- Thread starter
- #21
Hatuipondi tunasema hali halisi ili ibadilike. Ikibadilika ndinyo nzuri kwetu. Hili sio dongo bali ukweli na nimesikia wenyewe Prof Tibaijuka akisema hiliDubai nayo walianza kuiponda hivi hivi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuipondi tunasema hali halisi ili ibadilike. Ikibadilika ndinyo nzuri kwetu. Hili sio dongo bali ukweli na nimesikia wenyewe Prof Tibaijuka akisema hiliDubai nayo walianza kuiponda hivi hivi!!
Hivi vita vya ukanda,nyanda hii vs nyanda nyingine au kabila hili dhidi ya lile vinavyoendelea humu ndani sijawahi kuvielewa.
Hiki ni kipindi ambacho tulitakiwa tuwe tumeshaondokana na ukabila na ukanda.
Hili jambo linashangaza lakini! Nchi ni ile ile wote tunataka iendelee ila mtu anataka kwao kuendelee na kwingine asipopapenda paendelee kuwa duni!
Makabila , ukanda na udini ni upumbavu mtupu unaosababisha Africa isitulie hadi leo.
Wanangu hawatakuwa na kabila lolote.Lugha watakazofahamu kwa hapa nyumbani ni Kiswahili na Kiingereza pekee.
Mikoa ile maskini sana Tanzania, sababu kubwa ni desturi za watu wa maeneo hayo kuwa wavuvi.
Angalia mkoa kama Tabora, una ardhi nzuri na kubwa. Hali nzuri ya hewa. Lakini watu wake ni maskini sana.
Kama unasafiri kwenda kanda ya Ziwa, ukatulia kidogo maeneo kama ya Nzega, utakuwa na bahati sana kama hutakutana na vijana, akina mama na akina baba, walio wazima kabisa, wana viungo vyote vya kuonekana na afya njema, lakini ni ombaomba.
Uombaomba wao unaelekea kwenye utapeli. Vijana wengine huvalia kanzu na kofia wanazopenda kuvaa ndugu zetu waislam, watakujia na maneno ya hapa na pale, na kumtaja Mnyazi Mungu, lakini mwishowe utasikia, "nisaidie chochote, nipate kula".
Hapa Vita inanukia kaskazini vs kanda ya ziwa
Sawa mkuu nimekuelewa! Ila sikulilenga bandiko lako pekee bali nimejikita katika hii "trend" inayoendelea humu.Unamuongelea nani hasa? Hakuna vita yoyote zaidi ya vita ya umasikini. Kusema sehemu haina maendeleo sio Ukabila ni data. Kagera kuna makabila mengi sasa ukabila ni upi hasa?. Cha maana ni kusema tumekosea hapa na tufanye hivi badala ya kulalamika. Kulalamika tu kila siku hakutapunguza umasikini.
Tukubali katiba mpya tuwe na Serikali za majimboInasikitisha kujua hili la kwamba Kagera ni mkoa masikini kuliko yote Tanzania.
1. Ina wasomi wengi sana
2. Ardhi nzuri
3. Ziwa kubwa
4. Mipaka ya nchi yetu mingi
Pamoja ya yote hayo ni swali ya kujiuliza wenyewe watu wa huko bila kuweka lawama kwa serikali. Ukiangalia vizuri Kagera na Kilimanjaro zinafanana sana lakini ki maendeleo ni paka na panya. Acheni kulaumu na kusubiri serikali na jiulizeni tatizo hasa kwenye jamii yenu ni nini?
1. Je, usomi hasa wa juu kwa watu wengi wa huko umesaidia ? Au umeongeza majigambo yasio ya msingi na kupunguza fursa
2. Tabia ya kulalamika kama vile Chato ndiyo sababu ya umasikini wenu. Je hii tabia inasaidia nini hasa? Kabla ya Magufuli bado mlikuwa masikini sana
3. Je, mnaheshimu au kudharau vijiji vyenu na mkoa wenu?
5. Naniliu za wananiliu wao ndio wenye naniliu tamu kuliko naniliu za wananiliu wengine wote wanaofanya ile biashara ya naniliu, hivyo ilipaswa wananiliu wao ndio wawe manaliu matajiri kuliko wananiliu wengine wote!. Swali la kujiuliza hizo fedha za biashara ya naniliu, wanazifanyia nini hadi waongoze kwa Umasikini?!.Inasikitisha kujua hili la kwamba Kagera ni mkoa masikini kuliko yote Tanzania.
1. Ina wasomi wengi sana
2. Ardhi nzuri
3. Ziwa kubwa
4. Mipaka ya nchi yetu mingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mhaya yupo tayari kuuza nyumba akasome Uingereza.
Hao ni maskini kwakua wameuza mali zao ili wakasome na wakishafanikiwa hawarudi kwao.
Sasa leo mfano Bashiru Ali anazungumzia upungufu wa lishe kwa watoto.
Watoto wa mabilionea wana malnutrition.
Haha.
5. Naniliu za wananiliu wao ndio wenye naniliu tamu kuliko naniliu za wananiliu wengine wote wanaofanya ile biashara ya naniliu, hivyo ilipaswa wananiliu wao ndio wawe manaliu matajiri kuliko wananiliu wengine wote!. Swali la kujiuliza hizo fedha za biashara ya naniliu, wanazifanyia nini hadi waongoze kwa Umasikini?!.
