwa kipindi cha muda mrefu... hata miaka 30 na wengine hawatoi kabisa.
Basi inawezekana nina experience ya tofauti nao. kuna jamaa yangu huku Babati alitaka kuoa mkibosho wakati huo alikuwa jobless ili ana ujuzi wa mambo fulani, sasa familia aliyotaka kuoa aliambiwa atoe mahari milion 7.
kuweza kuipata hiyo milion 7, ilimbidi afanye kazi fulani kwenye hiyo hiyo familia ili kupata hela ya mahari na alipoipata hiyo milion 7 yote ikaishia kwenye masuala ya kuchumbia na ndoa. Kwa sasa imemlazimu awe mmoja ya wafanyakazi kwenye hiyo familia ya wakwe zake kutokana na mfumo wa hiyo familia ulivyo.
 
Wanaume kazi tunayo,na hapo bado chakula cha usiku unaenda kupewa kwa mgao...
 
Back
Top Bottom