Ndugu zetu wa Kagera kwanini mkoa wenu unaongoza kwa umasikini?

Inasikitisha kujua hili la kwamba Kagera ni mkoa masikini kuliko yote Tanzania.

1. Ina wasomi wengi sana
2. Ardhi nzuri
3. Ziwa kubwa
4. Mipaka ya nchi yetu mingi

Pamoja ya yote hayo ni swali ya kujiuliza wenyewe watu wa huko bila kuweka lawama kwa serikali. Ukiangalia vizuri Kagera na Kilimanjaro zinafanana sana lakini ki maendeleo ni paka na panya. Acheni kulaumu na kusubiri serikali na jiulizeni tatizo hasa kwenye jamii yenu ni nini?

1. Je, usomi hasa wa juu kwa watu wengi wa huko umesaidia ? Au umeongeza majigambo yasio ya msingi na kupunguza fursa
2. Tabia ya kulalamika kama vile Chato ndiyo sababu ya umasikini wenu. Je hii tabia inasaidia nini hasa? Kabla ya Magufuli bado mlikuwa masikini sana
3. Je, mnaheshimu au kudharau vijiji vyenu na mkoa wenu?

Simiyu na Shinyanga nayo ni majanga tu.
 
Bora wewe umesema kile ulicho kiona shida ni kwamba walio wengi wanabeba data za kwenye mitandao tu lakini hawajawahi hata kufika Kagera , ukweli huu mkoa umendelea sana kuliko mikoa mingi sana hapa nchini yamkini huwa kuna sababu zinazo chagiza jambo hili
Nchi hii hata viongozi wanatumia nguvu nyingi kuibomoa Kagera badala ya kuijenga na hilo tushalijua. Na ndo maana hawataki kuongeza chochote kule ili tu kuwakomoa wahaya lakini sie hatuna shida na mkoa wao (serikali), waliuanzisha wenyewe na ni wajibu wao kuhudumia kama hawataki shauri lao.

Sie wahaya tutakwenda kufanya maisha pengine as long nchi hii kokote kambi watu wanaruhusiwa kujenga, kuishi na kufanya kazi popote na hata ikiwa nje ya nchi ikibidi, wahaya tunavijua vichaka vyote vya huko na tutakwenda.

Majumbani mwetu tutazidi kujenga nyumba zetu za kifahari na kuvifanya vijiji vyetu viwe kama Ulaya.

Hatuna njaa na tuna kila kitu kama mahitaji ya mwanadamu. Umasikini unaosemwa labda mapato ya serikali ndo yanapungua

Lakini mapato ya mkoa yàtakuwaje makubwa wakati serikali haipeleki vitu kule? Hayo mapato wanataka wayatoe wapi.

Wahaya hawana shida wala umasikini na hats changamoto zilizopo ni za kawaida kama popote pengine lakini si kwa kiwango kinachohubiriwa

Serikali ya mkoa na huko juu ndo kuna umasikini kwani mkoa wao wameuacha wasiuhudumie na leo wanatoa mimacho eti mkoa masikini ..come on! This is a joke.
 
Sikubaliani na hoja yako kwamba umasikini upo serikalini. Kama nilivyosema tusilaumu serikali kwa kila kitu lazima tukibali utamaduni ni tatizo nalo
 
Inasikitisha kujua hili la kwamba Kagera ni mkoa masikini kuliko yote Tanzania.

1. Ina wasomi wengi sana
2. Ardhi nzuri
3. Ziwa kubwa
4. Mipaka ya nchi yetu mingi

Pamoja ya yote hayo ni swali ya kujiuliza wenyewe watu wa huko bila kuweka lawama kwa serikali. Ukiangalia vizuri Kagera na Kilimanjaro zinafanana sana lakini ki maendeleo ni paka na panya. Acheni kulaumu na kusubiri serikali na jiulizeni tatizo hasa kwenye jamii yenu ni nini?

1. Je, usomi hasa wa juu kwa watu wengi wa huko umesaidia ? Au umeongeza majigambo yasio ya msingi na kupunguza fursa
2. Tabia ya kulalamika kama vile Chato ndiyo sababu ya umasikini wenu. Je hii tabia inasaidia nini hasa? Kabla ya Magufuli bado mlikuwa masikini sana
3. Je, mnaheshimu au kudharau vijiji vyenu na mkoa wenu?

Wasomi wengi wapi hawa wakifika sehemu wanabebana hata vilaza. Wanakagera original wamejaa mwanza ni bodaboda mahiri sana hao wasomi ni waliobebana tu kwenye taasisi huko.
 
Sio Kagera tuu,mikoa yote ya Kanda ya Ziwa
Wewe mchaga wa Njombe uliyetumbuliwa vyeti feki na umeona haitoshi tu kumchukia JPM sasa umeamua kuichukia kanda ya ziwa yote ukidhani kwa kufanya hivyo maumivu yako yatapungua. Acha shobo usiwe kama hamnazo. Nitajie mkoa tajiri hapa Tanzania na weka vigezo vya huo utajiri.
 
Na ccm wanaipenda kweli huko [emoji16][emoji16][emoji16]

Pamoja na hivyo lakini anko Maguu alijua kuwakata kilimilimi !

Aliwakomesha kiherehere na unafiki wao wote !

Watu kama Dr. Rweitama ndio Miongoni mwa Wahaya ambao wako Honestly na wanaitumia vizuri elimu yao kwa manufaa ya Taifa.

Dr. Rweitama popote ulipo Mwenyezi Mungu azidi kukujalia Uzima na baraka tele udumu ukitumikia Taifa hili.

Usikengeuke kama dr si-raha.
 
Inasikitisha kujua hili la kwamba Kagera ni mkoa masikini kuliko yote Tanzania.

1. Ina wasomi wengi sana
2. Ardhi nzuri
3. Ziwa kubwa
4. Mipaka ya nchi yetu mingi

Pamoja ya yote hayo ni swali ya kujiuliza wenyewe watu wa huko bila kuweka lawama kwa serikali. Ukiangalia vizuri Kagera na Kilimanjaro zinafanana sana lakini ki maendeleo ni paka na panya. Acheni kulaumu na kusubiri serikali na jiulizeni tatizo hasa kwenye jamii yenu ni nini?

1. Je, usomi hasa wa juu kwa watu wengi wa huko umesaidia ? Au umeongeza majigambo yasio ya msingi na kupunguza fursa
2. Tabia ya kulalamika kama vile Chato ndiyo sababu ya umasikini wenu. Je hii tabia inasaidia nini hasa? Kabla ya Magufuli bado mlikuwa masikini sana
3. Je, mnaheshimu au kudharau vijiji vyenu na mkoa wenu?

Hata Kilimanjaro

Kilimanjaro kuna maendeleo gani???
Wanakagera wanashida flani na hadi leo husingizia vita ya Kagera kuwa chanzo cha umaskini wao.
 
Wasomi wengi wapi hawa wakifika sehemu wanabebana hata vilaza. Wanakagera original wamejaa mwanza ni bodaboda mahiri sana hao wasomi ni waliobebana tu kwenye taasisi huko.
Tolea mfano, waliobebana ambao hawana sifa, uliokutana nao.

Wahaya hata akiwekwe sehemu vigezo vinafiti elimu anakuwa nayo yakutosha, hamna cha kubebwa bebwa.
 
Nchi hii hata viongozi wanatumia nguvu nyingi kuibomoa Kagera badala ya kuijenga na hilo tushalijua. Na ndo maana hawataki kuongeza chochote kule ili tu kuwakomoa wahaya lakini sie hatuna shida na mkoa wao (serikali), waliuanzisha wenyewe na ni wajibu wao kuhudumia kama hawataki shauri lao.

Sie wahaya tutakwenda kufanya maisha pengine as long nchi hii kokote kambi watu wanaruhusiwa kujenga, kuishi na kufanya kazi popote na hata ikiwa nje ya nchi ikibidi, wahaya tunavijua vichaka vyote vya huko na tutakwenda.

Majumbani mwetu tutazidi kujenga nyumba zetu za kifahari na kuvifanya vijiji vyetu viwe kama Ulaya.

Hatuna njaa na tuna kila kitu kama mahitaji ya mwanadamu. Umasikini unaosemwa labda mapato ya serikali ndo yanapungua

Lakini mapato ya mkoa yàtakuwaje makubwa wakati serikali haipeleki vitu kule? Hayo mapato wanataka wayatoe wapi.

Wahaya hawana shida wala umasikini na hats changamoto zilizopo ni za kawaida kama popote pengine lakini si kwa kiwango kinachohubiriwa

Serikali ya mkoa na huko juu ndo kuna umasikini kwani mkoa wao wameuacha wasiuhudumie na leo wanatoa mimacho eti mkoa masikini ..come on! This is a joke.
Tatizo tuna akili sana, kwhy jamii zingine zinatuchukia kwa hilo tu na wala si kingine. Yaani mtu unashangaa ukifanya kazi sehemu wakashajua wewe ni Muhaya tayari wanakuogopa na wanakuwekea nyekundu.

Mfano pale NIMR kuna Dr. Ishengoma yeye ndiye anaandika proposals za miradi mingi inayowaingizia NIMR hella, hata mradi wa sasa wa Malaria walio nao NIMR unaofadhiliwa na Bill Gate kaandika yeye lakini wakuu wa Idara wamemkaba kooni, anapigwa mizengwe kila siku.
 
kama umeshatembea mikoa kama Iringa, Mbeya, Dodoma na kagera utaelewa namaanisha nini.
Nini kipimo cha maendeleo ya eneo husika, kwa hiyo hapo wewe ni mwenyeji wa wapi kati ya Iringa, mbeya na dodoma?? Tanzania ina mikoa zaidi ya 30 kwa hiyo mkoa wa Kagera tu ndio haujaendelea?? Kagera ni manispaa Iringa, mbeya na Dom ni majiji, Hasira ya nini kwa wahaya mkuu??
 
Back
Top Bottom