Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Tunavumilia tu au sometimes majukumu yanatutinga kwaiyo sex hatuipi sana kipaumbele lakini kibailojia mwanamke mmoja awezi kutimiza haja za mwanaume. Linapokuja suala la sex mwanaume yupo tayari muda wowote siku yoyte lakini mwanamke ana changamoto nyingi. Kuna period, mapumziko baada ya kujifungia n.kTuseme tu Kwa uwazi
Tusifiche
Mke mke anatosha au kuwa na mpango kando laZima
Wewe unaua mtu kweli...Kama una uwezo wa kuwahudumia kifedha na kwa bed...basi idadi utakayo....ila Mimi kama bi mkubwa...usiniletee bimdogo tafadhali
Sorry Angel i can't cheat!. may be when tomorrow come 😎Fungua PM nitume maombi.
Yah mke mmoja anatosha na hamaliziki, we don't entertain useless polygamy marriages, hata bila katazo la dini.Tuseme tu Kwa uwazi
Tusifiche
Mke mke anatosha au kuwa na mpango kando laZima
Kwanini unasema hivyo dada😎utakua unamapumgufu ya uanaume
Wazungu waliweka mila zao hapo.Haijàandikwa popote
Tulidanganywa hapa
Ngono inapo tawala akili hata wake 10 awatoshi kwa kuwa inatakiwa akili ndiyo itawale ngono.Tuseme tu Kwa uwazi
Tusifiche
Mke mke anatosha au kuwa na mpango kando laZima
Ninazo dada we nipe tu K uone 😎Huna nguvu za kiume wewe!
Shimo la choo moja kama huna uwezo.Mbona ukijenga nyumba shimo la choo ni moja tuu,madam uume ni mmja hata mke naye anapaswa kuwa mmja tuu
Sisi hatuna hiyo tafsri ya kiislamu, eti womens are likened to a pit latrines/toilets?Shimo la choo moja kama huna uwezo.
Ila mwenye uwezo ana self, public toilet na choo cha nje.
Na kwa wanawake ni hivyo hivyo