Ndugu zangu wachaga, Je hii ni sahihi au ni manipulation za mitandaoni?

Yaani wewe Kimario tumekuandikia orodha ya mahari kidogo baada ya mshenga wako kulialia tukasema utoe hiyo 'ela' kidogo 'fimilion' saba tu, badala ya kulipa umekuja kutuanika huku...ngoja urudi tena utatumbua!!
Kimario Akirudi aambiwe binti mtarajiwa amesafiri kuelekea Darisalamu atarudi mipango yake ikikamilika. Shenzi taipu.
 
Nimegundua wasomaji wengi hawasomi wakaelewa. Ikumbukwe mahari siyo kubwa hapo , hiyo ni FAINI
Aaaah weee! Pesa ni pesa tuu mazee. M saba si unafungua hata kaGrosary hapo pembeni ya barabara?
 
Sehemu za Kule nyanda za juu kusini; mwanamke akifariki kabla mahari hayajatekelezwa kikamilifu; Mgane (mume mfiwa) hatoruhusiwa kuzika mwili wa marehemu mke wake ni mpaka mahari yatimie/yakamilishwe. Hapo mjomba, hakuna rangi utaacha kuona.
Mara nyingi huwa inalipwa na ndugu kwa kushirikiana na marafiki wa karibu.Baadhi ya jamii hiyo ipo.Rafiki yangu mmoja na wenzie(ndugu)walimlipia mama yake mahali.
 
Unaweza kunipatia baadhi ya hasara?
Ndiyo:
1. Kuishi suria; mwanamke anaweza kunyanyasika sana kama kukitokea (na mara nyingi hutokea) kuachana yan kutokuelewana na Ke akatimuliwa. Huyo Ke atahangaika sana kuzipata haki zake za Kisheria simply kwa sababu Hana ndoa.
2. Ke hana sauti kwenye maisha ya suria. Me anaweza/anauhuru wa kuongeza Ke. mwingine kama ni Wakristo.
3. Kijamii; kuishi suria; Ke anaonekana kana kwamba alikosa pa kwenda; ni umalaya ulikuwa unamsumbua; n.k. - Jamii inamnyanyapaa (Stigmatisation).
4. Kwa wakristu ni shida kwa watoto wasio na hatia watakaopatikana katika mahusiano hayo kupata huduma za kiroho. Ke ndo huwa na uchungu zaidi jambo linaloweza kumsababishia msongo wa mawazo.
5.
 
Mkuu Iyerdoy asante sana kwa kunipatia sababu hiziambazo zipo na mchango wake pia.Isipokuwa ninamaswali kadhaa.

Vipi ikiwa walioana kwa makubaliano kama vile Vikao na wazee,ndoa ya kiserikali au ya kidini?

samahani umefikiria ikiwa mwanaume hatohitaji kuoa?

Au hili tuliwekee mjadala kidogo…

Na ikiwa ataolewa bado (mbichi) hajatembea long miles?

Msongo wa mawazo ni kwa nani:-
👉mtoto
👉baba
👉mama.

Je inakuwaje ikiwa waliooana kwa ndoa wakiachana?

😂😂😂samahani mkuu Maswali ni mengi ila nahisi unaweza kujua nataka kitu gani.

Tumalizie swali la mwisho
Unazani hakuna njia za kuzuia msongo kwa watu waliopo katika hali hiyo?
 
Ukishasema "Walioana kwa makubaliano" e.g. Vikao na Wazee,ndoa ya Kiserikali au Kidini tayari ni Rasmi hao ni mtu na mke wake Halali. Hawaitwi ni Suria. Mke anao Uhalali wa kuwepo hapo nyumbani(Familia). Endapo kutatokea kutengana , Ke atakuwa na nguvu ya Kisheria katika Mahusiano/ndoa hiyo. Sheria itamlinda au Kumtetea Ke. Ikumbukwe kwamba ndoa inaweza kuwa ni ya Kimila(Kijamii),Kiserikali au Kidini. Zote zinatambulika Kisheria.
NB: Kwa wenzetu e.g. Ulaya magharibi zipo "ndoa" zaidi ya hizo zilizotajwa hapo juu e.g. Ndoa/Mahusiano ya Kimkataba au Kutokuzaa n.k.

