Ndugu zangu wachaga, Je hii ni sahihi au ni manipulation za mitandaoni?

Asante sana kwa majibu yako.Je unaweza kunipatia matokeo chanya ya katika baadhi ya maswali niliyokuuliza kwa kuanza upya kujibu.Nataka kupata mzani.
Hujaniweka wazi kwamba unataka nijibu/nitoe matokeo chanya kwa maswali yapi kwa sababu nimetoa maelezo mengi kwa maswali uliyoniuliza. Je, unatakaje na katika kipengele kipi?
 
Majibu yako yanalenga haswa kwa Suria na nimekuelewa kwa upande huo.isipokuwa nilitamani kufananisha kwa kina kwa yule mwanamke nitakaye mtolea laki tatu na awe mrefu na mwenye shape,Isipokuwa nitamuoa haswa kwa mila au serikali huko kwingine ikitokea.
 
We hukusema kuna typing error
We acha tu.Tangu zamani nisipoelewa jambo,nilikuwa nikiliongelea tu kwa sababu imenihusu,isipokuwa nataliongelea kutokana na elezo lenyewe kwa mfano”MABALA UMETOKA WAPI SASA HIVI” ningesema “NIMETOKA KILABUNI”Halafu maisha yakadndelea
Anyway ni katika hali ya 💬 kwa bahati mbaya inatokea.POLE.
 
Ndo usiniambie kuna typing error
Afu mimi nimetuma tu
Ila fresh tu
 
Majibu yako yanalenga haswa kwa Suria na nimekuelewa kwa upande huo.isipokuwa nilitamani kufananiza kwa kina kwa yule mwanamke nitakaye mtolea laki tatu na awe mrefu na mwenye shape,Isipokuwa nitamuoa haswa kwa mila au serikali huko kwingine ikitokea.
OK. Kuoa kimila (Kijamii) kunaanzia sawa kama inavyokuwa kwa mitindo mingine yan kuweka mahusiano na Ke(kutongozana), halafu mahusiano yakikolea na mkakubaliana kuishi kama Mume na Mke; Me anawajulisha Wazazi wake kuhusu mahusiano hayo na malengo yake i.e. Kuishi pamoja =Kuoana.
Wazazi wanatoa maoni yao. Kukubali(Kubariki) au Kuweka pingamizi lenye sababu. Ikitokea wazazi wa Me.wameridhia basi Me anampeleka nyumbani kwake kwa Utambulisho. Baada ya Utambulisho huo kwa Familia ya Me; utafuata utambulisho kwa Familia ya Ke. Hilo sehemu nyingi ni kazi ya Washenga au Mjomba wa Me. Huko kwa Familia ya Ke i.e. Ukweni wakitoa "go ahead" zitafuata hatua zingine ndogo-ndogo sio za lazima na Me na Ke wanakwenda kuandikisha nia yao Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Wilaya pale kwa DAS na Tangazo hilo litadumu siku 90 (3 months) kama hakuna pingamizi Ndoa itafungwa (Harusi) kwa kujaza vyeti vya ndoa na mashahidi watatu(3). Kimila Me mhusika atawasiliana na Jamii husika ili kujua Utaratibu kwa kadri ya mila zao ukoje mtu akitaka kuoa hapo. Huku Umasaini hoja ya Utambulisho haina msingi sana bali ni kiwango cha mahari (Idadi ya ng'ombe, mbuzi, Kondoo na pombe ya Asali) yatakayokuwa yamekubaliwa na Familia ya Ke wakiwepo na Mashahidi. Baada ya hapo inatengwa siku ya kukabidhiwa Mke; wenyewe wanaita Siku ya Kupeana
Ambayo ndo siku ya Harusi nna maisha yanaendelea. Kimila na Kiserikali haijalishi kama mlishaanza kuishi pamoja (suria au mitara) na pengine mmeshazaa watoto. Zote hizo zitakuwa ni ndoa halali na zinatambulika Kisheria.
 
Sawa.na hiyo laki tatu gangu itakubaliwa?
 
Hilo jambo maadam ni kitu cha maelewano ; itategemea wewe umejipangaje. Kwa huku Umasaini (nadhani hata usukumani) hiyo kitu ya Laki tatu bro. sahau kabisa wala usijaribu kuitaja haitokubalika; yan ukiitaja tu hiyo laki yako tatu utaona watu waliohudhuria hapo kukusikiliza wanachomoka mmoja-mmoja hadi unabaki wewe na viti. Hakuna ujanja hapo eti utaishi hadi mzae watoto 2,3-4 halafu ndo unafunga safari familia nzima kwenda Ukweni kwamba utalegezewa mahari. Hakuna hio.
 
Back
Top Bottom