Ndugu zangu Waislam mtaniwia radhi kidogo

Ndugu zangu Waislam mtaniwia radhi kidogo

Status
Not open for further replies.
Ama kwa hakika wewe ni Mkristo. Kukosa kwako busara kwenye komenti yako kunathibitisha how much of a Christian ur.

Unaweza vipi ku show disrespectfulness kwa watu wa imani tofauti na yako kiasi hicho?

Wise up bro
We mganga wa jadi, mbona unaandika ki kafiri tena...tafadhali andika staily ile kutoka upande wa kushoto kwenda kulia.
 
Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama mahali analizungumzia katika upande wa UDINI...
Acha kujifanya muisilamu haukusaidii chochote. Unaweza kujenga hoja kama mkristo na ukaeleweka usitake kujifanya ni muisilamu ili upate kuungwa mkono na hao wakristo wenzako.
 
Ukweli ukweli ukweli mtupu.

Hawa huwa tunawasamehe tu. Wao jambo la kutumia AKILI huwa wanatumia MABAVU.

Sasa wameng'ang'ania hoja ya UDINI badala ya kujibu hoja za mkataba.

Yaani sijui wapoje?

Hata JPM aliwahi kuandikiwa waraka wa Pasaka kutoka TEC. Waraka ule ulikuwa unapinga utaratibu wa utawala wa JPM.

Je, JPM alikuwa Mwislamu?
 
BAKWATA ndio muwakilishi..Ila tuangalia je anasymbolize waislamu kwa kweli au tawi la serikali kwamba hawapo huru .
Unachotetea ni kitu kingine kabisa , hilo huwezi kuzungumzia huku public ukaeleweka na watu , hao ndio wanaotambulika sasa upende ukatae kasoro tunazijua sisi sio wengine
 
Ama kwa hakika wewe ni Mkristo. Kukosa kwako busara kwenye komenti yako kunathibitisha how much of a Christian ur.

Unaweza vipi ku show disrespectfulness kwa watu wa imani tofauti na yako kiasi hicho?

Wise up bro

muslims are unified upon this matter kutetea dini badala ya hoja, tuseme nini juu yao? Taja muslim yoyote unayemfahamu humu ambaye hukosoa hili suala kwa hoja bila mahaba ya dini. Watu wanatoa hoja, wao wanakosoa dini, unataka tusemeje?
 
Unachotetea ni kitu kingine kabisa , hilo huwezi kuzungumzia huku public ukaeleweka na watu , hao ndio wanaotambulika sasa upende ukatae kasoro tunazijua sisi sio wengine
Mtu si anajua viongozi wote kasome uundwaji wa BAKWATA hata humu nyuzo zipo ...Angalia migogoro yao kutwa inajulikana mpaka viongozi wakubwa wanaingilia kati.
 
muslims are unified upon this matter kutetea dini badala ya hoja, tuseme nini juu yao? Taja muslim yoyote unayemfahamu humu ambaye hukosoa hili suala kwa hoja bila mahaba ya dini. Watu wanatoa hoja, wao wanakosoa dini, unataka tusemeje?
Ni wengi tu hapa majina huwezi kufahamu huyu muislam au laa

Anayetetea Udini bila manufaa badala ya taifa ilihali akiijua kweli ni uhaini
 
Tanzania ni nchi ya kidemokrasia.Serikali ya Tanzania ikiwa chini ya kiongozi wa nchi ambaye ni Rais inaendeshwa kwa kufuata muongozo wa katiba.

Ifahamike kwamba, serikali ya jamhuri ya muungano wa nchi hii haiendeshwi kwa minadil ya dini fulani bali kwa katiba.

Suala la bandari ni baina ya serikali ya Tanzania kupitia mamlaka ya bandari (TPA) na serikali ya Dubai kupitia (DPW), hivyo basi suala la udini ni siasa za mdomo tu zisizo kuwa na fact.

Hao wawekezaji waliokuja hawa kusema wanakuja kueneza dini, hapana, bali kuwekeza katika sekta hiyo nyeti. Hivyo sioni haja ya kuzungunzia maswala ya udini kwenye hili swala.
 
Huyo Mziwanda hapo mtoe. Huyu ndio mbabaishaji namba moja. Huyu ndio hana hoja kabisaa kwenye hili la bandari zetu na waraka wa TEC zaidi ya kusema Dr Slaa alilala lock up siku chache compared to Sheikh Mselem Ally [emoji23][emoji23]. Sasa hapo issue ya bandari na Mselem Ally vinahusianaje?

Mpaka unajiuliza hawa masheikh wetu wanapokuwa wanaongea wanakuwa serious kweli au wanajitoa tu akili kwa shilingi mbili tatu za kuhongwa!! Wajue kuwa wao ndio sababu ya sisi Waislam na dini yetu kutukanwa na kuonekana hatujasoma, hatuna akili. Na si jambo zuri kuwa sababu ya kutukanwa dini yako.
 
Huu mwandiko kama wa RC mstaafu, kwasasa anafanya agribusiness
 
Wakishasikia Mwarabu tu wanajua Waislam hao /Uislam huo. Waende Dubai au nchi za Kiarabu waone ufuska unaofanywa huko. Au hata hawaoni Waarabu wa hapa hapa Tanzania maufuska wanayofanya?!! Uarabu si Uislam. Kukosa uelewa huu ndio kunawafanya wanatetea ujinga [emoji35].

DPW ni mfanyabiashara. Sasa anakuja kukuinua wewe Muislam na uSheikh wako au na misikiti yako kivipi? Hata organization structure ya DPW wanaijua kweli? Kuna Waislam tu humo? Huduma zao watatoa kwa Waislam tu? Hawa Masheikh wetu wanajua kututia aibu sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom