Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Huyo anatokea taasisi fulani sasa anataka kuleta bifu lake 😅😅hapo anawasema BAKWATA hao ni CCM kabisa na wanafuata serikali kabisa ...Huku Mitaani wale wakatoliki wanaouza soksi mitaani, wanaoendesha boda boda, mama ntilie, ma house girls , ma jobless n.k wananufaika vipi na hiyo miakili na mikakati ya Viongozi wao wa kiimani?
au ndio kama zile mbwembwe za Waarabu koko wa Ilala kukutajia Anko zake walioko Oman na London wakati tukiwa kwny foleni ya kusubiria Mihogo ya kukaanga tukanywe chai na Familia zetu?
Safi sana.Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama mahali analizungumzia katika upande wa UDIN...
Umeongea ukweli! hizi taasisi nyingi waumini hawatetei dini kazi kupambania vyeo na kufanya uwizi hamna cha maana ..Kweli hata Alhlul Badr huwajui mpaka unasema eti usomewe Albadr
Kumbe hata hiyo dua hujui walisomewa nani na kwa nin...
Mara unamkubali Sheikh Mziwanda kwa sababu yeye anatoa "DAGH'AWA" tu, mara hapo hapo unamshutumu kwa kupendekeza Waislam watoe waraka usomwe misikitini, mara utawekewa kikao usomewe "albadiri"...ili mradi tafrani tu. "Feld" Marshal vipi?Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama mahali analizungumzia katika upande wa UDINI...
Katika dhambi ambayo itaiandama daima CCM ni kutoweka kipaumbele cga elimu kwa mikoa yenye waislam wengi.Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama mahali analizungumzia katika upande wa UDINI...
Mtakuja na kila aina ya uongo na story. Imekula kwenu.Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama mahali analizungumzia katika upande wa UDIN...
Mnajitekenya wenyewe mnacheka wenyewe.Katika dhambi ambayo itaiandama daima CCM ni kutoweka kipaumbele cga elimu kwa mikoa yenye waislam wengi.
Mtu ywyote anayependa usawa hawezi kukubaliana na huu ubaguzi mkubwa.
Leo Iran au Saudia mataifa ya Kiislam kuna wanataaluma wengi na maendeleo makubwa ya kisayansi nanteknolojia. Sisi tumeshindwa kuwashika mkono ndugu zetu waislam hata kwa lazima ili wapate elimu dunia sambamba na weledi wao kwenye dini.
Nimechelea sana kuwabeza masheikh kwa sababu naelewa tatizo lipo kwa CCM na si lao.
Tunahitaji Katiba Mpya itakayozingatia usawa kwenye kufaidika na rasilimali za nchi.
Masheikh wanashibdwa kupambanua mambo na kugaragazwa na hoja, naona aibu mimi.
Na ole wenu watawala mnaowatumia wanagenzi wa dini katika kujifaidisha kisiasa
Unaomba upunguziwe kodi ya tende?Huku Mitaani wale wakatoliki wanaouza soksi mitaani, wanaoendesha boda boda, mama ntilie, ma house girls , ma jobless n.k wananufaika vipi na hiyo miakili na mikakati ya Viongozi wao wa kiimani?
au ndio kama zile mbwembwe za Waarabu koko wa Ilala kukutajia Anko zake walioko Oman na London wakati tukiwa kwny foleni ya kusubiria Mihogo ya kukaanga tukanywe chai na Familia zetu au kwny vijiwe vya bhangi?
Umeniita? tatizo nini?
Ona aibu kidogo.Mnajitekenya wenyewe mnacheka wenyewe.
Hoja ya Mahakama ya Kadhi inajitaftia upinzani mapema mno na kujichimbia kaburi la sahau tunapoelekea Katiba mpya ya Tanzania.Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama mahali analizungumzia katika upande wa UDINI...
Sema BAKWATA una hakika wa waislamu wote ?Ona aibu kidogo.
Usijitape umeelimika ikiwa jamii yako ina suffer deficity ya elimu.
Ukiielewa hoja yangu sema AMEN kubwa