Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kila aina ya elimu inaelewa mikataba sasa hao mapadiri wenu walio soma theology wanatofauti gani na ma shk waliosoma TAUHEED na Fiqh au kwasbb hao walisoma kwa kilatini na hao kwa kiaarabu tofauti ni ipi?Lakini kwenye mikataba kunahitaji wasomi wa elimu Dunia Sasa[emoji23][emoji23]
Halina ukweli😅Achana na kucopy Lina ukwel halina?
% kubwa ya wahusika wa hiyo imani wakisoma hili bandiko lako wataishia hapa na kwenda ku-type either tusi au kumuita mwandishi siyo muislam.Anaandika Muumini wa Islamic
Wanatuona wajinga kwa kutuaminisha ni uchungu wa rasilimali za nchi na si maslahi yao binafsi kukanyagwa.Kama ndiyo hivyo, mbona bado wanaabudu picha ya Brian Deacon kwenye karne hii ya 21? Hiyo elimu haijawasaidia bali wamemezeshwa.
Haina tofauti ya punda amebeba mzigo wa vitabu lakini kichwani hamna kitu.
Mmoja wapo wa hao masheikh ubwabwa ni huyu.Leo ndo ni meamini ukiwa nje ya dini ya uislamu akili zako zinakua na kasoro fulani (unakua na upungufu wa fahamu) ina onekana kama hujakamilika vizuri ona huyu mgalatia anapo andika upupu wake kabisa, kwake anadhani kusoma theology ndo kua na akili na busara, ukimuuliza Yesu alikua na PhD ngapi? litakodoa tu macho, ukimuuliza mitume Paulo alikua kasoma wapi PhD ya theology atakujibu, wakati bibulia kaandika yeye kuanzia miaka ya 80 ad..........hi elimu dunia Inapoteza sana ndugu zetu wakristu, hao mapadiri unao sifia hujawahi kuishi nao ni wapumbavu na wajinga kabisa wanafanya vitu vya hovyo sanaa hizo PhD zao za theology hazija wabadili zaid ya kua Brainwashed na kua useless jatika jamii kuibia waumini masikini kwa njia ya kutoa sadaka.
Wameshindwa kuondoa umasikini miongoni ma wafuasi wao ambao wanaishi kwenye umasikini uko vijijini hao wasomi wanasaidia je jamii yao.
Hahahah..Uzi huu ni kama umeamkia kule Ukraine au Congo sehemu zenye waasi inabidi utafute namna ya kuyakabili mapambano mleta uzi kuna kibibi kitakatisha usingizi huko na kuja kukushambulia kikisaidiwa na kaka zake boko haramu na Al shababu wa nyuma ya keyboard bila kuungalia uzito wa ulichokifikisha
Bahasha amekwisha pewaMmoja wapo wa hao masheikh ubwabwa ni huyu.
Hajapewa hata mia huyo anasukumwa na mahaba ya dini tu.Bahasha amekwisha pewa
Na huu pia ni walaka kama wa TEC ikibidi ndugu zetu waelewe,linapokuja swala la mambo muhimu yenye maslahi kwa taifa inabidi tuwe kitu kimoja. Pasipo kutumia mwanya huohuo kuingizia mambo ya Udini ili kututoa katika lengo la msingi.Umenena Jambo [emoji122][emoji122]
Kwani Lipumba na Assad Dini gani?Soma tena comment Yako utajua unakubaliana nae kua viongozi waislan sio wasomi 😂😂
Theology hata Waislamu wanasomaKwani kila aina ya elimu inaelewa mikataba sasa hao mapadiri wenu walio soma theology wanatofauti gani na ma shk waliosoma TAUHEED na Fiqh au kwasbb hao walisoma kwa kilatini na hao kwa kiaarabu tofauti ni ipi?
Labda mkataba uandikwe kwa kiarabuTatizo huanzia hapa 👆👆!! Kwan mkataba wenyew hata Wameusoma basi 🤣🤣🤣🤣
Kivipi maslai Yao yanakanyagwa kwani DP wanahusika na Kodi..,Wanatuona wajinga kwa kutuaminisha ni uchungu wa rasilimali za nchi na si maslahi yao binafsi kukanyagwa.
Zaidi ya chuki huna hoja.Leo ndo ni meamini ukiwa nje ya dini ya uislamu akili zako zinakua na kasoro fulani (unakua na upungufu wa fahamu) ina onekana kama hujakamilika vizuri ona huyu mgalatia anapo andika upupu wake kabisa, kwake anadhani kusoma theology ndo kua na akili na busara, ukimuuliza Yesu alikua na PhD ngapi? litakodoa tu macho, ukimuuliza mitume Paulo alikua kasoma wapi PhD ya theology atakujibu, wakati bibulia kaandika yeye kuanzia miaka ya 80 ad..........hi elimu dunia Inapoteza sana ndugu zetu wakristu, hao mapadiri unao sifia hujawahi kuishi nao ni wapumbavu na wajinga kabisa wanafanya vitu vya hovyo sanaa hizo PhD zao za theology hazija wabadili zaid ya kua Brainwashed na kua useless jatika jamii kuibia waumini masikini kwa njia ya kutoa sadaka.
Wameshindwa kuondoa umasikini miongoni ma wafuasi wao ambao wanaishi kwenye umasikini uko vijijini hao wasomi wanasaidia je jamii yao.
Wanaabuduje Sasa picha sasaKama ndiyo hivyo, mbona bado wanaabudu picha ya Brian Deacon kwenye karne hii ya 21? Hiyo elimu haijawasaidia bali wamemezeshwa.
Haina tofauti ya punda amebeba mzigo wa vitabu lakini kichwani hamna kitu.
Mkuu achana nae.Zaidi ya chuki huna hoja.
PhD katika elimu dunia,Yesu na Paul hawakuhitaji elimu dunia bali elimu Ahera