Ndugu zangu Wasabato, hizi sanamu za kazi gani?

Mbona na wewe unaonekana ni sanam vile vile.
 
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika

Niwatakie Usiku mwema

"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia"
Kutoka 20:4
Unapo leta uzi, leta uzi ulioshiba, uliojaa fakti, sio hisia!!! Nikuulize maswali
1:Hizi sanamu umeziona kwenye picha mtandaoni au kanisani??
2: Ikiwa ni kanisani Zipo kanisa gani?
3: Naomba utoe mwongozo wa mahari zilipo, ikibidi tuende tuzione, Ni kanisa lipi la Wasabato umeingia ukakuta hizi sanamu???
 
Kama alivyosema mchangiaji hapo juu,Toa details zakutosha,Je kama hao unaowaona kama wasabato walipiga hiyo picha njiani?
 
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika

Niwatakie Usiku mwema

"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia"
Kutoka 20:4
Nikisoma biblia Mathayo 6:5----Linatoa sifa za wanafiki
1: Wanadini za kujionesha kwa watu: Si ajabu kumkuta mlokole amewasha spika sauti ya juuu akiombea mtu mmoja mwenye pepo, Mtu mmoja, spika na vipaza sauti vya nini??? Kutafuta kusikika

2: Hupenda kusima katika pembe za njia ili watu wawaone. Nani amekwambia.....
3: Hacheni kufanya uchuuuzi wa dini, walokole mmefanya ukristo kupoteza taswira yake, kila mkristo anaonekana tapeli tu
 
Mmm hao ni wasabato wa kanisa gani ,Ili tuweze kuthibitisha?
 
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika

Niwatakie Usiku mwema

"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia"
Kutoka 20:4
Halafu wasabato huwa hawaelewi maama ya sanamu ndo mana slowly wanaingia kwenye mfumo. Uelewa wao na wako ni mfinyu tatizo ni elimu tu.

Kuna wakati papa wanamuita mnyama wakati wanamuona kabisa ni binadamu. Ila ipo siku watatambua ukweli ngoja kwanzq wapate elimu. Elimu ndo kila kitu ndo mana kagame anafuta baadhi ya makanisa.
 
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika

Niwatakie Usiku mwema

"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia"
Kutoka 20:4
Kupatwa kwa wasabato
 
The big issue Agano lenu christianity ni Injil mfuateni Yesu ni njia.. aya nzima inasema msifanye sanamu na mkaziabudu.. point ni kuabudu zIdi ndio hatari kuu
 
Je, wale wanaotuamsha na vipaza sauti kati ya saa kumi usiku na kumi na moja alfajiri wakidai twende kiswali tena wanaongea kwa vitisho???
 
Mwamposa.
 
Wacha kupanic....haya maswali ya MTU aliyepanic.....
Tuoneshe location, jamiiforum ipo kwa ajili ya
1: kuelemishana
2: Kutoa habari
Kwa kuwa Wewe umeleta habari, leta habari kamili, inayoonesha kweli Wewe ni great thinker wa jamiiforum,
Sio mipasho na udaku
 
Kwani wasabato huwa mnakutanika popote tu hata sehemu zenye masanamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…