Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Eti karibu ujichimbie 😆 😆 , naona umependa kwelikumbe GOLDDIGGER.
Hakuna baya mamaa, karibu ujichimbie tu.Ndio nimesha kufia sweetie.Ni kama masihara ila maandishi yako yanajieleza how your heart beautifull look like.Nimeanza kwa kukupenda deeply.
Binti, usimfanyie hivyo mpwa wangu 😀Ngoja nikupe lipa number maana ushakaa mkao wa kuchunwa
Karibu kama hutojali kunifilisi jaho langu lady.Ngoja nikupe lipa number maana ushakaa mkao wa kuchunwa
Au nikupe acc number unirushie ya mtajiKaribu kama hutojali kunifilisi jaho langu lady.
🤣🤣🤣🤣ngoja nijichimbie huku hali ngumu siku iziEti karibu ujichimbie 😆 😆 , naona umependa kweli
Binti, usimfanyie hivyo mpwa wangu 😀
Vyovyote tu,si umeamua kumpitisha nyoka kwenye mchanga.Karibu.Au nikupe acc number unirushie ya mtaji
😅izi imaginations tu dah
Weka hapa tuone salio lakoVyovyote tu,si umeamua kumpitisha nyoka kwenye mchanga.Karibu.
Uongo dhambi mama.Labda uje kunichachafya.But i am nothing to loose.Weka hapa tuone salio lako
What do you meanUongo dhambi mama.Labda uje kunichachafya.But i am nothing to loose.
No money,no me.I live because I’ve blessed to be here.that’s why ninahitaji kuwa na mwenzangu kama wewe ambaye utanisaidia kidogo kitu hadi SIR atakaposema,”familia you’re done,come back to me”.Baaas.What do you mean
Cha msingi n mlale uchi wa mnyama pamoja 😎
Mbona Binti wa zamani ameshaliandika hilo mkuu.Asante kwa msisitizo na ninazani Mallerina ameelewa.Cha msingi n mlale uchi wa mnyama pamoja 😎
Masikini ataamini milion 7 ni kumnunua bali laki 2 ndo mahari. Kujitunza kugumu labda uoe mwenye miaka 9 kama yue mzee tunayemswalia.Halafu unakuta anaoa mwanamke used ambaye wanaume wengine wamejipigia kwa chips kavu.
Mwanamke wa kutolewa mahari ni yule aliyejitunza tu na mahari haivuki laki tano maana haumnunui bali mnaenda kujenga familia ya pamoja.