Ndugu zangu Waislam mtaniwia radhi kidogo

Status
Not open for further replies.
Mi naona kiwake tu si wanajionaga wengi,, na kuanzia leo nachinja mwenyewe,, shubaamit
 
Wakristo wanaiendea dini kwa kutumia akili na elimu yenyewe ya dini.

Waislamu wanaiendea dini kwa kutumia elimu ya dini na hawana elimu ya kuchanganyia kuwaongoza. Hili Ni tatizo kubwa Sana.

Waislamu wanajadili suala la bandari kwa husda dhidi ya Wakristo/kanisa. Kwamba kanisa linanufaika na kupitisha mizigo bandarini bila kulipa Kodi.

Waislamu wanajadili watoa waraka yaani TEC badala ya kujadili hoja zilizomo katika waraka na kuzijibu au kuonyesha madhaifu yake. Wamefeli kwa hili!

Waislamu wanajadili mkataba wa bandari na waraka wa Baraza la Maaskofu kwa misingi kwamba Samia Ni muislamu mwenzetu lazima timuunge mkono na tuwe upande wake. Hakuna matumizi ya akili au kuipigania haki.

Nb: Wao walioleta na wanaoupigania mkataba Lao ni moja hawana dini. Awe mpagani au mkrsto au muislamu au msabato. Agenda yao ni wao na matumbo yao na familia zao.

Ushauri:
Waislamu tujitahidi kujadili hoja, tuweke udini pembeni. Tuishi maneno ya msahafu kwamba uislam Ni dini ya HAKI.

Bahati mbaya Maaskofu wakishaongea hawarudi kukujibu.

Wanaacha Akili na ujinga vipambane.

Nimeona waraka sijui wa Ansari simba, ni aibu, wamejikita kuwashambulia maaskofi badala ya hoja za waraka.Ni aibu na ujinga.

Mkataba ule ni wa kisheria siyo ishu ya sheria za kiislam na waislam.

Maaskofu wameonyesha madhaifu ya mkataba na wameshauri.

Ukiona unatoa hoja kwa kumshambulia mwenzako mwenye mtazamo wake ,Jua kwamba wew Ni dhaifu kupindukia. Kwanini usiongee kile wewe unachoamini? Kuwataja TEC ni udhaifu na kukosa weledi na ukosefu shule!
 
Hao ni mbumbumbuuu, wewe angalia mikoa Yao ya Tanga, Pwan,Mtwara, Lindi , kwenye suala la Elimu Iko wapi.

Watoto wa kiislam ndo hao wanaokataa sana shule, na kupenda kuolewa ,kuolewa mapema na Hawa Masheikh wenye uchu wa uchi.

Kwao, ukishameza juzuu zako tu ,basi wee ni msomi.

Hawana Uwezo wa kujadili suala la Bandari Kwa Hoja ,!!
 
Unataka kusema hata mkataba tu wanaona tu karatasi zimeandikwa lkn content hawaelewi?
 
Hao ni mbumbumbuuu, wewe angalia mikoa Yao ya Tanga, Pwan,Mtwara, Lindi , kwenye suala la Elimu Iko wapi.

Watoto wa kiislam ndo hao wanaokataa sana shule, na kupenda kuolewa ,kuolewa mapema na Hawa Masheikh wenye uchu wa uchi.

Kwao, ukishameza juzuu zako tu ,basi wee ni msomi.

Hawana Uwezo wa kujadili suala la Bandari Kwa Hoja ,!!
Mbumbumbu ni yule anayepiga goti mbele ya sanamu na kuliomba
 
Wakristo wanaiendea dini kwa kutumia akili na elimu yenyewe ya dini.

Waislamu wanaiendea dini kwa kutumia elimu ya dini na hawana elimu ya kuchanganyia kuwaongoza. Hili Ni tatizo kubwa Sana.

Waislamu wanajadili suala la bandari kwa husda dhidi ya Wakristo/kanisa. Kwamba kanisa linanufaika na kupitisha mizigo bandarini bila kulipa Kodi.

Waislamu wanajadili watoa waraka yaani TEC badala ya kujadili hoja zilizomo katika waraka na kuzijibu au kuonyesha madhaifu yake. Wamefeli kwa hili!

