Ndugu zangu Wasabato, hizi sanamu za kazi gani?

Halafu wasabato huwa hawaelewi maama ya sanamu ndo mana slowly wanaingia kwenye mfumo. Uelewa wao na wako ni mfinyu tatizo ni elimu tu.

Kuna wakati papa wanamuita mnyama wakati wanamuona kabisa ni binadamu. Ila ipo siku watatambua ukweli ngoja kwanzq wapate elimu. Elimu ndo kila kitu ndo mana kagame anafuta baadhi ya makanisa.
Taja mlokole aliye soma ata bible knowledge, Wakristo wenye shule na vyuo vikuu ni Wasabato na Waromani Catholic!
Vyuo vikuu vinavyomilikiwa na Wasabato
1: Bugema University - Uganda
2: Barraton university- Kenya
3: Arusha University - Tz
Taja chuo kinacho milikiwa na Walokole
 
Huna hoja. KAA KIMYA.
Ulokole ni umizimu
Huna msingi wa biblia

Modern Spiritualism

The Modern Spiritualist movement dates from 1848 when the Fox sisters of Hydesville, New York produced knocking sounds that were alleged to be messages from a spirit. Spiritualists communicate with the spirits of people who have died.

(Image shows Rev. Judith Rochester at the Lily Dale Assembly, NY, the world's largest Spiritualist community.)
 
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika

Niwatakie Usiku mwema

"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia"
Kutoka 20:4

View attachment 3078347
Mizimu ya kilokole inazidi kukuchanganya

Ya ni kweli huzi sanam zipo GC nilisgaziona physically mimi pia nilijiuliza maswali mengi, nikaishia kunyamaza
 
Halafu wasabato huwa hawaelewi maama ya sanamu ndo mana slowly wanaingia kwenye mfumo. Uelewa wao na wako ni mfinyu tatizo ni elimu tu.

Kuna wakati papa wanamuita mnyama wakati wanamuona kabisa ni binadamu. Ila ipo siku watatambua ukweli ngoja kwanzq wapate elimu. Elimu ndo kila kitu ndo mana kagame anafuta baadhi ya makanisa.
Inasemekana yule mnyama aliyetabiri Daniel ndio yule bwana mkubwa anaowaongoza
 
Unapo leta uzi, leta uzi ulioshiba, uliojaa fakti, sio hisia!!! Nikuulize maswali
1:Hizi sanamu umeziona kwenye picha mtandaoni au kanisani??
2: Ikiwa ni kanisani Zipo kanisa gani?
3: Naomba utoe mwongozo wa mahari zilipo, ikibidi tuende tuzione, Ni kanisa lipi la Wasabato umeingia ukakuta hizi sanamu???
achana nae kaandika kujifurahisha maana uzi wake haueleweki
 
Ya ni kweli huzi sanam zipo GC nilisgaziona physically mimi pia nilijiuliza maswali mengi, nikaishia kunyamaza
Ebu tuelekeze, GC ni nini, iko mtaa gani, je ni kanisa, ulipofika ulikuta zinatendewaje ( zina hudumiwaje)
Ebu leta taarifa,..........
 
Halafu wasabato huwa hawaelewi maama ya sanamu ndo mana slowly wanaingia kwenye mfumo. Uelewa wao na wako ni mfinyu tatizo ni elimu tu.

Kuna wakati papa wanamuita mnyama wakati wanamuona kabisa ni binadamu. Ila ipo siku watatambua ukweli ngoja kwanzq wapate elimu. Elimu ndo kila kitu ndo mana kagame anafuta baadhi ya makanisa.
Ulivyo andika tu inaonesha elimu ndogo.
Kuna mchungaji yeyote wa kilokole aliye na elimu angau cheti cha elimu ya biblia, mtaje alafu utumbie amesoma chuo gani?
Walokole HAMNA chuo chochote cha Elimu ya Biblia lakini ndo mnaongoza kwa idadi kubwa ya kuwa na manabii, wachungaji.....
Hawa ni wachungaji feki.....
 
Hao hadi sare za PF wamevaa unauliza ni wa kanisa gani? Basi tufanye ni wa kanisa la Tehran SDA church
Walokole HAMNA chuo chochote cha Elimu ya Biblia lakini ndo mnaongoza kwa idadi kubwa ya kuwa na manabii, wachungaji.....
Hawa ni wachungaji feki.....
 
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika

Niwatakie Usiku mwema

"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia"
Kutoka 20:4

View attachment 3078347
Walokole HAMNA chuo chochote cha Elimu ya Biblia lakini ndo mnaongoza kwa idadi kubwa ya kuwa na manabii, wachungaji.....
Usikute uliye andika na Wewe ni nabii, mtume, na mchungaji. Unamiliki kanisa na speaker za kuombea mapepo
 
Back
Top Bottom