Ndugu zangu waislam nina maswali

Ndugu zangu waislam nina maswali

Wakiristo bana ukiwaona kwa nje ni watu wema sana, sasa soma maandiko yao. Ndio utajua sio watu wa kama uwaonavyo.
Halafu wengi akili zao ni duni sana. Ukiachilia mbali kuwanufaisha wachungaji kwa kuuziwa mafuta, ni watu wenye chuki sana kwa uislamu, kuliko hata kuwa na mapenzi na mafundisho yao. Pia wengi wao hawaijui Bibilia.

Tukiangalia mfano wa sasa, kwenye mauaji ya kimbari wanayofanyiwa waPalestina, kwenye bibilia wanaamini nchi ya Palestina ni nchi ambayo wameahidiwa wana wa Israel.
1. Hawatambui kwamba Israel iliyotajwa pale sio Israel ya sasa, kwenye bibilia ni Israel ni kabila la Yakobo, ni watu wa Yakobo, hata kama kuna watu walipewa mikataba kwamba baada ya miaka 2000 nchi ile ni yao, basi sio hawa Mazayuni wanaotoka Ujerumani na Poland

2. Watu wanaojiita Israel, ni watu "anti-christ" ukienda Israel ukileta ukiristo unaweza temewa mate, wakati Police anakuona na hazuiliwi, ukijaribu kumlipizia mzayuni, unapigwa risasi unakufa

3. Wakristo ni watu ambao, wanaamini Yesu aliwapa hii nchi ya ahadi, na wanaamini nchi ile ni mali ya Chama Cha Zionism, na wana haki ya kuua mtu yoyote. Lakini ukimuuliza mtu dini gani inahalalisha mauaji, ukiristo hautatajwa.

Kuna mdau anasema nchi za kiislam kamaa Syria ni nchi zinazoongoza kwa umasikini, inaweza kuwa kweli ila vita vimesababishwa na wale ambao Yesu aliwaahidi nchi ya Ahadi, wao ndio mastermind wa Vita Vyote. Nchi Kama Palestine, kabla ya Yesu hajaigawa kwa watu wa Poland na German, ambao Hitler aliwachoma kama sekela, nchi ile ilikuwa ni nchi yenye maendeleo makubwa. Sasa naamini ingekuwa hakuna ahadi ya kupokonywa nchi watu fulani na kupewa watu fulani haya yote yasingetokea,
Umelalamika zaidi kuliko kuonesha unavyoijua biblia.Na ujuaji wako wa biblia ni ule wa kuchagua mistari uipendayo tu.
 
Atarudi na bara.Mjibu aliyouliza kwanza.
Haina mashiko hoja yake, sehemu walizotaja kuna mchanganyiko. Angetaja sehemu kama kitumbini, Kariakoo, Upanga huko ndio unakuwa misikiti na waislam wamejaa, utasema ni uarabuni. Huko alipopataja wakiristo wapo wengi. Ila kabla sijamalizia kujibu, wewe au yeye kuna anayemiliki hata pikipiki, au hata aliyekuwa na biashrar yake, au nyote mnasubiria 500k za mwezi ?
 
Mbona Yemen hamna Makafir lakini nchi takataka, Iraq, Syria, Somalia?
Nikutajie nyingine?
We unajua unachoongea?hizo Nchi zote ulizotaja sababu ya kuwa hivyo zilivyo sasa ni makafiri wenzako wamepiganisha vita ndo hali hiyo unsyoiona ila zikitulia baada ya miaka ishirini zitakuwa mbingu na ardhi na Tanzania kielelezo ni Afghanstan mpaka kufika sasa haina Deni umeelewa ewe kafiri?
 
Unazungumzia kabla ya uvamizi wa Israel (watu wa Mungu) au baada ya uvamizi wa Israel? Tuangalie Historia kabla ya mkataba waliopewa na Yesu kwamba 1945 ile nchi itakuwa yao
Middle East waarabu wamekuwa wakiuana kwa makarne na makarne; ustaarabu wameanza hapa majuzi tu
 
Haina mashiko hoja yake, sehemu walizotaja kuna mchanganyiko. Angetaja sehemu kama kitumbini, Kariakoo, Upanga huko ndio unakuwa misikiti na waislam wamejaa, utasema ni uarabuni. Huko alipopataja wakiristo wapo wengi. Ila kabla sijamalizia kujibu, wewe au yeye kuna anayemiliki hata pikipiki, au hata aliyekuwa na biashrar yake, au nyote mnasubiria 500k za mwezi ?
Ukishaona kila mtu anachomiliki unataka uanze kuwa chawa?
 