My Take
I don't believe this data, yaani Singida, Dodoma, Pwani, Lindi na Mtwara ni matajiri kuliko Kagera!.
Enzi za mkoloni, baada ya mkoa wa Kilimanjaro kuongoza kwa utajiri wa Kahawa, unafuata Kagera, then Mbeya, sasa iweje wawe wanaongoza kwa Umasikini?!.
P
Mimi naona watu wengi humu wana wananga kwa sababu ya stendi na soko labda, lakini huduma nyingine mpo vizuri sana, mwezi wa 12 mwaka jana tulienda na jamaa yetu kizigo kamachumu, aisee nyumba nzuri tulizokuta kule na hali ya hewa sikuamini kama ndo wanapowananga humu Jf, tulikaa wiki tu ila tulifurahia sana, ndizi, magimbi, mihogo yaani ilikuwa shangwe matata, haya masimango wanayowasema humu mm sikuyaona.Mnaongea sana na mnataka mkoa uendelee from the vacuum. Serikali ndo baba na ndo mama, Dodoma ilikuwaje, Tabora ilikuwaje? Kigoma ilikuwaje, Pwani ilikuwaje? Ni kwanini leo kumeeñdelea ama ni wananchi ndo wamebadilisha hiyo mikoa?
Maendeleo ya mkoa ni uwekezaji mkubwa na si kodi za fremu wala wananchi kulipa kodi.
Nimeona hii hapa nyingine5. Naniliu za wananiliu wao ndio wenye naniliu tamu kuliko naniliu za wananiliu wengine wote wanaofanya ile biashara ya naniliu, hivyo ilipaswa wananiliu wao ndio wawe manaliu matajiri kuliko wananiliu wengine wote!. Swali la kujiuliza hizo fedha za biashara ya naniliu, wanazifanyia nini hadi waongoze kwa Umasikini?!.
My Take
I don't believe this data, yaani Singida, Dodoma, Pwani, Lindi na Mtwara ni matajiri kuliko Kagera!.
Enzi za mkoloni, baada ya mkoa wa Kilimanjaro kuongoza kwa utajiri wa Kahawa, unafuata Kagera, then Mbeya, sasa iweje wawe wanaongoza kwa Umasikini?!.
P
nukta.co.tz
Nimesoma kilimanjaro advance, hawa jamaa mnawazidi utalii tu, ila kimaisha wanawakaribia sana kuanzia hali ya hewa, mandhari, tena makazi wapo vizuri haswa, mm niliishia kamachumu, yaan nyumba nilizokuta kule hadi nilishangaa maana sikutarajia kabisa, kuhusu kilimo hicho hawajuhi sana wao ni zero grazing hawani muda wa kulima mashamba eti, yaani mgomba humo humo, papai, magimbi, mahindi, mihogo humo humo[emoji119]Katerero, mto ngono
Nashauri serekali itume team ya watu wa kagera. Kwenda kilimanjaro ikajifunze maendeleo.
Instanbul njooo kuna mtu mchokonozi huku[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Inasikitisha kujua hili la kwamba Kagera ni mkoa masikini kuliko yote Tanzania.
1. Ina wasomi wengi sana
2. Ardhi nzuri
3. Ziwa kubwa
4. Mipaka ya nchi yetu mingi
Pamoja ya yote hayo ni swali ya kujiuliza wenyewe watu wa huko bila kuweka lawama kwa serikali. Ukiangalia vizuri Kagera na Kilimanjaro zinafanana sana lakini ki maendeleo ni paka na panya. Acheni kulaumu na kusubiri serikali na jiulizeni tatizo hasa kwenye jamii yenu ni nini?
1. Je, usomi hasa wa juu kwa watu wengi wa huko umesaidia ? Au umeongeza majigambo yasio ya msingi na kupunguza fursa
2. Tabia ya kulalamika kama vile Chato ndiyo sababu ya umasikini wenu. Je hii tabia inasaidia nini hasa? Kabla ya Magufuli bado mlikuwa masikini sana
3. Je, mnaheshimu au kudharau vijiji vyenu na mkoa wenu?
![]()
Maswali magumu mikoa 10 maskini zaidi Tanzania - Nukta Habari
Rukwa ndiyo unaoongoza kwa kuwa na takriban nusu au asilimia 45 ya watu wake ambao hawawezi kumudu mahitaji ya msingi wakati Dar es Salaam ukiwa na watu wachache wasiokuwa na uwezo huo kwa asilimia nane tu.nukta.co.tz
Sina muda wa kubishana na watu wasiofanya tafiti..wanakopi vitu mitandaoni na kupost hapa..Instanbul njooo kuna mtu mchokonozi huku[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
Majigambo, tabia ya kudharauliana na ubaguzi miongoni mwao inatosha kabisa kuwa ndio sababu kuu za mkoa huo kuwa nyuma kimaendeleo !! Hata Hayati Mwalimu Nyerere alilizungumzia hilo la ubaguzi miongoni mwao ilihali wote wanaongea lugha moja ya kihaya !!!Inasikitisha kujua hili la kwamba Kagera ni mkoa masikini kuliko yote Tanzania.