Ndugu zangu Waislam mtaniwia radhi kidogo

Status
Not open for further replies.
Unataka kusema hata mkataba tu wanaona tu karatasi zimeandikwa lkn content hawaelewi?

Mkuu,
Kichwa cha uzi huu kingesomeka "Baadhi ya Waislamu na Wakristo....." kingependeza zaidi.
Kuna Waislamu ambao ni makini na wanakosoa mkataba huu kwa hoja
Kuna Wakristo wenye akili hoho wanaunga mkono mkataba huu, mfano ni Mzee wa Upako.
Uwe na siku njema.
Mama Amon
 
Kusikiliza ni hekima na kujibu hoja ni busara.

Udini uwekwe pembeni tujibu hoja za mkataba na siyo kushambulia wanaotetea mkataba au wanaopinga mkataba
 
Wakristo mnajipa u-smart ambao hamna, kwani waislamu wote wanaunga mkono swala la bandari how?, au wakristo wote wanapinga hii issue?
 
Wakiristo wanaabudu mtu na hawa wakiristo tulionao hapa tanzania ni wale walioonywa kwenye Ufunuo.(Uwazi)

Ufunuo wa Yohana .

1 Ufunuo wa Yesu Kristo (Mtu), aliopewa na Mungu
Heri asomaye na wao wayasikiao maneno ya unabii huu, na kuyashika yaliyoandikwa humo; kwa maana wakati u karibu

Aliyelishuhudia Neno la Mungu, na ushuhuda wa Yesu Kristo(Binadamu), yaani, mambo yote aliyoyaona
Aliye na masikio, basi, na ayasikie
Amka! Imarisha chochote chema kilichokubakia kabla nacho hakijatoweka kabisa. Maana, mpaka sasa, sijayaona matendo yako kuwa ni makamilifu mbele ya Mungu wangu (Inakuwaje unamwabudu Yesu ?)

"Wale wanaoshinda, watavikwa mavazi meupe kama hao. Nami sitayafuta majina yao kutoka katika kitabu cha uzima; tena nitawakiri kwamba ni wangu mbele ya Baba yangu na mbele ya malaika wake. (Inakuwaje unamwabudu Yesu. hapa ipo wazi Mungu na malaika wake ).

11 ikisema, Haya uyaonayo uyaandike katika chuo, ukayapeleke kwa hayo makanisa saba: Efeso, na Smirna, na Pergamo, na Thiatira, na Sardi, na Filadelfia, na Laodikia.

Wewe kanisa lako lipo hapo ?

Msirushie mawe watu wakati mnaishi ndani ya nyumba za vioo.

Christians had a dilemma as soon as they declared that Christ was God. If Christ is God and God the Father is God, doesn't that make two gods? And when you throw the Holy Spirit into the mix, doesn't that make three gods? So aren't Christians polytheists? Christians wanted to insist, no, they're monotheists. Well, if they're monotheists, how can all three be God?
 
Walengwa wakati ukaribu hayo ya bandari ni wanasiasa mkiyachanganya mjue hamtabaki salama.
 
Hizi dharau ndizo zinazo sababisha Waislamu na Wakristo wazidi kudharauliana wao kwa wao na waendelee kutofautiana katika kila jambo hata katika yale ambayo hawakupaswa kutofautiana !!

Waswahili wanasemaga Vita vya panzi ni furaha ya Kunguru !! πŸ™πŸ™
 
Muislamu ndugu yake Muislamu.
Wao hawajadili hoja bali dini
 
Kkkt nao wanafuata mihemko!?..wasomi(kwa uoni wako) wote wanaunga mkono tamko la TEC!?...
Kwani ni lazima kutoa maoni kuhusu TEC? Kwa nini usiwaze kutoa maoni kuhusu mkataba, bali unaendelea kuwaza watoa maoni kuhusu TEC? Huu ni utumwa wa fikra, maana yake ni kwamba ili wewe utoe maoni kuhusu jambo, ni lazima wenye big brain walizungumzie kwanza ndipo uje uwazungumzie (sio ulizungumzie jambo, uwazungumzie). Ina maana hauna fikra huru ili walau na wewe siku moja uwe innovator?
 
Jikite kwenye hoja zao ni za kweli au uongo?
 
Wakristo mnajipa u-smart ambao hamna, kwani waislamu wote wanaunga mkono swala la bandari how?, au wakristo wote wanapinga hii issue?
Sasa hivi ni mihemko plus plus hakuna mjadala wala nini. !!
Wengine tulishaona toka mwanzoni kuwa mjadala wa Bandari utaelekea kwenye malumbano ya kidini !!
Baadhi ya watu humu huwa hawakipimi kile wanachokiandika kitakwenda kuleta picha gani kwa watu wengine wa upande mwingine !
 
..
Your browser is not able to display this video.
 
Nimekuelewa vzr wapo waislamu weny elimu na upeo wa kudadavua mamb nadhan hoja ililenga viongoz wa dini. Kuhusu Mzee wa BAPA luse inategemea alikua kweny hali gan wakati huo, pia amekua Mzee wa fursa refer kipind cha shujaa!!
 
Nimekuelewa vzr wapo waislamu weny elimu na upeo wa kudadavua mamb nadhan hoja ililenga viongoz wa dini. Kuhusu Mzee wa BAPA luse inategemea alikua kweny hali gan wakati huo, pia amekua Mzee wa fursa refer kipind cha shujaa!!
And who is not kwa sasa katika Inji hii ??! ( fursa )
 
PhD inawasaidia nini kama wanakusanya sadaka yako na fungu lako la kumi na kuwapelekea Wazungu??
Still ubongo wako upo uchi!! Mweny ubongo timamu hawez ongea hii kitu!! Unajua dini ni taasis hata uislam sadaka lazima iende kwa wenyew arabun!! The Boss nan kakuibia ubongo wako halisi?
 
Serikali ina mihimili mitatu tu.

1. BARAZA/EXECUTIVE

2. BUNGE

3. MAHAKAMA.

TEC wala BAKWATA sio mihimili ya Serikali.

Bunge la wananchi limesha pitisha mchakato wa uwekezaji katiaka bandari.
Tuviheshimu na tuviamini vyomba vyetu vyenye mamlaka ya kutenda kwa niaba yetu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…