  1. Kwanini maeneo ambayo mmejaa nyinyi kuliko Wakristo Dar es salaam kuna uduni wa kiasi fulani katika maendeleo mf. Nenda Chamazi - Mbagala, nenda temeke na maeneo mengine ambapo mpo wengi kuliko wakristo
  2. Kwanini watoto zenu wanasoma vizuri tu kwenye shule za Kikristo (mission) ila watoto zetu kusoma zenu ni changamoto
  3. Mbona mnakula sana kitimoto ndugu zangu? Mmejiruhusu au mmeruhusiwa?
Ninakujibu kama ifuatavyo, kwanza Uislam ni Dini ya Hakhi

1) Kuhusu Umasikini kwenye makazi yenye Waislam wengi inatokana na kutokuwa na Mwamko wa Elimu tangu kipindi cha miaka kadhaa nyumba japo huwa tunasingizia Mfumo Kristo na Nyerere

2) Kuhusu Ubaguzi wa wanafunzi katika shule zetu kwa minajili ya kidini, hili lipo ila sio katika shule zote za Kiislam

3) Kuhusu kula kitimoto, Kitimoto ni Haram katika misingi ya Kiislam, ila tatizo ni tamu sasa na kingine kaa ukijua

Hata hivyo Nguruwe ni Mvumilivu sana maskini ya Mungu

Wabillah Tawfiq
 
We unajua unachoongea?hizo Nchi zote ulizotaja sababu ya kuwa hivyo zilivyo sasa ni makafiri wenzako wamepiganisha vita ndo hali hiyo unsyoiona ila zikitulia baada ya miaka ishirini zitakuwa mbingu na ardhi na Tanzania kielelezo ni Afghanstan mpaka kufika sasa haina Deni umeelewa ewe kafiri?
Zitakuwaje mbingu na ardhi watu wanaishi jangwani kama ngamia wakiwinda mijusi 🤣🤣
Umewahi jiuliza kwanini nchi zote zilizoendelea ukanda huo ni vibaraka wa Makafir? UAE, Saudi Arabia, Qatar, Oman
 
Ukishaona kila mtu anachomiliki unataka uanze kuwa chawa?
😀😀😀 NIMECHAKA SANA , MASIKINI NDIO KIPAO MBELE KUFUATILIA WATU. UNGEKUWA NA PESA USINGEKAA UKAWAZA KWANINI WATU WA MBAGALA HAWANA PESA. AU ITAKUWA ULIPOKEA PESA ZA KIKOBA UNAONA KILA MTU MASIKINI
 
  1. Kwanini maeneo ambayo mmejaa nyinyi kuliko Wakristo Dar es salaam kuna uduni wa kiasi fulani katika maendeleo mf. Nenda Chamazi - Mbagala, nenda temeke na maeneo mengine ambapo mpo wengi kuliko wakristo
  2. Kwanini watoto zenu wanasoma vizuri tu kwenye shule za Kikristo (mission) ila watoto zetu kusoma zenu ni changamoto
  3. Mbona mnakula sana kitimoto ndugu zangu? Mmejiruhusu au mmeruhusiwa?
Utajibiwa kwa matusi
 
Haina mashiko hoja yake, sehemu walizotaja kuna mchanganyiko. Angetaja sehemu kama kitumbini, Kariakoo, Upanga huko ndio unakuwa misikiti na waislam wamejaa, utasema ni uarabuni. Huko alipopataja wakiristo wapo wengi. Ila kabla sijamalizia kujibu, wewe au yeye kuna anayemiliki hata pikipiki, au hata aliyekuwa na biashrar yake, au nyote mnasubiria 500k za mwezi ?
Kariakoo ina maendeleo kwasababu ya waarabu, wakinga na Wachagga; nyie ndugu zetu mnachangia kidogo sana maana wengi wenu mmejaa kama mawinga kwenye maduka ya waarabu
 