Mwanaume kama hatahitaji kuoa na ameshupalia watengane basi baada ya mchakato wa kisheria na ikakubalika watengane, itabidi mali zilizopatikana katika kuishi pamoja kwao -mahusiano yao, zigawiwe nusu kwa nusu(Pasu kwa pasu) baina yao Me na Ke. Ndo Sheria inavyotaka. Kwa upande wa Kidini ni ngumu zaidi - ni mpaka ithibitike kwamba ipo sababu nzito ya Kimsingi baina yao na inahatarisha Uhai au Maisha ya mmojawapo.

Wakiachana kihalali; basi Ke anakuwa Huru na anaweza kuolewa na Me mwingine bila shida. Kwa suria hapo ni Mtihani kwa sababu Me akitaka kuoa, Ke hataweza kuweka pingamizi lenye mashiko.
Msongo wa mawazo ni kwa nani:-
👉mtoto
👉baba
👉mama.
Kwa vile tunamzungumzia Ke (mama), yeye Ke ndo ataathirika zaidi (Japokuwa wote wataathirika kila mmoja kwa nafasi yake).Kwa upande wa mama kiuhalisia ata anza kufikiria ni nini itakuwa Hatma ya maisha yake baadaye.
Baba atafurukuta mwanzoni na anaweza kuoa Ke mwingine lakini hataweza kujua kama na huyo Ke atakuwa pasua kichwa kama yule aliyeondoka. Itakuwa kazi yake kila siku ni Ulinzi, Uchunguzi n.k. na kazi zake zitaathirika kwa namna moja au nyingine.
Kwa watoto ndo balaa. e.g. Malezi itakuwaje? Wataenda kuishi wapi na mama au watabaki na baba? Akiletwa hapo mama mpya; huyo ataitwa mama wa kambo. Kwa kifupi niseme tu ni Vurugu tupu.
Je inakuwaje ikiwa waliooana kwa ndoa wakiachana?
Kama wataachana kisheria au kihalali haina shida. Shida itakuwa ni endapo kama walijaaliwa kupata watoto.
😂😂😂samahani mkuu Maswali ni mengi ila nahisi unaweza kujua nataka kitu gani.

Tumalizie swali la mwisho
Unazani hakuna njia za kuzuia msongo kwa watu waliopo katika hali hiyo?
Kwa kweli ni ngumu sana kuwapo na njia ya kuzuia msongo wa mawazo kwa watu waliopo katika hali hiyo. Ni sawa na kusema Nyoka ameingia ndani ya nyumba yako unayolala na umemwona kwa macho yako. Huwezi kupotezea na eti ukatulia tu kana kwamba hakuna shida. Kumbuka mke wako sio ndugu yako wa kuzaliwa i.e. hana uhusiano wa damu baina yenu - anaweza kukuwekea sumu, kukodi "Wasiojulika" dhidi yako, anaweza kuanzisha "Ligi" baina yenu just to to disturb you hadi unakosa amani kabisa. Kumpiga haifai kwani Sheria itakuhusu. Kumuua ndo usijaribu kabisa kwani Nafsi na Roho yako (Karma)haitatulia ndani mwako hadi umauti ukukute kwani Damu yake itakulilia siku zote za maisha yako na hatokuwepo tena ili umwombe radhi. Utakomaa na hali yako.
Njia inayotumika na wengi ni ile ya Me kupotezea na kudharau kila Ubaya wa kimatendo dhidi yako kutoka Ke. Haifai kujitumbukiza kwenye Ulevi eti napunguza mawazo.
 
Asante sana kwa majibu yako.Je unaweza kunipatia matokeo chanya ya katika baadhi ya maswali niliyokuuliza kwa kuanza upya kujibu.Nataka kupata mzani.

Mallerina karibu pia.
 
Back
Top Bottom