Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Kama TEC hawakutoa tamko kwenye hiyo mikataba mingine wewe si unge toa tamko kwenye iyomikataba mingine.Kkkt nao wanafuata mihemko!?..wasomi(kwa uoni wako) wote wanaunga mkono tamko la TEC!?... TEC walishapitia mikataba mingine tuliyoingia na 'wazungu'!?..waliona ni mizuri tu!?..Kama mibaya kwa nini hawakuitolea tamko au kuwatuma nyinyi kondoo wao kuja kupayuka!?
Jadili hoja mkuu acha udini.