Waislamu wanajadili mkataba wa bandari na waraka wa Baraza la Maaskofu kwa misingi kwamba Samia Ni muislamu mwenzetu lazima timuunge mkono na tuwe upande wake. Hakuna matumizi ya akili au kuipigania haki.

Nb: Wao walioleta na wanaoupigania mkataba Lao ni moja hawana dini. Awe mpagani au mkrsto au muislamu au msabato. Agenda yao ni wao na matumbo yao na familia zao.

Ushauri:
Waislamu tujitahidi kujadili hoja, tuweke udini pembeni. Tuishi maneno ya msahafu kwamba uislam Ni dini ya HAKI.

Bahati mbaya Maaskofu wakishaongea hawarudi kukujibu.

Wanaacha Akili na ujinga vipambane.

Nimeona waraka sijui wa Ansari simba, ni aibu, wamejikita kuwashambulia maaskofi badala ya hoja za waraka.Ni aibu na ujinga.

Mkataba ule ni wa kisheria siyo ishu ya sheria za kiislam na waislam.

Maaskofu wameonyesha madhaifu ya mkataba na wameshauri.

Ukiona unatoa hoja kwa kumshambulia mwenzako mwenye mtazamo wake ,Jua kwamba wew Ni dhaifu kupindukia. Kwanini usiongee kile wewe unachoamini? Kuwataja TEC ni udhaifu na kukosa weledi na ukosefu shule!
Kkkt nao wanafuata mihemko!?..wasomi(kwa uoni wako) wote wanaunga mkono tamko la TEC!?... TEC walishapitia mikataba mingine tuliyoingia na 'wazungu'!?..waliona ni mizuri tu!?..Kama mibaya kwa nini hawakuitolea tamko au kuwatuma nyinyi kondoo wao kuja kupayuka!?
 
Kama hawajapitia hivyo itakuwa marufuku kuupitia huu wa bandari?
 
Kkkt nao wanafuata mihemko!?..wasomi(kwa uoni wako) wote wanaunga mkono tamko la TEC!?... TEC walishapitia mikataba mingine tuliyoingia na 'wazungu'!?..waliona ni mizuri tu!?..Kama mibaya kwa nini hawakuitolea tamko au kuwatuma nyinyi kondoo wao kuja kupayuka!?
Ni lini mikataba iliwekwa wazi nchi hii
 
Kkkt nao wanafuata mihemko!?..wasomi(kwa uoni wako) wote wanaunga mkono tamko la TEC!?... TEC walishapitia mikataba mingine tuliyoingia na 'wazungu'!?..waliona ni mizuri tu!?..Kama mibaya kwa nini hawakuitolea tamko au kuwatuma nyinyi kondoo wao kuja kupayuka!?

Labda kuamini Yule babu wa Kizungu anaieshi Italy ndo 'muwakilishi wa Mungu "hapa duniani ndo sio umbumbumbu...
Kuamini Vatican Wana nia njema na hawa wamatumbi wa Kyela ndo sio umbumbumbu...
Kwamba Tec wakishasema kitu lazima wasikilizwe ndo "usomi na uzalendo "...
Na kukusanya sadaka na fungu la kumi na kupeleka Vatican ndo kumkaribia Mungu ...ndo sio umbumbumbu.....

Unaweza kukuta mbumbumbu anamtukana asie mbumbumbu kuwa ndo mbumbumbu....😅
 
PhD inawasaidia nini kama wanakusanya sadaka yako na fungu lako la kumi na kuwapelekea Wazungu??

Ya kaisari tumpe kaisari na ya Mungu tumpe Mungu , Sadaka ni ibada ,muamini wa kweli anatoa zaka na sadaka ,sadaka ni kuwasaidia wasiojiweza(walemavu,wajane ,yatima and the like) na zaka ni kwa ajili ya kuwezesha kanisa liendelee kusambaza injili ,hao so called wazungu wakishakusanya wanaenda kuigawa kama misaada sehemu nyingine? Au umesahau zamani misaada ya mitumba ,buruga kutoka kwa wazungu ilikuwa inagaiwa bure makanisani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom