Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mhaya akipata pesa kidogo anawaza Ulaya badala ya kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa gani wanazopenda wahaya?? Mambo mengine ni brain turning tu kwa sababu tu ulishakariri, yawezekana huwa tunashindwa kutofautisha hulka na tabia.Wachaga wanapenda sifa kuliko wahaya?
Iyo mbona ipo wazi kujisifia daily apa jfWachaga wanapenda sifa kuliko wahaya?
Ni mkoa upi huo ambao si masikini ambao wewe ni mwenyeji?? Mikoa zaidi ya 30 Kagera tu ndiyo masikini??Wanakagera wanashida flani na hadi leo husingizia vita ya Kagera kuwa chanzo cha umaskini wao.
Mkuu akilinjema hamna mkoa ambao hamna wanafiki wala watu wasiopenda sifa wala hakuna mkoa ambao hauna umasikini kwa kiasi chake, Ninachokiona hapa ni brain turning tu, sina uhakika kama mkoa wa Kagera ni masikini kuliko mikoa yote Tz.Pamoja na hivyo lakini anko Maguu alijua kuwakata kilimilimi !
Aliwakomesha kiherehere na unafiki wao wote !
Watu kama Dr. Rweitama ndio Miongoni mwa Wahaya ambao wako Honestly na wanaitumia vizuri elimu yao kwa manufaa ya Taifa.
Dr. Rweitama popote ulipo Mwenyezi Mungu azidi kukujalia Uzima na baraka tele udumu ukitumikia Taifa hili.
Usikengeuke kama dr si-raha.
Hakuna kitu kama hicho bhana mshomile ndiyo zenuIyo mbona ipo wazi kujisifia daily apa jf
Tabia zenu tunazijua, huweki ukapiga story na mhaya akaongelea issue za kijiji nyie ni Ulaya tu why?Sifa gani wanazopenda wahaya?? Mambo mengine ni brain turning tu kwa sababu tu ulishakariri, yawezekana huwa tunashindwa kutofautisha hulka na tabia.
Ndiyo maana nikakwambia ni brain turning mliyonayo, kwa hiyo mkuu kila ukikutana na mhaya from no where tu anaanza kukusimulia bara la ulaya??Tabia zenu tunazijua, huweki ukapiga story na mhaya akaongelea issue za kijiji nyie ni Ulaya tu why?
Hizi data zimejaa majungu na bias tu na ukabila na ukanda hakuna lolote mara utasikia Mwanza ni mkoa masikini kuliko zote mara geita, sasa ni zamu ya kagera.Sina muda wa kubishana na watu wasiofanya tafiti..wanakopi vitu mitandaoni na kupost hapa..
Yeye hiyo list aliyoweka anaona kagera ni wa kwanza kwa umaskini...hata hizo data anazokopi hajui kuzisoma
Mkuu akilinjema hamna mkoa ambao hamna wanafiki wala watu wasiopenda sifa wala hakuna mkoa ambao hauna umasikini kwa kiasi chake, Ninachokiona hapa ni brain turning tu, sina uhakika kama mkoa wa Kagera ni masikini kuliko mikoa yote Tz.
Ndio maana nikakuomba unitajie wewe ni tajiri unayetokea mkoa gani??!! Maana Ninachokiona hapa ni mihemko tu kwani viashiria vya umasikini ni vipi mkuu tajiri???Isipokuwa wiwango vinazidiana.
Na takwimu zinaonesha hivyo alivyoongelea Mleta mada.
Nyie mmepitwa hadi na mkoa wa Lindi fikiria ni namna gani mko na umaskini wa kutupwa?!
Yani mko katika namba 2-3 bora zinazoongeza kwa umaskini kimkoa.
Inashangaza sana!
Watu sasa wanawashangaa iweje na mashauzi na nyodo zenu halafu kumbe kwenu kuna umaskini wa kutupa ?!
Wazaramo na Dar es salaam na Pwani yao ndio wanaongoza kwa kuweza kumudu mahitaji ya msingi.Sasa kama nyinyi wenye nchi mnaona hamna maendeleo Sasa sisi wa huku pwani tusemeje wazaramo? [emoji35]
Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
Ndio maana nikakuomba unitajie wewe ni tajiri unayetokea mkoa gani??!! Maana Ninachokiona hapa ni mihemko tu kwani viashiria vya umasikini ni vipi mkuu tajiri???
Baki ulivyo wewewKama bado hujaelewa basi naona nikuache tu ubaki ulivyo.