Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Pole sana mkuu, sio wewe pekee wapo wenginilikuwa na ndoto za kuwa injinia ila kaka zangu nadhani walinionea wivu wakanidanganya kuwa haina dili bora masomo ya biashara. nikasoma hayo leo wananicheka life imenipiga mpaka nachanganyikiwa.