Pole sana mkuu, sio wewe pekee wapo wenginilikuwa na ndoto za kuwa injinia ila kaka zangu nadhani walinionea wivu wakanidanganya kuwa haina dili bora masomo ya biashara. nikasoma hayo leo wananicheka life imenipiga mpaka nachanganyikiwa.
poa poa
ok[emoji81][emoji81]dah ..sometimes kua na msimamo haijalishi ni nani anae kupinga
Sent from my SM-A105G using Tapatalk
okAcha ujinga mbona uhasibu kila siku naona matangazo ya kazi ata bila CPA,
Shida mnawahi kukata tamaa miez 5 mtaani mnahisi mmekaa miaka 9
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikuwa na ndoto za kuwa injinia ila kaka zangu nadhani walinionea wivu wakanidanganya kuwa haina dili bora masomo ya biashara. nikasoma hayo leo wananicheka life imenipiga mpaka nachanganyikiwa.
sina roho mbaya.
duhBado siamini kama uhasibu hauna soko.
usicheke mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwann ulikubali kudanganywanilikuwa na ndoto za kuwa injinia ila kaka zangu nadhani walinionea wivu wakanidanganya kuwa haina dili bora masomo ya biashara. nikasoma hayo leo wananicheka life imenipiga mpaka nachanganyikiwa.