Ndugu zangu walinidanganya nikasoma kozi isiyo na soko

Ndugu zangu walinidanganya nikasoma kozi isiyo na soko

nilikuwa na ndoto za kuwa injinia ila kaka zangu nadhani walinionea wivu wakanidanganya kuwa haina dili bora masomo ya biashara. nikasoma hayo leo wananicheka life imenipiga mpaka nachanganyikiwa.
Pole sana mkuu, sio wewe pekee wapo wengi
 
Kila course imekua kama haina soko kwa hali ya sasa,,Hii ni kutokana na uhaba wa ajira...Jambo la msingi tafuta shughuli yoyote itayokupatia kipato kwa sasa,,Wakati ukiendelea kutafuta ajira kulingana na fani uliyosomea..Tatizo vijana mnachagua kazi
 
Mkuu tatizo ni connection,, kila kozi ina ajira ila changamoto ni kuwajua hao wanaotoa hizo ajira
 
nilikuwa na ndoto za kuwa injinia ila kaka zangu nadhani walinionea wivu wakanidanganya kuwa haina dili bora masomo ya biashara. nikasoma hayo leo wananicheka life imenipiga mpaka nachanganyikiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi atukupenda makuu kujisomea Ualimu wa Primary Japo, nilipata 11 yangu ya Form six. Kama unataka kuajiriwa serikalini we soma coz za kawaida. Kama ualimu wa primary , Mambo ya Afya kama doctor .
 
Back
Top Bottom