Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Huyo anatokea taasisi fulani sasa anataka kuleta bifu lake 😅😅hapo anawasema BAKWATA hao ni CCM kabisa na wanafuata serikali kabisa ...Huku Mitaani wale wakatoliki wanaouza soksi mitaani, wanaoendesha boda boda, mama ntilie, ma house girls , ma jobless n.k wananufaika vipi na hiyo miakili na mikakati ya Viongozi wao wa kiimani?
au ndio kama zile mbwembwe za Waarabu koko wa Ilala kukutajia Anko zake walioko Oman na London wakati tukiwa kwny foleni ya kusubiria Mihogo ya kukaanga tukanywe chai na Familia zetu?