  1. Kwanini maeneo ambayo mmejaa nyinyi kuliko Wakristo Dar es salaam kuna uduni wa kiasi fulani katika maendeleo mf. Nenda Chamazi - Mbagala, nenda temeke na maeneo mengine ambapo mpo wengi kuliko wakristo
  2. Kwanini watoto zenu wanasoma vizuri tu kwenye shule za Kikristo (mission) ila watoto zetu kusoma zenu ni changamoto
  3. Mbona mnakula sana kitimoto ndugu zangu? Mmejiruhusu au mmeruhusiwa?
Shule za Kikristo (mission) zimekuwa na historia ndefu ya kutoa elimu bora na zina miundombinu mizuri pamoja na walimu wenye uzoefu.

Hii inaweza kuwa sababu watoto wengi, bila kujali dini zao, wanapata elimu nzuri katika shule hizi. Changamoto kwa shule za Kiislamu inaweza kuwa ni ukosefu wa rasilimali au miundombinu inayohitajika, lakini juhudi zinaendelea kuboresha hali hii

Kula kitimoto:

Kwa mujibu wa dini ya Kiislamu, kula kitimoto (nyama ya nguruwe) ni haramu. Hata hivyo, kunaweza kuwa na watu binafsi ambao hawafuati kikamilifu sheria za dini yao kwa sababu mbalimbali. Ni muhimu kutambua kuwa kila mtu ana uhuru wa kuchagua jinsi ya kuishi na kufuata imani yake binafsi
 
Sisi hatuhangaiki naelimu dunia, SISI NI ELIMU AHERA . dini ya mwenyaaazi mungu
Ujinga olio dhahiri ni huu hapa, nani aliyekuambia Mungi ana dini? Kwanza Uislam siyo dini ni tawi la shetani / majini na ndiyo maana Muddy alikuwa anawafuga majini na kuwatumia atakavyo. Tatizo la Waislam wengi wa Tanzania ni mambumbumbu wa dhehbu lao, wao wamekariri tu vitu bila hata kujuwa ukweli wa hili dhehebu la kimajini (Uislam).
 
Zitakuwaje mbingu na ardhi watu wanaishi jangwani kama ngamia wakiwinda mijusi 🤣🤣
Umewahi jiuliza kwanini nchi zote zilizoendelea ukanda huo ni vibaraka wa Makafir? UAE, Saudi Arabia, Qatar, Oman
Hayo mataifa yanajipendekeza kwa waarabu ili wapate chochote kitu haya jibu kati ya hao wazungu na waarabu nani anamtegemea mwenzie?
 
Acha ushamba na usiwe mdini ukitaka uishi vizuri usimbague mtu kidini,kirangi,kifikra na kimtamzamo utaishi maisha mazuri sana
 
Unajichekesha shauri ya njaa zako.Jibu maswali uliyoulizwa.Usije ukajijambia bure.
tafuta hela ndugu, ungekuwa na mishe usingekuja kuanza ubishani. Ukitoka hapa unaenda ongela siasa kwamba Mama Samia humuelewi, unaanza kumchukia mpaka unaanza chukia dini yake. Ila ungejishughulisha usingekuwa hata na muda aw kuanza chuki na makasiriko juu ya dini za watu ambazo hata hakuna anayekusikiliza. Umasikini mbaya sana
 
M
Ujinga olio dhahiri ni huu hapa, nani aliyekuambia Mungi ana dini? Kwanza Uislam siyo dini ni tawi la shetani / majini na ndiyo maana Muddy alikuwa anawafuga majini na kuwatumia atakavyo. Tatizo la Waislam wengi wa Tanzania ni mambumbumbu wa dhehbu lao, wao wamekariri tu vitu bila hata kujuwa ukweli wa hili dhehebu la kimajini (Uislam).
Mwingine huyu. Unaonesha una hasira sana. Naelewa sasa hivi maisha magumu watu wanapitia changamoto nyingi, ukizingatia Rais mpendwa ni dini ya Kiisalm ndio imekufanya uichukie dini nzima. Ila ushauri wangu ni mmoja, vijana tuchakarike, hakuna atakayetukomboa zaidi ya sisi wenyewe. Wengi humu ni mnaishabikia chadema mkiamini ndio mkombozi wenu, mnajidanganya. Tuchakarike
 
Back
Top Bottom