Wakiristo wanaabudu mtu na hawa wakiristo tulionao hapa tanzania ni wale walioonywa kwenye Ufunuo.(Uwazi)
Ufunuo wa Yohana .
1 Ufunuo wa Yesu Kristo (Mtu), aliopewa na Mungu
Heri asomaye na wao wayasikiao maneno ya unabii huu, na kuyashika yaliyoandikwa humo; kwa maana wakati u karibu
Aliyelishuhudia Neno la Mungu, na ushuhuda wa Yesu Kristo(Binadamu), yaani, mambo yote aliyoyaona
Aliye na masikio, basi, na ayasikie
Amka! Imarisha chochote chema kilichokubakia kabla nacho hakijatoweka kabisa. Maana, mpaka sasa, sijayaona matendo yako kuwa ni makamilifu mbele ya Mungu wangu (Inakuwaje unamwabudu Yesu ?)
"Wale wanaoshinda, watavikwa mavazi meupe kama hao. Nami sitayafuta majina yao kutoka katika kitabu cha uzima; tena nitawakiri kwamba ni wangu mbele ya Baba yangu na mbele ya malaika wake. (Inakuwaje unamwabudu Yesu. hapa ipo wazi Mungu na malaika wake ).
11 ikisema, Haya uyaonayo uyaandike katika chuo, ukayapeleke kwa hayo makanisa saba: Efeso, na Smirna, na Pergamo, na Thiatira, na Sardi, na Filadelfia, na Laodikia.
Wewe kanisa lako lipo hapo ?
Msirushie mawe watu wakati mnaishi ndani ya nyumba za vioo.
Christians had a dilemma as soon as they declared that Christ was God. If Christ is God and God the Father is God, doesn't that make two gods? And when you throw the Holy Spirit into the mix, doesn't that make three gods? So aren't Christians polytheists? Christians wanted to insist, no, they're monotheists. Well, if they're monotheists, how can all three be God?