Ndugu zetu wa Kagera kwanini mkoa wenu unaongoza kwa umasikini?

Kaangalie picha za mahekalu yaliyojengwa migombani katika vijiji vya bukoba kwenye uzi wa Instabul, akiona huu uzi lazima atakutolea povu.....
 

Unamuongelea nani hasa? Hakuna vita yoyote zaidi ya vita ya umasikini. Kusema sehemu haina maendeleo sio Ukabila ni data. Kagera kuna makabila mengi sasa ukabila ni upi hasa?. Cha maana ni kusema tumekosea hapa na tufanye hivi badala ya kulalamika. Kulalamika tu kila siku hakutapunguza umasikini.
 

Nakubaliana kwamba utamaduni ni tatizo lakini tupe njia ya kukabiliana na utamaduni wa uvivu na kutokuwajibika kama unavyosema ili tuwashauri.
 
Hapa Vita inanukia kaskazini vs kanda ya ziwa

Tusitafute wachawi badala yake tutafute sababu za msingi na suluhu. Kanda ziko mbali hivi hakuna sababu ya msingi ya kulinganisha kwa kujitamba. Tusiwe wepesi kutumia neno "vita" hakuna vita yeyote na tuwe makini kutunga vita ambazo hazipo
 
Sawa mkuu nimekuelewa! Ila sikulilenga bandiko lako pekee bali nimejikita katika hii "trend" inayoendelea humu.
Wewe huoni hizi nyuzi zinazoibuka kila siku kuhusu mvutano wa kikabila,kikanda au kidini humu? Ni mambo ya kibaguzi na kibinafsi yasiyo na tija yoyote ile.Na yoyote anayeyashabikia ni mpuuzi! Mimi sina kabila.
 
Tukubali katiba mpya tuwe na Serikali za majimbo
 
Reactions: Qwy
Inasikitisha kujua hili la kwamba Kagera ni mkoa masikini kuliko yote Tanzania.

1. Ina wasomi wengi sana
2. Ardhi nzuri
3. Ziwa kubwa
4. Mipaka ya nchi yetu mingi
5. Naniliu za wananiliu wao ndio wenye naniliu tamu kuliko naniliu za wananiliu wengine wote wanaofanya ile biashara ya naniliu, hivyo ilipaswa wananiliu wao ndio wawe manaliu matajiri kuliko wananiliu wengine wote!. Swali la kujiuliza hizo fedha za biashara ya naniliu, wanazifanyia nini hadi waongoze kwa Umasikini?!.

My Take
I don't believe this data, yaani Singida, Dodoma, Pwani, Lindi na Mtwara ni matajiri kuliko Kagera!.

Enzi za mkoloni, baada ya mkoa wa Kilimanjaro kuongoza kwa utajiri wa Kahawa, unafuata Kagera, then Mbeya, sasa iweje wawe wanaongoza kwa Umasikini?!.
P
 
Mhaya yupo tayari kuuza nyumba akasome Uingereza.

Hao ni maskini kwakua wameuza mali zao ili wakasome na wakishafanikiwa hawarudi kwao.

Sasa leo mfano Bashiru Ali anazungumzia upungufu wa lishe kwa watoto.

Watoto wa mabilionea wana malnutrition.

Haha.
 
Na ccm wanaipenda kweli huko [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mnaongea sana na mnataka mkoa uendelee from the vacuum. Serikali ndo baba na ndo mama, Dodoma ilikuwaje, Tabora ilikuwaje? Kigoma ilikuwaje, Pwani ilikuwaje? Ni kwanini leo kumeeñdelea ama ni wananchi ndo wamebadilisha hiyo mikoa?

Maendeleo ya mkoa ni uwekezaji mkubwa na si kodi za fremu wala wananchi kulipa kodi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Hata mimi nimeshutuka lakini ni lazima tupinge data kwa data na sio hisia. Namwamini Professor Tibaijuka kwenye hili sina data za kumpinga mpaka sasa.
 
Mimi naona watu wengi humu wana wananga kwa sababu ya stendi na soko labda, lakini huduma nyingine mpo vizuri sana, mwezi wa 12 mwaka jana tulienda na jamaa yetu kizigo kamachumu, aisee nyumba nzuri tulizokuta kule na hali ya hewa sikuamini kama ndo wanapowananga humu Jf, tulikaa wiki tu ila tulifurahia sana, ndizi, magimbi, mihogo yaani ilikuwa shangwe matata, haya masimango wanayowasema humu mm sikuyaona.
 
Nimeona hii hapa nyingine

 
Katerero, mto ngono

Nashauri serekali itume team ya watu wa kagera. Kwenda kilimanjaro ikajifunze maendeleo.
Nimesoma kilimanjaro advance, hawa jamaa mnawazidi utalii tu, ila kimaisha wanawakaribia sana kuanzia hali ya hewa, mandhari, tena makazi wapo vizuri haswa, mm niliishia kamachumu, yaan nyumba nilizokuta kule hadi nilishangaa maana sikutarajia kabisa, kuhusu kilimo hicho hawajuhi sana wao ni zero grazing hawani muda wa kulima mashamba eti, yaani mgomba humo humo, papai, magimbi, mahindi, mihogo humo humo[emoji119]

Hawa jamaa maendeleo wanayo, sielewagi kw nn mnawananga hivi[emoji23][emoji23], mm niliendaga mwaka jana kwkwl maeneo niliyotembelea walikuwa vizuri hasa makazi wamejitahid kama mnawazidi labda stendi, hadi nilimuuliza jamaa tulienda naye, inakuwaje wanakuwa wa mwisho

Jamaa wakati umeme wa tanesco unakata, wao hawana habari, niliambiwa wanatumia wa Uganda Owen fall [emoji23][emoji23], kila bidhaa tukinunua ni made in Uganda, hapa ndo nikasema kwl inawezekana Serikali iliwatenga hawa jamaa [emoji23]
 
Instanbul njooo kuna mtu mchokonozi huku[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Instanbul njooo kuna mtu mchokonozi huku[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina muda wa kubishana na watu wasiofanya tafiti..wanakopi vitu mitandaoni na kupost hapa..

Yeye hiyo list aliyoweka anaona kagera ni wa kwanza kwa umaskini...hata hizo data anazokopi hajui kuzisoma
 
Majigambo, tabia ya kudharauliana na ubaguzi miongoni mwao inatosha kabisa kuwa ndio sababu kuu za mkoa huo kuwa nyuma kimaendeleo !! Hata Hayati Mwalimu Nyerere alilizungumzia hilo la ubaguzi miongoni mwao ilihali wote wanaongea lugha moja ya kihaya !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…